love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,529
- 2,896
Sikuelewi hayo makosa Magufuli aliyafanyia wapi mpaka kila siku mkumbushe watu kuwa alikosa sana.Makosa ya utawala wa awamu ya 5 yatamkwe kwa lengo la kujua maeneo ya kurekebisha, na siyo kuhukumu. Marehemu hahukumiwi.
Mijadala inakuwa mingi na mirefu kwa sababu ni dhahiri kuna makosa mengi yalifanyika wakati wa awamu ya 5 yanayotakiwa kurekebishwa, lakini kuna watu wanataka kuonesha kuwa hakuna kosa lolote lililofanyika wakati wa awamu ya 5. Hawa wanaona awamu ya 5 ulikuwa utawala mtakatifu. Hawa hawana maana wala hoja, na ndio wanaofanya jina la marehemu litajwe mara kwa mara na hata kuhukumiwa na kukejeliwa. Watu kama walikuwa wamepumbazwa au kufitishwa akili, sasa warudi kwenye akili zao. Wajadili kwa kutumia akili zao kuliko kukaa na fikra kuwa Marehemu Magufuli kila alichofanya kilikuwa sahihi au kilikuwa kibaya.
Hapa sasa ndiyo pa kufanyia kazi kupitia SUDECO ambaye ni regulator na TRA mkusanya mapato. Kama kuna udhaifu basi hatua zichukuliwe
Waziri mwenyewe anakiri yakwamba viwanda vingi bado hazijafanyiwa expansion kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa sukari. Na akaenda mbali akasema ni ya Moshi tu ndio imekidhi vigezo.
Kwa report yake anakiri ya kuwa bado viwanda vyetu havina uwezo wa kuzalisha sukari ya kutosha. Hii ni kwa tafsiri rahisi. Halafu anazuia sukari kutoka nje, hii nonsense inaanzia hapa.
Asante sana. Kuna watu hawajui hili tatizo ni la mda mrefu na JPM alitaka liondoke.Kuna mambo ya kuangalia kama Taifa.
Kuna maamuzi unaweza kuyafanya yakaleta madhara hasi kwa miaka 5 ila yakawa chanya baada ya miaka 5 na kuendelea huko.
Leo kiwanda cha azam cha sukari kipo mbioni kuanza uzalishaji, ni faida kwa nchi, sasa piga hesabu tuwe na viwanda vya kutosha tuanze ku attract masoko ya nje, nadhani JPM alikua na lengo hilo kuona TZ inasimama kwenye manufacturing industry.
Wewe unaetaka ku import sukari mpaka vizazi vyako 20 vijavyo huo ni uvivu wa kifikikra, tuna kila utajiri ila tunakosa udhubutu, sisemi haya kwamba ni nilimkubali jpm hapana nasema haya kwa fikra chanya bila kugemea upande au kwa hisia za upendeleo au kunufaika kwa chochote.
Ukiisha linda viwanda vya ndani huwezi kuipata hiyo namba 2 ya kupata sukari kwa bei nafuu...Mwisho, pamoja na mapungufu ya Magufuli vision yake kuhusu sekta ya sukari ilikuwa sahihi. Hatutakiwi kubomoa alichokianzisha, bali turekebishe, na tuboreshe.
..Mambo yafuatayo ni ya msingi :
1. Tulinde viwanda vya ndani.
2. Sukari ipatikane kwa kwa bei nafuu.
3. Tanzania iwe miongoni mwa nchi exporters wa sukari ktk ukanda wetu.
Ukiisha linda viwanda vya ndani huwezi kuipata hiyo namba 2 ya kupata sukari kwa bei nafuu.
Yeyote anayeleta protectionism kwenye biashara hajui tuliko toka...ndiyo maana kuna wizara na sudeco.
..they have to find a delicate balance ya kumlinda mlaji, na kulinda viwanda /mitaji/ajira.
..wenzetu wa Uganda, Malawi, Zambia, ambako tunaagiza sukari wameweza vipi kuwa na surplus ya sukari?
Yeyote anayeleta protectionism kwenye biashara hajui tuliko toka.
Mimi nilikuwa DSM by early 1980s the situation was pathetic, maduka ya Kaya. Thanks to A H Mwinyi aka liberalize economy.
Kama una uwezo mkubwa wa kuzalisha sukari kuliko Zambia na Malawi na Uganda si uzalishe sasa!! Hizo tararira za Pro Mkenda ni za kuandika professorial papers.
Zamani Khanga na masharti tulikuwa tunanunua Urafiki Industry pale Manzese. Viatu tulikuwa tunanunua Bora Shoe pale Pugu Road.
Gone are those days, let any factory that has to perish for failure to survive the turbulent business environment perish. Why protect??
[Sasa huoni kwamba ukivipa leseni viwanda kuagiza unapunguza uwezo wa viwanda kuzalisha na badala yake vinabaki vinaagiza as kuagiza kunalipa zaidi kuliko kuzalisha.
Kwanini usiache kwa wafanyabiashara with limit kuwa wafanyabiashara hawa waagize kiwango hiki. Then weka mifumo ya monitoring
Akikuwa na mute. Chizi aki mute huwezi mjua. Fuatilia dawa zao zinafanya kazi gani?Hahaha! amekaa kwenye cabinet kwa miaka ishirini akiwa na mkapa na kikwete hawakuona uchizi,
Kakaa bungeni miaka 20 pia wabunge wenzake hawakuona uchizi.
