Havana Syndrome: Ugonjwa unaotesa wanadiplomasia na majasusi wa Marekani huku Urusi ikishutumiwa kuhusika

Muuza viatu

JF-Expert Member
May 14, 2020
1,921
2,000
Ushirikina huu unafanana na ule aliofanyiwa mkwere akawa anadondoka hovyohovyo ingawaje akaudhibit alivyotestiwa mshkaj antivairas yake ikashindwa kudhibit shambuliz akaimbiwa mapambio
 

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
3,843
2,000
Ni kweli kuna majaribio mengi kabla ya vita vya pili unaweza kukamata jambazi ukambadilisha kuwa mtumwa na kuenda kurudi kuleta taarifa.

Kama unakumbuka majasusi wengi,waarifu,magaidi waliweza kubadikika na ukajiuliza hawa mbona wamebadilika
 

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,260
2,000
Brother PUTIN
Hua namuelewa sana shangazi yetu kansela wakudumu ujerumani kila nikisikia anakutana na Putin hua nacheka
Sijui nihistoria ya Putin na ujeruman mana shangazi naonaga mudawote mtetezi kuhusu putin
Angela anajua Kirusi fasaha, Putin ameishi Ujerumani anajua Kijerumani fasaha. Ujerumani inanunua gesi nyingi kutoka Urusi hivo hizi nchi zinategemeana
 

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
16,740
2,000
Hii scenario inafanana na series moja inaitwa TreadStone. Kwenye hii series Russian army wanaanzisha program ya kuwakata wanajeshi wa marekani na maafisa kisha wqna haribu ubongo na kuwavuruga kabisa sikumbuki furesh ila ni bonge la series.
 

joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
7,958
2,000
Hii scenario inafanana na series moja inaitwa TreadStone. Kwenye hii series Russian army wanaanzisha program ya kuwakata wanajeshi wa marekani na maafisa kisha wqna haribu ubongo na kuwavuruga kabisa sikumbuki furesh ila ni bonge la series.
Hii series nasikia wameikatisha haendelei tena.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom