Hatutaki elimu ya bure ya Lowassa...

Hatutaki elimu ya bure ya Lowassa...

Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.

Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.

Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.

Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.

Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.

Elimu elimu elimu.
 
Pumbav mkubwa
 
1. Sisi wengine tuliosoma enzi za utawala wa Mwalimu elimu bure inawezekana. Enzi zile ilikuwa elimu bure, huduma za afya bure na usafiri kwa wanafunzi bure.
2. Wakati ule uchumi wa Tanzania ulikuwa mdogo na sasa umekuwa hadi kufikia 7 per cent ya GDP.
3. Elimu bure maana yake ni kwamba serikali inatumia kodi na vyanzo vyake vya mapato kutoa huduma za uhakika kwa wananchi wake.
4. Mfano, Algeria elimu ni bure hadi chuo kikuu na serikali inatoa scholarship kwa wanafunzi Watanzania wengi tu kila mwaka. Ninawafahamu wawili ambao licha ya kusoma bure wanasaidia familia zao kwa pocket money wanayopewa. Mwaka 2010 nilienda Algiers na baadhi ya Watanzania walikuwa wanatuma euros hata 1,200 kwa familia zao nyumbani. Hivyo, elimu bure inawezekana maana ni namna tu serikali inavyoamua kuwekeza na kubana matumizi (kutofuja mali kama ilivyo kwa sasa). Rejea ripoti za CAG za kila mwaka uone mabilioni ya fedha yanayoliwa na pia serikali kushindwa kukusanya kodi.
5. Tukipata serikali makini na yenye mfumo mzuri unaoongozwa na katiba kama vile ilivyokuwa imependekezwa kwenye rasimu ya pili (ya Warioba) tutapata mabadiliko ya kweli maana viongozi watawajibika kwa wananchi na huduma za jamii zitaboreka.
 
Watu wengine wamepata div zero sasa wakisikia elimu bure wivu unataka kuwapasua... Eti sitaki elimu ya bure???.... Hii elimu si kwa kila mtu bali kwa mwenye uwezo darasani kama umeishia zero hata ukiikubali haitakusaidia kwani ushashindwa

nilifeli kwani shule haikuwa na madawati haikuwa na vitabu walimu hawafundishi kwa kukosa motisha,

leo mnataka na mwanangu nae apate sifuli kama mimi? Nipeni pesa nimie mwanangu akasome kaizirege atoke na div one.

Hapa hamna elimu ya bure mnataka kupiga dili lavitabu na mishahara hewa.

Hajawasomesha bure wamasai aje atusomeshe wakurya na wahaya? Aende zake huko.
 
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.

Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.

Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.

Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.

Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.
Nina wasiwasi unatafuta mtaji wa biashara kupitia bodi ya mikopo! Tunataka Elimu bure kwa watanzania wote
 
1. Sisi wengine tuliosoma enzi za utawala wa Mwalimu elimu bure inawezekana. Enzi zile ilikuwa elimu bure, huduma za afya bure na usafiri kwa wanafunzi bure.
2. Wakati ule uchumi wa Tanzania ulikuwa mdogo na sasa umekuwa hadi kufikia 7 per cent ya GDP.
3. Elimu bure maana yake ni kwamba serikali inatumia kodi na vyanzo vyake vya mapato kutoa huduma za uhakika kwa wananchi wake.
4. Mfano, Algeria elimu ni bure hadi chuo kikuu na serikali inatoa scholarship kwa wanafunzi Watanzania wengi tu kila mwaka. Ninawafahamu wawili ambao licha ya kusoma bure wanasaidia familia zao kwa pocket money wanayopewa. Mwaka 2010 nilienda Algiers na baadhi ya Watanzania walikuwa wanatuma euros hata 1,200 kwa familia zao nyumbani. Hivyo, elimu bure inawezekana maana ni namna tu serikali inavyoamua kuwekeza na kubana matumizi (kutofuja mali kama ilivyo kwa sasa). Rejea ripoti za CAG za kila mwaka uone mabilioni ya fedha yanayoliwa na pia serikali kushindwa kukusanya kodi.
5. Tukipata serikali makini na yenye mfumo mzuri unaoongozwa na katiba kama vile ilivyokuwa imependekezwa kwenye rasimu ya pili (ya Warioba) tutapata mabadiliko ya kweli maana viongozi watawajibika kwa wananchi na huduma za jamii zitaboreka.

wakati wa mwl watz walikuwa 9m, shule zilikuwa nane tu na km za lami elfu moja, ilikuwa ukifaulu la saba unahama kijijini usilogwe.

