Havi ukiwa na Gari ndio uto....

Havi ukiwa na Gari ndio uto....

Yote yanawezekana maana hata ukipita kwenye maeneo ya vyuo mtu anaweza akawa anaishi kwenye compound ya chuo au maeneo jirani na wanafunzi na yeye anajifanya mwanafunzi kama na wewe hujapitapita chuo unaweza ukajua kweli. Nakumbuka enzi zile za boarding mkiwa na disco mnaalika shule ya wasichana ya jirani mpaka wapishi na wao wanajifanya wanafunzi ila walikuwa wanakamatwa kitu kimoja akiulizwa na mrembo anachukua combination gani huwa wanajitajia tu PCO au HGB (kisa amesikia kuna ambao wanasoma PCM, PCB au HGL)

kweli mkuu na na kama ni mpishi wa kike bora tu akuambie anachukulia HGL mana mwisho wa siku ukija kumkamata anaweza kujitoa kwa kukuambia alimaanisha kombi ya House GirL.
 
Kitu Nissan Safari Grand Road, kinanguruma hapo, mguu dunlop! Balaa! Videnti vitakwisha sana kwa tamaa zao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom