Havi ukiwa na Gari ndio uto....

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
539904_420068561351041_811099421_n.jpg
 
Inaelekea huyu jamaa ndio tabia yake maana hadi number za gari ametoa kama ili akimpakia msije mkasema ameondoka na gari namba 'T XXX CCM'
 
Muangalieni yule mama kwenye daladala nyuma, anatamani hiyo 'lifti' angepewa yeye. 'Jiulize Je, tuko wanagpi?' dunia Imekwisha wakuu.
 
Mara ngapi umeshaombwa lifti na watoto wa shule? Watoto wa siku hizi wanatamaa na wavivu ajabu. Enzi zetu ukionekana umesogelea tu gari ya mtu kesho staff room utaenda kujieleza na kuzodolewa hadi ulie machozi ya damu. Wakatazeni watoto wa shule kupanda lifti jamani.
 
Vinapendeza mno afu vinapenda starehe na pesa,lazima vitafunwe,kila mzazi amfunde mwanae,ukimwacha wakufundishie wenzio matokeo ndo hayo
 
chips yau yai na kuku tu unamaliza kila kitu lol mabazazi haya yanayoharibu watoto wa wenzao na wao watoto wao wanaharibiwa hapahapa duniani we ngoja tuu

Alivyoinama kidogo kama anatoa hela vile ameweka kwenye kadroo pale kwenye dash board
 
Alivyoinama kidogo kama anatoa hela vile ameweka kwenye kadroo pale kwenye dash board

noop umekosea sio kwenye dashbody anatoa kutoka kwenye mfuko wa suruali wa upande wa kulia huku anamwangalia usoni binti arembue macho loooh!! kwishnehi student
 
noop umekosea sio kwenye dashbody anatoa kutoka kwenye mfuko wa suruali wa upande wa kulia huku anamwangalia usoni binti arembue macho loooh!! kwishnehi student
Mwanamke ana power ya kukufanya ufungue hata senti ya mwisho uliyokuwa umeificha kwenye mfuko wa ndani ukaiacha familia yako ikilala njaa. Usimdharau mwanamke.
 
wapi wewe alikuwa anammfungulia mlango wa nyuma halafu unaweza kuchukua lifisi kama hili linajifanya limwanafunzi kumbe li bar maid

Yote yanawezekana maana hata ukipita kwenye maeneo ya vyuo mtu anaweza akawa anaishi kwenye compound ya chuo au maeneo jirani na wanafunzi na yeye anajifanya mwanafunzi kama na wewe hujapitapita chuo unaweza ukajua kweli. Nakumbuka enzi zile za boarding mkiwa na disco mnaalika shule ya wasichana ya jirani mpaka wapishi na wao wanajifanya wanafunzi ila walikuwa wanakamatwa kitu kimoja akiulizwa na mrembo anachukua combination gani huwa wanajitajia tu PCO au HGB (kisa amesikia kuna ambao wanasoma PCM, PCB au HGL)
 
Mwanamke ana power ya kukufanya ufungue hata senti ya mwisho uliyokuwa umeificha kwenye mfuko wa ndani ukaiacha familia yako ikilala njaa. Usimdharau mwanamke.

inategemea na mwanamke gani.....na wakati gani.....kuna vyuma uniquely beautiful acha tu...
 
Back
Top Bottom