Shule za wasichana zilikuwa tatu tu, na chuo kikuu kimoja chenye wanafunzi wasiozidi mia mbili,

leo watz wako 45m, vyuo vikuu pekee zaidi ya 35, changamoto ni nyingi pia, tunahitaji mtu mwenye nguvu na hekima.

Angalia marekani italia uturuki uingereza wanachagua viongozi vijana sisi tunakomalia vibabu vilivyochoka sijui tunamatatizo gani?
 
Nina wasiwasi unatafuta mtaji wa biashara kupitia bodi ya mikopo! Tunataka Elimu bure kwa watanzania wote

mbona hamzungumzii juu ya michango ya makwanja madawati majembe ream za karatasi kama zitakoma? Ona kule mwanza wenje aliwambia akiwa mbunge alimu itakuwa bure hadi anaondoka michango imeongezeka maradufu na yeye yuko kimya, tena mtoto asipoenda na pesa ni kichapo kwa kwenda mbele, bora ya private mtoto hana ada mkurugenzi anakupigia simu kukumbusha.
 
utafanya biashara gani na huu ngao wa umeme? Miaka 25 tunalipia richmond sio mchezo.
 
Hilo nalo neno mkuu!! si ninasikiasikia ile gesi eti imeshafika mjini au!!?
 
mbona hamzungumzii juu ya michango ya makwanja madawati majembe ream za karatasi kama zitakoma? Ona kule mwanza wenje aliwambia akiwa mbunge alimu itakuwa bure hadi anaondoka michango imeongezeka maradufu na yeye yuko kimya, tena mtoto asipoenda na pesa ni kichapo kwa kwenda mbele, bora ya private mtoto hana ada mkurugenzi anakupigia simu kukumbusha.
kuna kawimbo ka FID Q kana sema hivi "Naamka kistimu na ndoto kede,Elimu biashara tutasomaje" kwa ufupi ni kwamba serikali ni mdau mkuu wa elimu ya tanzania kwa minajili ya kibiashara na ndio maana ni vigumu ukatetea elimu bure kama hujayashika madaraka kamili ya nchi hii kuanzia state house, kinyume na hapo utakuwa umewafungua macho serikali ni wapi wakapige biashara elimu tena kama huko unakokusema! Kumbuka michango ya maabara aliisisitiza nani tena na kuadhibiwa watu waliadhibiwa kwakukosa hela ya kuchangia!!? ndio dili za madawati na na chaki watashindwa!?
 
Eti nae atalipwa buku7 duuuh kweli elimu ni muhimu sana
 
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.

Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.

Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.

Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.

Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.

WW inaeonekana ni mjinga,mbumbu, ata kichwani shule hakuna. Na utakuwa umelogwa na aliekuloga ni ccm na alieiloga ccm ashakufa tahadhari usije ukamrithisha mtoto Wako huo ujinga Wako.
 
We jamaa **** kweli !! nenda kaoge umfate mme wako chumbani!!
 
WW inaeonekana ni mjinga,mbumbu, ata kichwani shule hakuna. Na utakuwa umelogwa na aliekuloga ni ccm na alieiloga ccm ashakufa tahadhari usije ukamrithisha mtoto Wako huo ujinga Wako.

kunitukana hunitendei haki, jenga hoja nikubaliane na falsafa ya elimu bure, ikumbukwe pesa ya kugharamia elimu ya bure itatokana na kodi, wakati walipa kodi wakubwa watoto wao wanasoma shule za private wanatibiwa hospital binafsi wanasafiri kwa magari binafsi, kwanini basi nao wasifaidike na sehemu ya kodi wanayolipa kwa shule za private kupata ruzuku?

Kama lengo la kusomesha bure kuwa wazazi hawana uwezo basi watoto wakopeshwe ada ili watakapokuwa wakubwa na uwezo walipe hiyo ada kama wanavyofanya wanafunzi wa vyuo vikuu, tatizo liko wapi?

Au watoto wasome bure ili wafeli na wao wawe na maisha duni kama babazao?
 
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.

Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo

Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.

Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.

Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.

Ulishajaribu kumkoposha mwanao wa darasa la tatu pesa ili atafute shule aipendae? Hizo shule ya kusomea kwa kupewa mkopo bila kuwepo na taasisi imara ya kuzisimamia, ujui kua shule ya msingi utalipa 10M/year alafu chuo kikuu ukalipa 500K/year?

Labda hata maana ya Bure ujui, nenda USA uwezi kumchukua mwalimu akufundishie mwanao masomo ya ziada kama uchafu ulivyo hapa Tanzania...lazima utamlipa mshahara kama anavyolipwa na taasisi usika.

We ujui kua Uchafu kama vitabu na tuition holela ndo zimeshusha kiwango cha elemu ukiongeza na usimamizi mbovu wa ccm
 
Back
Top Bottom