Hawa askari Magereza wanaompeleka Sabaya mahakamani wana mikwara ya ajabu sana

Hicho ni kikosi maalum chenye uwezo mkubwa na silaha za siri na dhahiri, hilo rungu sio kitu cha maana ila ni kutuma ujumbe tu kwamba usijaribu.
Kumbuka moja tuhuma za watuhumiwa ni kupora kwa kutumia silaha hivyo wakati wowote genge lao (kama lipo) linaweza kuvamia kujibu mapigo kumtorosha mkuu wao.
 
Yote Hiyo Jana Mama Kasema Uchumi Unakuwa
Wanalipwa Vizuri Hao Lazima Wabebe Kila Kitu
🙄🙄😶😶😑😑😐🙂🙂☺☺🤔😣
 
Hicho ni kikosi maalum chenye uwezo mkubwa na silaha za siri na dhahiri, hilo rungu sio kitu cha maana ila ni kutuma ujumbe tu kwamba usijaribu.
Kumbuka moja tuhuma za watuhumiwa ni kupora kwa kutumia silaha hivyo wakati wowote genge lao (kama lipo) linaweza kuvamia kujibu mapigo kumtorosha mkuu wao.

Hahaha,eti silaha za siri!..ndio kitu gani hicho!.Mkuu acha kuwagwaya Askari.Kwa maelezo yako unaonekana kunguru(muoga)!
 
Kupoteza
Raslimali za Taifa kipumbavu

Walinzi 4 wangetosha na bunduki mbili tu

Ujinga mwingi, kutumiza vyombo vya Dola bila sababu za msingi
 
Hawana kingine Cha kuonyesha weredi wao zaidi ya hizi Swaga za kijinga,zisizo na mashiko,sasa kama DC tu ni mikwara hivyo,siku Raisi mstaafu akifikishwa mahakamani itakuaje?
Nimecheka balaa aiseee
 
wamefanya maigizo hadi wameshusha hadhi ya uaskari magereza. kwa kawaida, hawa jamaa wanatakiwa kuongezewa mishahara, wanaishi maisha magumu sana na hawana sehemu ya kupatia hela ya ziada kama wenzao polisi. kwa askari magereza, anayekula pesa (though rushwa) ni admission officer, mkuu wa gereza, na RPO. hao wanapiga hela ndefu sana kwenye community service, kwenye kupunguza vifungo, kwenye msamaha wa Rais etc. wadogowadogo wasio na vyeo hao wote wana njaa sana. pamoja na kwamba, hao ni raia wakakamavu tu, hawana lolote, bora hata polisi wangefanya hilo jukumu. sawa na mtu aje leo anambie game officers/wadens ni askari, au hao wa TFS.
 
Hawana kingine Cha kuonyesha weredi wao zaidi ya hizi Swaga za kijinga,zisizo na mashiko,sasa kama DC tu ni mikwara hivyo,siku Raisi mstaafu akifikishwa mahakamani itakuaje?
and you can only find this in Tanzania, na kwa magereza tu. hata mgambo hawana swaga za kubeba bunduki na marungu kama hawa majamaa, sijuu wametoka kijiji gani.
 
Back
Top Bottom