Hatuwezi kutatua tatizo la sukari bila kusahihisha makosa ya Hayati Magufuli kwenye sekta hii mwaka 2016

Makosa ya utawala wa awamu ya 5 yatamkwe kwa lengo la kujua maeneo ya kurekebisha, na siyo kuhukumu. Marehemu hahukumiwi.

Mijadala inakuwa mingi na mirefu kwa sababu ni dhahiri kuna makosa mengi yalifanyika wakati wa awamu ya 5 yanayotakiwa kurekebishwa, lakini kuna watu wanataka kuonesha kuwa hakuna kosa lolote lililofanyika wakati wa awamu ya 5. Hawa wanaona awamu ya 5 ulikuwa utawala mtakatifu. Hawa hawana maana wala hoja, na ndio wanaofanya jina la marehemu litajwe mara kwa mara na hata kuhukumiwa na kukejeliwa. Watu kama walikuwa wamepumbazwa au kufitishwa akili, sasa warudi kwenye akili zao. Wajadili kwa kutumia akili zao kuliko kukaa na fikra kuwa Marehemu Magufuli kila alichofanya kilikuwa sahihi au kilikuwa kibaya.
Sikuelewi hayo makosa Magufuli aliyafanyia wapi mpaka kila siku mkumbushe watu kuwa alikosa sana.
Makosa gani ambayo wewe unayajua ambayo mtanzania mwingine hayajui mpaka mijadala ya kurudia rudia
kila uchao.
Kama makosa yapo basi ni bayana haina haja ya threads 1000 ku-prove ubaya wake.
Hamhangaiki kujadili makosa yake bali kuprove ubaye wake na mara zote mmeshindwa.
Fact moja inatosha kuprove ubaya wake na sio idadi ya watesi wake.
 
Kuna mambo ya kuangalia kama Taifa.

Kuna maamuzi unaweza kuyafanya yakaleta madhara hasi kwa miaka 5 ila yakawa chanya baada ya miaka 5 na kuendelea huko.

Leo kiwanda cha azam cha sukari kipo mbioni kuanza uzalishaji, ni faida kwa nchi, sasa piga hesabu tuwe na viwanda vya kutosha tuanze ku attract masoko ya nje, nadhani JPM alikua na lengo hilo kuona TZ inasimama kwenye manufacturing industry.

Wewe unaetaka ku import sukari mpaka vizazi vyako 20 vijavyo huo ni uvivu wa kifikikra, tuna kila utajiri ila tunakosa udhubutu, sisemi haya kwamba ni nilimkubali jpm hapana nasema haya kwa fikra chanya bila kugemea upande au kwa hisia za upendeleo au kunufaika kwa chochote.
 
Hapa sasa ndiyo pa kufanyia kazi kupitia SUDECO ambaye ni regulator na TRA mkusanya mapato. Kama kuna udhaifu basi hatua zichukuliwe

Waziri mwenyewe anakiri yakwamba viwanda vingi bado hazijafanyiwa expansion kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa sukari. Na akaenda mbali akasema ni ya Moshi tu ndio imekidhi vigezo.

Kwa report yake anakiri ya kuwa bado viwanda vyetu havina uwezo wa kuzalisha sukari ya kutosha. Hii ni kwa tafsiri rahisi. Halafu anazuia sukari kutoka nje, hii nonsense inaanzia hapa.

..waziri hajazuia uagizaji wa sukari.

..alichozuia ni uagizaji holela unaosababisha viwanda vya ndani vishindwe kushindana / kuzalisha, na zaidi wakulima kulazimika kuharibu / kuteketeza mavuno yao.

..yako madai kwamba miwa inayoteketezwa ingenunuliwa na kutumiwa viwandani tungeweza kuzalisha na kuziba nakisi ya sukari nchini.

..ili kuvilinda na kuviwezesha viwanda vya ndani, ili vikue na huko mbeleni Tanzania iwe EXPORTER wa sukari, waziri / wizara wameweka utaratibu kwamba wenye viwanda ndio wapewe vibali vya kuagize sukari.

