kabiriga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 1,163
- 1,214
Nimeshangaaa kusikia hawa wanaojiita Amnesty kwa ripoti yao inayo watetea wasagaji na mashoga naiona kuwa haina mashiko kwa nchi zetu asa za kiafrica,huu sio utamaduni wetu na hatuwezi kukubali kubuluzwa na mashirika ya nje eti tu ni haki za binadamu,sidhani kama watu wanamna hii wana haki,kwani haki zao wanaziondoa wao wenyewe kwa kukubali vitendo hivyo na wakitaka kupata haki hizo waache matendo yao maovu.
Sijui ni haki gani hizo wanazodai na ni nani anaziondoa?
Sijui ni haki gani hizo wanazodai na ni nani anaziondoa?