Hatutaki elimu ya bure ya Lowassa...

Hatutaki elimu ya bure ya Lowassa...

Watu wengine wamepata div zero sasa wakisikia elimu bure wivu unataka kuwapasua... Eti sitaki elimu ya bure???.... Hii elimu si kwa kila mtu bali kwa mwenye uwezo darasani kama umeishia zero hata ukiikubali haitakusaidia kwani ushashindwa
 
Jichunguze vyema kama kwenye ukoo wenu hakuna kichaa cha kurithi maana naonaunapoelekea ni kubaya zaidi utakuwa familia ya kinana naona
 
wewe kweli mandazi kila mtu akikopeshwa ela si mfumuko wa bei huo tayari unataka tuwe Zimbabwe

Kwanza ela ni nini? pili kabla ya kupost umetafakari ulichoandika! nina wasiwasi kama hata huo mfumuko wa bei unaujua: Vipi bodaboa yako ipo kwa fundi nini!
 
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.

Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.

Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.

Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.

Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.

Hutaki na nani? Sema wewe mweyewe uliyeshiba pesa za Escrow na mapesa ya mabehewa mabovu na vivuko feki ndiye hutaki Elimu ya bure, Nchi hii ni Tajiri sana imejaa Rasilimali za kutosha pindi zikisimamiwa vizuri hata Hospital dawa zitaweza kutolewa bure. Pesa nyingi zinapotelea matumboni kwa wajanja wachache sasa ukawa inakuja na jawabu la kudhibiti pesa za umma ili kujenga Tanzania mpya iliyo bora.
 
Wote mnaoshabikia elimu burE ya Lowassa SIKILIZENI ALICHOKISEMA, HAKUNA ELIMU YA BURE

Last edited by a moderator:
wewe kweli mandazi kila mtu akikopeshwa ela si mfumuko wa bei huo tayari unataka tuwe Zimbabwe

Kwanza ela ni nini? pili kabla ya kupost umetafakari ulichoandika! nina wasiwasi kama hata huo mfumuko wa bei unaujua: Vipi bodaboa yako ipo kwa fundi nini!
 
Hutaki na nani? Sema wewe mweyewe uliyeshiba pesa za Escrow na mapesa ya mabehewa mabovu na vivuko feki ndiye hutaki Elimu ya bure, Nchi hii ni Tajiri sana imejaa Rasilimali za kutosha pindi zikisimamiwa vizuri hata Hospital dawa zitaweza kutolewa bure. Pesa nyingi zinapotelea matumboni kwa wajanja wachache sasa ukawa inakuja na jawabu la kudhibiti pesa za umma ili kujenga Tanzania mpya iliyo bora.

acha kupumbaza watu, utatibuje bure pasipo kuboresha maslahi ya madaktari? Ulishasikia lowasa anasema ataboresha mafao ya walimu na madaktari? Anasema atawajali mama lishe na bodaboda hajasema atawajali walimu madaktari na polisi, hao kwake hawana nafasi kabisa.
 
Sema hutaki,mimi nataka bila kujali anayeitoa ni nani.
 
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.

Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.

Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.

Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.

Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.

katika hili tupo pamoja maana juzi tuu anasema elimu mtapata bure then hapohapo anasema itakiwa na gharama rahisi.... 😨😨😨😨
 
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.

Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.

Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.

Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.

Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.

Unataka ya Magufuli?!!
 
nikikopa nitatumia vizuri kwani najua kunakulipa na nikirejesha atakopeshwa na mwingine na mwingine zoezi litakuwa endelevu.

Kwanini ukope wakati uwezekano wa kukipata bure upo hujui kwamba kukopa ni adha
 
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.

Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.

Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.

Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.

Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.

Unataka mkopo dhidi ya huduma ya bure?
what strategy is that?
Kwahakika wewe sio mfanyabiashara, sio mjasiriamali, sio msomi na sio muelewa ni mtu mwenye ukoko sehemu ubongo unatakiwa ukae.
Watu wa aina yako ni mzigo kwa Taifa na mnachangia sana kuonyesha kwamba Afrika kuna uelewa mdogo.

Ukijinyonga utakuwa umetoa msaada mkubwa sana kwa taifa letu!
 
Wakati mimba yako inatunga kuna vitu muhimu vilivyokosekana ktk ujuwaji wa mimba na hata baada ya kuzaliwa kwako. Kwa msingi huo hata kama aje nani aseme elimu ni bure tofauti na lowassa hautamwelewa una tatizo la kimaumbile
 
Wanaoitaka wataingia darasani kwani nani asiyejua kuwa wewe ulishindwa kuendelea kwa vile wazaz wako walikosa ada na mkopo hukupata sasa unataka mkose wote elimu.Lowasa gooooooooogoooooo
 
Mkuu sema huna kipaji cha kusoma. Kaimbe bongo flava acha wenzio wakasome
 
Lowasa tapeli tu hiyo elimu bure ataitoa kwa nani wakati yeye mwenyewe kajikita kwenye ufisadi na rushwa.
 
Back
Top Bottom