Haunted houses zipo, chukua hatua

'.....akomae kweli kweli'

'....basi na iwe hivyo'

umeandika kiufundi kweli hapo!!
Hahaha

Ahsante Mkuu..Mungu atusaidie sana kwenye hii dunia tuishiyo,Iliyojaa wivu,chuki + malaana ya ajabu.
 
Mtaani hapa kuna nyumba ilishashindikana kukalika, sasahivi naona majini ndio yanajitawala maana ikifika jioni yanawasha taa asubuhi yanazima.

Hiyo wameweka zile taa za kujizima zenyewe na kujiwasha zenyewe
 

Bora umemuelewesha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo nyumba ipo nansio?
 
Jirani kwetu kulikuwa na nyumba. Mke akafariki kwa kuwa nyumba ilikua ya mwanamke na mwanaume alikua na mke mwingine akaicha akaenda kuishi kwenye nyumba yake nyingine. Pale wakatafuta mtu wa kupanga ikashindikana wakawa wanakaa kaa tu watu (ndugu zao) basi wakawa hawamalizi muda wanahama.

Baadae wana mtaa wakaja na story kuwa yule mama kachukuliwa msukule na mume wake kawekwa kwenye chumba kimoja mule ndani kwahiyo usiku anawachapa watu viboko wanaolala kwenye nyumba yake.

[emoji1][emoji1][emoji1]binadamu na mambo yetu.
 
Hayo mambo yaskie tu,
Niliishi nyumba moja maeneo ya airport dodoma,sitosahau tuliyokua tunashuhudia,
Kubwa zaid tukahamia nyumba iliyokua haiishi mtu kwa kitambo kirefu maili mbili ikawa changamoto mno, mauza uza kila kukicha

Tuhadithie kidogo mkuu walikuwa wanafanya nini?
Kama kupigwa ndio mbaya zaidi lakini kubamiza milango ni kawaida sana
Ila sasa watu nao wabaya sana na tamaa zao
Yaani nyumba ina matatizo bado unasukumiwa tu [emoji23]
 
walikupa ushauri ufanye nn?
 
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Tuma picha
 
Tuhadithie kidogo mkuu walikuwa wanafanya nini?
Kama kupigwa ndio mbaya zaidi lakini kubamiza milango ni kawaida sana
Ila sasa watu nao wabaya sana na tamaa zao
Yaani nyumba ina matatizo bado unasukumiwa tu [emoji23]
Kifupi ilikua kila usiku kuna ndege analia katika gutter za kushusha maji ya mvua,na ukitoka nje kuangalia mlio unapotea ukirudi ndani mlio unaendelea na katika wiki lazima upatikane mzoga wa kuku ama ndege na wote walikua weusi,kingine ni kusikika kishindo cha mtu kutembea katika korido pasipo kuonekana na ukijaribu kutoka utasikia kishindo kikikimbia na ukimya utatawala.
Dada pekee ndiye alikua muathirika mkubwa wa haya mambo,alikua mweupe mno peke yake katika nyumba na alikua akiamka na majeraha ya kukatwa na kitu mfano wa kisu butu ama kinachokata kwa shida mara kwa mara,aliamua kuondoka baada ya kuandamwa sana na sisi wengine hatukuendelea kuishi hapo baada ya dada kuondoka .
 

Duu poleni sana now this is real
 
Mtaani hapa kuna nyumba ilishashindikana kukalika, sasahivi naona majini ndio yanajitawala maana ikifika jioni yanawasha taa asubuhi yanazima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante sana brother. I can relate [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Km kule kwetu Songea, kuna sehemu ipo nyumba ya mfanya biashara maarufu wa usafiri na nyinginezo, aitwae OTTAWA, Yaan hiyo imeshashindikana misukule yanavizia wapita njia jion jion hivi kuelekea giza, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siku hiyo yakawavizia wanafunzi wa secondary, wacha yawakimbize had barabara kuu ya lami, ndo wakatoa taarifa kwa uongozi, OTTAWA akajibu "watu waache kupita maeneo Yale, litakalowakuta sihusiki" sehemu inatisha hiyo hatari, afu sasa bonge la jumba tena la kifahari.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipo hiyo sana tyuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…