Zorrander
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 438
- 233
hata kama ni binadamu ila wanafanya vitendo ambavyo havikubaliki na jamii hasa ya kitz ndiyo maana ht hiyo ripoti yao imechapishiwa huko marekani
kama wanataka kutetea haki kwann wasitete hata haki za watoto wanaotumikishwa huko migodini, wanaofanya kazi za ndani nk...
Ni kitu chema sana kama tutaweza kujifunza KUKUBALI KUTOKUKUBALIANA, ushoga si jambo jema kwa namna yyt ile lakini kwa kuwa nao pia ni binadam na wanamahitaji ya msingi kama binadamu wengine ni lazima tujifunze namna ya kuwapokea kwenye jamii zetu, kuwasikiliza na pia kuwapa nafasi ya kuendelea bila kujali hulka zao.
Inasemekana wapo wanaozaliwa na hulka hizo na huonyesha dalili hizo toka wadogo, wapo ambao huathiriwa na mazingira (kuingiliwa wakiwa wadogo mpaka wanazoea) hawa hawakupata ulinzi wa kutosha wakati wa utoto wao. Hivyo unapomtenga mtu wa aina hii ni nani kati yenu asiefaa kwenye jamii? Kwa nn tunawahukumu bila kujua kilichosababisha wao kuwa hivyo?
Hii jamii inahitaji support, naunga mkono wote wanaowasidia na wanaohakikisha wanapata haki yao ya kuishi kama watu wengine.