Haunted houses zipo, chukua hatua

Thubutuuuuh, labda awe mganga wa kienyeji, sio imani ya kiroho tyuuuj, atachezea kichapo hadi asahau na uchungaji wake wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Si kweli mkuu,wapo wachungaji hayo ni mambo madogo Sana,hao viumbe wanasalimu amri vizuri sana.Jambo la msingi elewa tu kwamba wapo watumishi wa Mungu wenye nguvu za kiroho na wanaponya watu,watu wanafunguliwa vizuri Sana.Majini ,wachawi kwa level zao wanakimbia.

Sizungumzi kwa kubahatisha,ila kuna wanaoelewa ninaongea nini.Bahati nzuri kuna mtu ktk familia yangu mwenye uwezo na nguvu za mamlaka hayo na nimeshuhudia vifungo vya watu vya mateso vinaondoka.Watu wanapona magonjwa.

Watu wamekosa imani kwasababu matapeli wamekuwa wengi.

Pili,wewe unayeombewa km pia una imani haba hutaupata uponyaji.
 
Kwaiyo hata bili za umeme yatakuwa yanalipa hayo majini sio
 
Hizi hadithi tyuuh hata kwenye vitabu zipo.
 
Sema tu, ulienda kwa Babu
 
Mtaani hapa kuna nyumba ilishashindikana kukalika, sasahivi naona majini ndio yanajitawala maana ikifika jioni yanawasha taa asubuhi yanazima.

Wapi hapo nije kupanga mkuu

Hizo ni Hadithi tu
 
Ahh Wacha kutuleta huo ni urongo wongo wongooo kabisaass
 
Mama J anasemaje katika hili?πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜†πŸ˜ƒ
 
Kwahiyo huu ndio ushahidi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Imani za dini na ushirikina ni shambulio la kiakili aisee
Mimi siamini shirk wala uchawi wala mizimu ila ipo
Waswahili mnayo sana haya mambo ila mimi nimechangia tu wala hakuna sehemu nimesema naamini
Hayo ni maneno yako mwenyewe

Nenda Haiti ukashuhudie nchi nzima wanaamini haya mambo
Wametoka huko huko kwenu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…