Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,916
Ushirikina huu unafanana na ule aliofanyiwa mkwere akawa anadondoka hovyohovyo ingawaje akaudhibit alivyotestiwa mshkaj antivairas yake ikashindwa kudhibit shambuliz akaimbiwa mapambio
nchi zilioendelea hawana ushirikina mkuu ni akili na teknolojia tuUshirikina huu unafanana na ule aliofanyiwa mkwere akawa anadondoka hovyohovyo ingawaje akaudhibit alivyotestiwa mshkaj antivairas yake ikashindwa kudhibit shambuliz akaimbiwa mapambio
Hata huu ugonjwa wako ni story tu, hakuna kitu kama hicho.alliens ni stori tu hakunaga kitu kama hicho
Angela anajua Kirusi fasaha, Putin ameishi Ujerumani anajua Kijerumani fasaha. Ujerumani inanunua gesi nyingi kutoka Urusi hivo hizi nchi zinategemeanaBrother PUTIN
Hua namuelewa sana shangazi yetu kansela wakudumu ujerumani kila nikisikia anakutana na Putin hua nacheka
Sijui nihistoria ya Putin na ujeruman mana shangazi naonaga mudawote mtetezi kuhusu putin
waulize wamarekaniHata huu ugonjwa wako ni story tu, hakuna kitu kama hicho.
Waulize wewe kwa vitendo kwa kuvamia Washington kwa kuwa wanausalama wanaumwa utafanikiwa vizuri mno, waambie warusi wakusaidie kuvamia.waulize wamarekani
are you ok?Waulize wewe kwa vitendo kwa kuvamia Washington kwa kuwa wanausalama wanaumwa utafanikiwa vizuri mno, waambie warusi wakusaidie kuvamia.
Ghafla umejiona Mzunguare you ok?
hapana, the way unavyokoment you look unsettled ! Yaani kama vile tunashindana na hilo sio lengoGhafla umejiona Mzungu
Atakuwa muha wa kigoma huyo huwa hawatakagi kuelewa wao nikubisha mwanzo mwishohapana, the way unavyokoment you look unsettled ! Yaani kama vile tunashindana na hilo sio lengo
Aliyekuloga alishakufa na kaburi lake halijulikani lilipo!wakati wenzetu wamefika huko na teknolojia sisi bado tunadai katiba mpya 🤣 🤣
Hayo ni mawazo yako mgando.hapana, the way unavyokoment you look unsettled ! Yaani kama vile tunashindana na hilo sio lengo
Hii series nasikia wameikatisha haendelei tena.Hii scenario inafanana na series moja inaitwa TreadStone. Kwenye hii series Russian army wanaanzisha program ya kuwakata wanajeshi wa marekani na maafisa kisha wqna haribu ubongo na kuwavuruga kabisa sikumbuki furesh ila ni bonge la series.
Yeah ilikatishwa mkuu kwa maslahi ya nchi hizi mbili Russia na UrusiHii series nasikia wameikatisha haendelei tena.
Bonge la series.Yeah ilikatishwa mkuu kwa maslahi ya nchi hizi mbili Russia na Urusi
kwanini hiyo kauli mkuu?Aliyekuloga alishakufa na kaburi lake halijulikani lilipo!