Haunted houses zipo, chukua hatua

Akili ikiwa ndogo imani potofu zinashika nafasi
 
Uliongea nayo vipi sasa
 
Mkuu kutikisika kwa mlango isije ikawa ni upepo[emoji23][emoji23][emoji23]tu
 

Kama bado ipo itabidi nije nimuone OTTAWA nifunge camera nione horror movie
Yaani natamani sana kuona mambo haya zaidi
Kuna wazungu kazi zao hizo kuzitafuta nyumba za hivyo na wanalala humo na wengine wanalipwa [emoji23]
 
Wapo wanaojibu kwa makofi [emoji23][emoji23]
Wengine wanavunja vyombo inategemea na mood zao
Hujawahi kuangalia hata vipindi vya Haunted house
Mkuu ninachouliza mimi uliongea nae vipi kwa ishara au ulitoa sauti au uliongea kimoyomoyo yani sio kuhusu majibu yao
 
Hakuna myu anayelipia umeme?
 
Nenda ukakutane na yenye popo bawa ulete mrejesho mkuu.
 
Hizo nyumba kule lushoto Tanga niliwahi ziona nyumba hazikaliwi na watu ziko ziko tu

Nikadadasi kwa watu vipi hizi nyumba mbona hazikaliwi na watu wakadai zina Mambo ya kimizimu humo ndani

Wanadai mwenye nyumba wakati anakufa hakuletwa ndani ya nyumba yake ndio yakatikea hayo
 
Hahaha

Ahsante Mkuu..Mungu atusaidie sana kwenye hii dunia tuishiyo,Iliyojaa wivu,chuki + malaana ya ajabu.

Hahaha

Ahsante Mkuu..Mungu atusaidie sana kwenye hii dunia tuishiyo,Iliyojaa wivu,chuki + malaana ya ajabu.
Siyo siri kiongozi, msaada Wa Mungu wahitajika haswaa! Dunia hii yastaajabisha mno.
 
Siyo siri kiongozi, msaada Wa Mungu wahitajika haswaa! Dunia hii yastaajabisha mno.
Hakika Mkuu.

Vita ya maombi ni silaha sana,angalau 1hr inasaidia...

Mtu akishazoea maombi Mungu anamuonyesha mambo kwa njia ya ndotoni tuu,kazi inakuwa ni jinsi ya kutafsiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…