..Waziri / wizara / serikali wanaamini kwamba wenye viwanda wakipewa vibali hakutakuwa na uagizaji wa kiholela utakaoathiti viwanda na wakulima wetu negatively.

..Waziri pia ameeleza kwamba anatarajia pengo la uzalishaji wa sukari halitakuwepo mwakani. Lakini kama litakuwepo SUDECO na sio wenye viwanda ndio watakaopewa jukumu la kuagiza sukari.

..Nilichokiona mimi ni kwamba Raisi hajawa-briefed vya kutosha kuhusu sekta ya sukari na changamoto zake. Raisi angekuwa na taarifa sahihi za kutosha asingetoa statement ile.

..Mwisho, pamoja na mapungufu ya Magufuli vision yake kuhusu sekta ya sukari ilikuwa sahihi. Hatutakiwi kubomoa alichokianzisha, bali turekebishe, na tuboreshe.

..Mambo yafuatayo ni ya msingi :

1. Tulinde viwanda vya ndani.
2. Sukari ipatikane kwa kwa bei nafuu.
3. Tanzania iwe miongoni mwa nchi exporters wa sukari ktk ukanda wetu.
 
Kuna mambo ya kuangalia kama Taifa.

Kuna maamuzi unaweza kuyafanya yakaleta madhara hasi kwa miaka 5 ila yakawa chanya baada ya miaka 5 na kuendelea huko.

Leo kiwanda cha azam cha sukari kipo mbioni kuanza uzalishaji, ni faida kwa nchi, sasa piga hesabu tuwe na viwanda vya kutosha tuanze ku attract masoko ya nje, nadhani JPM alikua na lengo hilo kuona TZ inasimama kwenye manufacturing industry.

Wewe unaetaka ku import sukari mpaka vizazi vyako 20 vijavyo huo ni uvivu wa kifikikra, tuna kila utajiri ila tunakosa udhubutu, sisemi haya kwamba ni nilimkubali jpm hapana nasema haya kwa fikra chanya bila kugemea upande au kwa hisia za upendeleo au kunufaika kwa chochote.
Asante sana. Kuna watu hawajui hili tatizo ni la mda mrefu na JPM alitaka liondoke.
 
..Mwisho, pamoja na mapungufu ya Magufuli vision yake kuhusu sekta ya sukari ilikuwa sahihi. Hatutakiwi kubomoa alichokianzisha, bali turekebishe, na tuboreshe.

..Mambo yafuatayo ni ya msingi :

1. Tulinde viwanda vya ndani.
2. Sukari ipatikane kwa kwa bei nafuu.
3. Tanzania iwe miongoni mwa nchi exporters wa sukari ktk ukanda wetu.
Ukiisha linda viwanda vya ndani huwezi kuipata hiyo namba 2 ya kupata sukari kwa bei nafuu.
 
Ukiisha linda viwanda vya ndani huwezi kuipata hiyo namba 2 ya kupata sukari kwa bei nafuu.

..ndiyo maana kuna wizara na sudeco.

..they have to find a delicate balance ya kumlinda mlaji, na kulinda viwanda /mitaji/ajira.

..wenzetu wa Uganda, Malawi, Zambia, ambako tunaagiza sukari wameweza vipi kuwa na surplus ya sukari?
 
Yeyote anayeleta protectionism kwenye biashara hajui tuliko toka.

Mimi nilikuwa DSM by early 1980s the situation was pathetic, maduka ya Kaya. Thanks to A H Mwinyi aka liberalize economy.

Kama una uwezo mkubwa wa kuzalisha sukari kuliko Zambia na Malawi na Uganda si uzalishe sasa!! Hizo tararira za Pro Mkenda ni za kuandika professorial papers.

Zamani Khanga na masharti tulikuwa tunanunua Urafiki Industry pale Manzese. Viatu tulikuwa tunanunua Bora Shoe pale Pugu Road.