Wewe jamii forum ukagundua na uchizi wake.
Wewe na yeye nan chizi?
Unakipaji mkuu hongera .
Tusubiri Azam Sugar ianze ndiyo tuone hayo unayosema. Waziri unaanzaje kulaani nchi za Zambia, Malawi na Uganda wakati ndiyo wateja wako wakubwa wa Bandari? Diplomasia ya biashara na ushirikiano wa kikanda inaruhusu hiyo mentality ya Waziri?Kuna mambo ya kuangalia kama Taifa.
Kuna maamuzi unaweza kuyafanya yakaleta madhara hasi kwa miaka 5 ila yakawa chanya baada ya miaka 5 na kuendelea huko.
Leo kiwanda cha azam cha sukari kipo mbioni kuanza uzalishaji, ni faida kwa nchi, sasa piga hesabu tuwe na viwanda vya kutosha tuanze ku attract masoko ya nje, nadhani JPM alikua na lengo hilo kuona TZ inasimama kwenye manufacturing industry.
Wewe unaetaka ku import sukari mpaka vizazi vyako 20 vijavyo huo ni uvivu wa kifikikra, tuna kila utajiri ila tunakosa udhubutu, sisemi haya kwamba ni nilimkubali jpm hapana nasema haya kwa fikra chanya bila kugemea upande au kwa hisia za upendeleo au kunufaika kwa chochote.
Upi huo?kwani ni uongo kuwa 2015 bei ya sukari ilikuwa ni 1800?!!!alipoingia tu na sera zake za kimzuka ndio akaharibu kabisa, eti sukari nchi nzima iuzwe 1800!!!MUNGU FUNDIUmeandika upumbafu mtupu wenye lengo la kumchafua Magufuli.Awamu iliyopo ni ya sita msitafute visingizio vya upumbavu wenu! Hii ni awamu ya hovyo kuwahi kutokea Tz
Pambana na awamu yako ya sita! Achana na awamu ya tano! Pambana sio na sukari tuuu pambana na mbolea,tozo,maji,umeme,gesi.... Pum*avu kabisa...Upi huo?kwani ni uongo kuwa 2015 bei ya sukari ilikuwa ni 1800?!!!alipoingia tu na sera zake za kimzuka ndio akaharibu kabisa, eti sukari nchi nzima iuzwe 1800!!!MUNGU FUNDI
Bungeni alikuwa anameza. Hujui kuwa alikuwa bingwa wa kumeza. Sifa ya chizi ni kumeza. Akiongea nje ya aliyomeza anaharibu. Mambo ya barakoa sawa na matiti. Ndiyo maana usipo muacha chizi ajiachie unaweza jua ni genius. Kumbe box kama alivyokuwa.Ukiwa bungeni, wizarani, barazani humjui.
Ila jamiiforum?
Yule mwendakuzimu tulishamalizana nalo!!licha ya matatatizo tuliyo nayo lakini angalau watu wana amani mioyoni!!!daaa ila Mungu anatishaaa!!BORA KISAMVU KWENYE AMANI KULIKO BIRIANI KWENYE VITA.ndio maana hata wenzake wameshalikataaa!!!mambo ya awamu ya tano ni yako mimi huko sipo!!na hayo yote uliyoyataja bado kuna mengi tu yana kuja, kutokana na maamuzi ya mwenda kuzimu yule!!Pambana na awamu yako ya sita! Achana na awamu ya tano! Pambana sio na sukari tuuu pambana na mbolea,tozo,maji,umeme,gesi.... Pum*avu kabisa...
Waziri anasema wakulima wa miwa wa Kilombero na Mtibwa wanatupa wastani wa Tani 200 za miwa ambazo viwanda vinashindwa kununua. Hapa unaelewaje?..Ninavyoelewa viwanda vinapewa kibali cha kuagiza nakisi / gap ya kiwango kinachohitajika nchini.
..sijasikia kwamba viwanda vinapewa vibali vya kuagiza ili wasizalishe kabisa.
..pia ukiwapa vibali vya kuagiza wafanyabiashara nadhani hiyo ndio haiwasaidii kabisa wenye viwanda.
..nimesikia waziri wa kilimo anasema mwakani hategemei kutokee uhaba wa sukari, lakini ikiwa kwa bahati mbaya ukatokea, watakaoagiza watakuwa ni bodi ya sukari.
Mkuu unatumia muda wako mwingi kumjibu mtu aliyetumbuliwa aliyezoea kula bila jasho .ukienda kijijini ndo utajua kuwa mama anadangawwnywa kuwa anaupiga mwingi yaani mtu aliyesimamia resiliamia za nchi hii na kuzuia ukatikaji wa umeme ndo awe mbaya na yule anayeruhusu mgawo wa umeme usiokuwa na mbele ww nyumba ndo awe mzuriEinstein kwenye kitabu chake hundred authors against Einstein anasema "if i was wrong one could be enough".
Kama Magufuli angekuwa mbaya kwa kiwango hicho msinge hangaika kila siku ku-prove ubaya wake ungeonekana
wazi bila nguvu kubwa mnayotumia.
Pengine mtu mmoja(lisu) tu angetosha kutaja mabaya ya Magufuli na watanzania wa kamuelewa.
Haina haja ya kurudia kila siku Magufuli alikuwa chizi kama alikuwa chizi mtu mmoja angeeleweka
na watanzania Magufuli alikuwa chizi na sio kampen kama mnavyofanya sasa.