Hawa jamiiforums ndiyo nani?

Status
Not open for further replies.

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
3,214
2,000
Habari zenyu wakuu?.

Aise samahani kuuliza si ujinga. Mimi ningetaka kuwajuwa hasa hawa jamiiforums ni kina nani? nini lengo lao la kuanzisha forum bodi hii?, naweza kuonana nao kwa macho?, na je huwa wanapatwa namatatizo/changamoto zozote? ni kama zipi hizo changamoto?, Je wamiriki wa jf ni wana-Chadema wote?.

Nimeshasema kuuliza si ujinga.
 
Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,000
Hii jamiiforum inamilikiwa na invisible asie onekana.lengo lao kubwa kabisa ni to talk openly na kutuwezesha sisi wapenda vya bure tupate.
 
Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,000
Jamiiforum una kazi kweli kweli.sijui kwanini unawanyima usingizi watu.embu tazama hii thread imetumwa saa ngapi.
 
Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
61,614
2,000
Habari zenyu wakuu?.

Aise samahani kuuliza si ujinga. Mimi ningetaka kuwajuwa hasa hawa jamiiforums ni kina nani? nini lengo lao la kuanzisha forum bodi hii?, naweza kuonana nao kwa macho?, na je huwa wanapatwa namatatizo/changamoto zozote? ni kama zipi hizo changamoto?, Je wamiriki wa jf ni wana-Chadema wote?.

Nimeshasema kuuliza si ujinga.

Ccm oyeeee, Nnauye Jr watu wako wanatia aibu huku
 
Last edited by a moderator:

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,367
2,000
Habari zenyu wakuu?.

Aise samahani kuuliza si ujinga. Mimi ningetaka kuwajuwa hasa hawa jamiiforums ni kina nani? nini lengo lao la kuanzisha forum bodi hii?, naweza kuonana nao kwa macho?, na je huwa wanapatwa namatatizo/changamoto zozote? ni kama zipi hizo changamoto?, Je wamiriki wa jf ni wana-Chadema wote?.

Nimeshasema kuuliza si ujinga.

face book, twitter, etc ni akina nani? Ukijibu hilo umepata jibu la swali lako. Ukishindwa nenda ka-google
 
hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,898
2,000
Tafuta gazeti la The Citizen mwaka huu huu mwezi na tarehe vimenipita kidogo. Wali feature article ya the mastermind behind JF.
Uwe unasomaga na magazeti sio unakomaa na ma internet tu. Ebooooo.

Ukishajua ni kina nani itakua inakusaidiaje? Au ukijua kama ni Chadema ndo inakuongezea nini?

Ni tafiti unafanya au assignment yako ya darasani?

Kwa jinsi inavyoonekana unatumia mtandao ila sio critically.

Umeshindwa hata kuigoogle tu yenyewe JF ikakuletea waasisi wake na objectives zao.

Siku nyingine uwe unamuuliza brother google awe anakusaidia.

Unashindwa hata na anko zangu wa kule ukenyenge wanaojuwa ku google walau hata kujifunza kua Tanzania haina uhusiano na visiwa vya Zimbabwe?!!!!!

Nitafute nikupe modem na laptop na tuition ya ku google bila makato yoyote.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
6,470
2,000
Habari zenyu wakuu?.

Aise samahani kuuliza si ujinga. Mimi ningetaka kuwajuwa hasa hawa jamiiforums ni kina nani? nini lengo lao la kuanzisha forum bodi hii?, naweza kuonana nao kwa macho?, na je huwa wanapatwa namatatizo/changamoto zozote? ni kama zipi hizo changamoto?, Je wamiriki wa jf ni wana-Chadema wote?.

Nimeshasema kuuliza si ujinga.

Wewe Fadhil Paul ni miongoni mwa members wanaopost utumbo hapa JF halafu unajifanya huwajui JF eti kuuliza si ujinga, acha mambo yako bwana.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,556
2,000
Habari zenyu wakuu?.

Aise samahani kuuliza si ujinga. Mimi ningetaka kuwajuwa hasa hawa jamiiforums ni kina nani? nini lengo lao la kuanzisha forum bodi hii?, naweza kuonana nao kwa macho?, na je huwa wanapatwa namatatizo/changamoto zozote? ni kama zipi hizo changamoto?, Je wamiriki wa jf ni wana-Chadema wote?.

Nimeshasema kuuliza si ujinga.
Mkuu Fadhili Paulo, kwa vile umejiunga jf tangu Sept, 2011, ukiwa na zaidi ya mwaka humu jukwaani, kuuliza jf ni kina nani, unaonekana kama mjinga fulani, yaani wewe ni zuzu!, inamaana hujawahi kuchangia jf hata senti tano, maana ungechangia lazima ungejua fedha zinapokelewa na nani!.

Ukifungua jf kwenye kila page, pale chini kuna vibox vitano vifuatavyo,

Who are WE?

JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

You are always welcome!Read more...

Where are we?

We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

For anything related to this site please Contact us.
Contact us now...

DISCLAIMER

JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

Read more...

Forum Rules

JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

You MUST read them and comply accordingly.Read more...

Privacy Policy

We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

Read our Privacy Policy.Proceed here...

ambavyo kila mtu makini alipaswa awe ameshavisoma!. Ila pia binadamu tunatofautiana, na pia inawezekana ni issues za lugha, hivyo kukusaidia, hebu tembelea nyuzi hizi, https://www.jamiiforums.com/great-t...ew-with-jamiiforums-founder-maxence-melo.html au soma hii Meet the brains behind 'JamiiForums'

NB. Wanabodi, nawaombeni msibeze huyu Paulo, ni wengi tuu baada ya kuishi na mke kwa zaidi ya mwaka mmoja, ndipo wanaingia kwenye self realization kutaka kumtambua zaidi!.
Pasco.
 
hippocratessocrates

JF-Expert Member
Jul 1, 2012
3,601
2,000
Mkuu Fadhili Paulo,

Kwa maswali yako i can sincerely say Kuuliza ni Ujinga(hasa kuuliza kwako).

Swali lako la 1 na la 2, yashajibiwa.Kuendelea, Uonane na macho na nani hasa waasisi, wamiliki, au wanachama(members)?!..Kuna ofisi, pia kuna mawasiliano binafsi unayoweza kufanya na member(s), admins. n.k

Changamoto kuipata ni lazima, mfano kama ya kwako hii ya kusema "Wamiriki wa jf ni wana-ChADEMA wote?"
Nani alikuambia ni wnachadema, kulingana na maelezo yako kuna baadhi una UHAKIKA nao ni wanachadema, je, unaweza kuthibitisha? Kwa mfano wakiwa wote ni "wana-CHADEMA" then?
 
Last edited by a moderator:

isambe

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
2,195
2,000
Hata kama ulisema ".....kuuliza si ujinga" ila kuuliza huku ni UJINGA MKUBWA!,WEWE INAONYESHA HATA MA@#^i HUNYOI,
 
mceddy

Senior Member
Apr 16, 2012
106
0
Mambo mwngne niyaki kuda mbya sijui ni lini watu wata elimika atlst wakitaka anzisha thread wawe wanajielewa ita saidia vip jamii ya Jf
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom