Sikujua kumbe ukiwa mkubwa ni hivi!

Sikujua kumbe ukiwa mkubwa ni hivi!

Hekima ni Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
413
Reaction score
750
Sikujua
Kumbe Ukiwa mkubwa siyo kila simu niyakupokea

Ukiwa mkubwa siyo kila sms niyakujibu

Ukiwa mkubwa kumbe shida zako ni zako.

Ukiwa mkubwa unajua kuwa rafiki yako wa leo ndiyo adui yako wa kesho.

Ukiwa mkubwa kumbe maisha ndiyo yanaanza

Ukiwa mkubwa msaada wako ni Mungu na hekima kama umejariwa.

Ukiwa mkubwa matatizo ya familia yako kumbe yanakuwa yako.

Ukiwa mkubwa kumbe ukiwa mwema sana watu wanakuona mdhaifu na watautumia wema wako vibaya.

Ukiwa mkubwa ndiyo unajua kuwa
Kazini hakuna marafiki bali kuna wanafiki.

NIKITU GANI UMEJUA NA WEWE ULIVYO KUWA MKUBWA ?.
 
Yeap ndio ujue kwamba life is brutal but still fair
 
Hekima ni mwalimu
 
Usihofu sana,baada ya huo ukubwa utarudi utotoni tena,

Utatembea huku ukiwa umeshikwa mkono,utaogeshwa,utatolewa nje ili uote jua,ukienda toilet utasahu kufungua zipu kabla ya kuachia haja ndogo..

Mambo ni mengi ila kwasasa ishi maisha yako,matatizo ni sehemu tu ya maisha ya mwanadamu.
 
Back
Top Bottom