Gone are those days, let any factory that has to perish for failure to survive the turbulent business environment perish. Why protect??
[Sasa huoni kwamba ukivipa leseni viwanda kuagiza unapunguza uwezo wa viwanda kuzalisha na badala yake vinabaki vinaagiza as kuagiza kunalipa zaidi kuliko kuzalisha.

Kwanini usiache kwa wafanyabiashara with limit kuwa wafanyabiashara hawa waagize kiwango hiki. Then weka mifumo ya monitoring
 
..Ninavyoelewa viwanda vinapewa kibali cha kuagiza nakisi / gap ya kiwango kinachohitajika nchini.

..sijasikia kwamba viwanda vinapewa vibali vya kuagiza ili wasizalishe kabisa.

..pia ukiwapa vibali vya kuagiza wafanyabiashara nadhani hiyo ndio haiwasaidii kabisa wenye viwanda.

..nimesikia waziri wa kilimo anasema mwakani hategemei kutokee uhaba wa sukari, lakini ikiwa kwa bahati mbaya ukatokea, watakaoagiza watakuwa ni bodi ya sukari.

Hahaha! amekaa kwenye cabinet kwa miaka ishirini akiwa na mkapa na kikwete hawakuona uchizi,

Kakaa bungeni miaka 20 pia wabunge wenzake hawakuona uchizi.

Wewe jamii forum ukagundua na uchizi wake.

Wewe na yeye nan chizi?

Unakipaji mkuu hongera .
Akikuwa na mute. Chizi aki mute huwezi mjua. Fuatilia dawa zao zinafanya kazi gani?
 
Hivi hamuwezi kujadili hoja bila ya kutumia lugha kali na mbaya,mbona hoja ni nyepesi sana kujadiliwa bila ya matusi
 
Kuna mambo ya kuangalia kama Taifa.

Kuna maamuzi unaweza kuyafanya yakaleta madhara hasi kwa miaka 5 ila yakawa chanya baada ya miaka 5 na kuendelea huko.

Leo kiwanda cha azam cha sukari kipo mbioni kuanza uzalishaji, ni faida kwa nchi, sasa piga hesabu tuwe na viwanda vya kutosha tuanze ku attract masoko ya nje, nadhani JPM alikua na lengo hilo kuona TZ inasimama kwenye manufacturing industry.

Wewe unaetaka ku import sukari mpaka vizazi vyako 20 vijavyo huo ni uvivu wa kifikikra, tuna kila utajiri ila tunakosa udhubutu, sisemi haya kwamba ni nilimkubali jpm hapana nasema haya kwa fikra chanya bila kugemea upande au kwa hisia za upendeleo au kunufaika kwa chochote.
Tusubiri Azam Sugar ianze ndiyo tuone hayo unayosema. Waziri unaanzaje kulaani nchi za Zambia, Malawi na Uganda wakati ndiyo wateja wako wakubwa wa Bandari? Diplomasia ya biashara na ushirikiano wa kikanda inaruhusu hiyo mentality ya Waziri?
 
Umeandika upumbafu mtupu wenye lengo la kumchafua Magufuli.Awamu iliyopo ni ya sita msitafute visingizio vya upumbavu wenu! Hii ni awamu ya hovyo kuwahi kutokea Tz
Upi huo?kwani ni uongo kuwa 2015 bei ya sukari ilikuwa ni 1800?!!!alipoingia tu na sera zake za kimzuka ndio akaharibu kabisa, eti sukari nchi nzima iuzwe 1800!!!MUNGU FUNDI
 
Upi huo?kwani ni uongo kuwa 2015 bei ya sukari ilikuwa ni 1800?!!!alipoingia tu na sera zake za kimzuka ndio akaharibu kabisa, eti sukari nchi nzima iuzwe 1800!!!MUNGU FUNDI
Pambana na awamu yako ya sita! Achana na awamu ya tano! Pambana sio na sukari tuuu pambana na mbolea,tozo,maji,umeme,gesi.... Pum*avu kabisa...
 
