Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 988
- Thread starter
- #21
Ngojeni nimwambie invisible aufute huu uzi. Mi naamini kuuliza si ujinga.
Sikuufuta, nimeufunga kwakuwa kuna wengine watauliza kama wewe na huenda uzi huu ukawa sehemu ya majibu kwao.Ngojeni nimwambie invisible aufute huu uzi. Mi naamini kuuliza si ujinga.