Havana Syndrome: Ugonjwa unaotesa wanadiplomasia na majasusi wa Marekani huku Urusi ikishutumiwa kuhusika

Hili likisambaa,
Nitaamini zaidi kweli mwisho wa dunia umekarbia.
Limeshasambaa, imagine hao diplomats walivyosambaa: kila walipo nalo lipo , hivyo huenda hata hapo kwenu masaki limeshatua na likifanya yake tunasingizia changamoto za upumuaji
 
cha ajabu ni wa marekani tu
 
Back
Top Bottom