Ukiwa bungeni, wizarani, barazani humjui.
Ila jamiiforum?
Bungeni alikuwa anameza. Hujui kuwa alikuwa bingwa wa kumeza. Sifa ya chizi ni kumeza. Akiongea nje ya aliyomeza anaharibu. Mambo ya barakoa sawa na matiti. Ndiyo maana usipo muacha chizi ajiachie unaweza jua ni genius. Kumbe box kama alivyokuwa.
 
Pambana na awamu yako ya sita! Achana na awamu ya tano! Pambana sio na sukari tuuu pambana na mbolea,tozo,maji,umeme,gesi.... Pum*avu kabisa...
Yule mwendakuzimu tulishamalizana nalo!!licha ya matatatizo tuliyo nayo lakini angalau watu wana amani mioyoni!!!daaa ila Mungu anatishaaa!!BORA KISAMVU KWENYE AMANI KULIKO BIRIANI KWENYE VITA.ndio maana hata wenzake wameshalikataaa!!!mambo ya awamu ya tano ni yako mimi huko sipo!!na hayo yote uliyoyataja bado kuna mengi tu yana kuja, kutokana na maamuzi ya mwenda kuzimu yule!!
 
Ni ujinga MTU kuona nchi kubwa kama Tanzania tunashindwa kuzalisha sukari ya kutosha.Tatizo watanzania tunatakaga faida kubwa sana kwenye bidhaa zetu.Can you imagine leo mafuta ya petrol kule Burundi bei iko chini sana kuliko huku kwetu Tanzania
?? Inafikirisha sana.
 
..Ninavyoelewa viwanda vinapewa kibali cha kuagiza nakisi / gap ya kiwango kinachohitajika nchini.

..sijasikia kwamba viwanda vinapewa vibali vya kuagiza ili wasizalishe kabisa.

..pia ukiwapa vibali vya kuagiza wafanyabiashara nadhani hiyo ndio haiwasaidii kabisa wenye viwanda.

..nimesikia waziri wa kilimo anasema mwakani hategemei kutokee uhaba wa sukari, lakini ikiwa kwa bahati mbaya ukatokea, watakaoagiza watakuwa ni bodi ya sukari.

Waziri anasema wakulima wa miwa wa Kilombero na Mtibwa wanatupa wastani wa Tani 200 za miwa ambazo viwanda vinashindwa kununua. Hapa unaelewaje?
 
weka kumbukumbu zako sahihi, sukari 2011 ilifikia mpaka 8000 kwa kg!!, ukisema hatujawahi kuwa ana uhaba au mfumuko wa bei toka miaka ya 90 ntakushangaa!
 
Einstein kwenye kitabu chake hundred authors against Einstein anasema "if i was wrong one could be enough".
Kama Magufuli angekuwa mbaya kwa kiwango hicho msinge hangaika kila siku ku-prove ubaya wake ungeonekana
wazi bila nguvu kubwa mnayotumia.
Pengine mtu mmoja(lisu) tu angetosha kutaja mabaya ya Magufuli na watanzania wa kamuelewa.
Haina haja ya kurudia kila siku Magufuli alikuwa chizi kama alikuwa chizi mtu mmoja angeeleweka
na watanzania Magufuli alikuwa chizi na sio kampen kama mnavyofanya sasa.
Mkuu unatumia muda wako mwingi kumjibu mtu aliyetumbuliwa aliyezoea kula bila jasho .ukienda kijijini ndo utajua kuwa mama anadangawwnywa kuwa anaupiga mwingi yaani mtu aliyesimamia resiliamia za nchi hii na kuzuia ukatikaji wa umeme ndo awe mbaya na yule anayeruhusu mgawo wa umeme usiokuwa na mbele ww nyumba ndo awe mzuri
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom