Hatutakubali hili la nyongeza ndogo ya mshahara!

Kama hukubali acha kazi. Kweni ni lazima ufanye kazi serikalini.
 
hakuna kuacha kazi,kazi naendelea nayo ila lazima niwe mtu muhimu kuingoa serikali dhalimu ya ccm,
nafanya uhamasishaji wa kufa mtu kwa wanafunzi wa secondary kuiadhibu seikali ya ccm 2015(wengi wao by 2015 watakuwa above 18,na pia nahakisha wote wanajiandikisha)
 
kuiondosha serikali dhalimu sio lazima kuingia msituni,mwaka huu mtu(ccm) haponi,yaani nimeikamia kweli hii chama cha majambazi
 
wafanyakazi wamevumilia vya kutosha,hizi ambali za kuongeza mshahara kati 6% to 11% Kama zitakuwa ni za kweli wakatiwa kutangazwa kwa bajeti 2013/2014,kamwe wafanyakazi hatutavumilia upuuzi huu wa miaka nendarudi,hivyo tunangoja tusikie hilo ongezeko litakuwaje kupitia waziri wa kazi.

Na serikali ikae ikijua jinsi gharama za maisha zilivopanda maradufu likiwemo hili la nauli mpya,ni muda wa wafanyakazi kuungana na kudai haki za msingi ikiwemo ongezeko la mshahara unaokidhi maitaji ya kila siku ya binadamu

sasa wameongeza au wamepunguza?
Serikali imetimiza ahadi zake tayari nafikiri,we asilimi 12 umeona ndogo?hata ikiongezwa 100% bado utalalamika,hamna jema watanzania
 
wafanyakazi wamevumilia vya kutosha,hizi ambali za kuongeza mshahara kati 6% to 11% Kama zitakuwa ni za kweli wakatiwa kutangazwa kwa bajeti 2013/2014,kamwe wafanyakazi hatutavumilia upuuzi huu wa miaka nendarudi,hivyo tunangoja tusikie hilo ongezeko litakuwaje kupitia waziri wa kazi.

Na serikali ikae ikijua jinsi gharama za maisha zilivopanda maradufu likiwemo hili la nauli mpya,ni muda wa wafanyakazi kuungana na kudai haki za msingi ikiwemo ongezeko la mshahara unaokidhi maitaji ya kila siku ya binadamu

Hakuna kubali ujinga wa zahifu? Kwani what is the the inflation rate standing for Tz. currently? Kuwatahazarisha tu hiyo percentage ya nyongeza ya mishahara lazima izidi percentage inflation significantly. Say if the inflation rate is still at 7% as I left it then hiyo salary increment isipungue 14%. Sipo Tz otherwise ningeongoza hii peaceful demonstration
 
Tatizo mnajifanya wavumilivu sana wa shida sasa kelele za nini wakati mlijibiwa kua hata kura zenu hazitakiwi? Au hata hayo maneno yanahitaji mtu awe na masters au awe prof ndo aelewe? Chukua hatua na si kulalamika kila kukicha.
 
mkuu mimi silalamiki,bali nimeanza kuchukua hatua,nataka tuungane tuifudishe adabu hii serikali tena kwa amani,lazima waondoke 2015
 
wafanyakazi wamevumilia vya kutosha,hizi ambali za kuongeza mshahara kati 6% to 11% Kama zitakuwa ni za kweli wakatiwa kutangazwa kwa bajeti 2013/2014,kamwe wafanyakazi hatutavumilia upuuzi huu wa miaka nendarudi,hivyo tunangoja tusikie hilo ongezeko litakuwaje kupitia waziri wa kazi.

Na serikali ikae ikijua jinsi gharama za maisha zilivopanda maradufu likiwemo hili la nauli mpya,ni muda wa wafanyakazi kuungana na kudai haki za msingi ikiwemo ongezeko la mshahara unaokidhi maitaji ya kila siku ya binadamu
Habari kamili ni kwamba nyongeza ni 8.4% kwa watumishi wote sasa convert na kiasi ulichokuwa unabeba muda ule wa awali.
 
Walimu waige mfano wa wenzao Kenya, wawe na tamko moja litakalowapeleka ktk mafanikio juu ya madai yao.Serikali hii ya sasa si sikivu inahitaji kushinikizwa ukizingatia rais mwenyewe alishawadjarau kitaambo!
 
tena walimu ni kundi kubwa sana,wakiungana lazima watafanikisha
 
Back
Top Bottom