Hatutaki elimu ya bure ya Lowassa...

Hatutaki elimu ya bure ya Lowassa...

Hapana,hata kama hujapenda mawazo yake, lakini kwa matuasi haya umekwenda mbali sana.Moderator wengine mtaacha tutoke humu JF.Please moderate.

mkuu watu wana hasira ndo maana wanaropoka! Tuwasamehe na tuendelee kuwaonya kwamba siasa sio uadui bali ni kushindanisha hoja.
 
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.

Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.

Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.

Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.

Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.

Yaani wewe lazima utakuwa chizi mento flani, maana hata hujui unachokitetea!!

Wewe badala uulize how provisional of education can be free kupitia serikali ijayo ya Lowassa na CHADEMA/UKAWA, unaloloma kama fisi aliye na njaa!!

By any means, hii policy ni nzuri sana lakini swali kuu lisilo la kama umevuta bangi kama wewe ktk bandiko lako liwe;

Kwa vipi CHADEMA/UKAWA kupitia kwa mgombea wao EDWARD N. LOWASSA ataweza isiwe kwa CCM na MAGUFULI WAO pamoja na akina MWINYI, MKAPA na KIKWETE walioshindwa for more than 50yrs??

Si hivyo tu bali ni lazima tuwahoji hawa wagombea wetu na vyama vyao wanavyoviwakilisha swali hili la msingi, kwamba, wanaposema "serikali yao ijayo watakayoingoza elimu itakuwa bure (msingi hadi kidato cha nne - CCM/Magufuli) au (chekechea hadi chuo kikuu - CHADEMA/UKAWA/Lowassa)", wanamaanisha nini??

Hili la mwisho ni la msingi sana ili kutuondolea mashaka kama uliyonayo wewe ya namna watakavyotekeleza sera hii hasa kwa namna watakavyopata pesa ya kugharamia hili!!
 
hakuna haja ya kuniita chizi, tuongelee hoja ya msingi, nyerere alifuta shule za privete kama chopra na tambaza watoto wakasoma bure, je lowasa atafuta feza boys na tusiime watoto wasome bure?

Hizi shule zinazotoa sifuri kuna haja gani ya kuzigharamia wakati shule kama kaizirege wakabane na wavuvi kupata ada?

Elimu bure ya chuo kikuu ni pamoja na vyuo kama saut cuhas na aghakhan university? Au bodi ya mikopo itabaki kwa wanafunzi wa private schools and collages?
 
Badala ya kujibu hoja mnatukana sijui mkoje?
 
Alafu ujiongelee peke ako cio kusema hatutak mm binafsi nataka mwanaharam ww
 
Kama kwenu wanajivunia kuwa na wewe basi mna mikosi
 
Utaki wewe tutampa kumbe kusoma sio kuelimoka ni kuongeza marifa unaweza kusoma lakini elimu yako ikawa aisaidii chochote katika jamii we ni sawa na mzigo unabebwa hapa na kuwekwa hapa
 
Kuna haja ya elimu iwe bure ili watu kama mleta uzi wapate mwanga. Najiuliza mtu kama huyu amefikaje hadi huku JF na kubandika mbumba yote hii? Modz.
 
Utaki wewe tutampa kumbe kusoma sio kuelimoka ni kuongeza marifa unaweza kusoma lakini elimu yako ikawa aisaidii chochote katika jamii we ni sawa na mzigo unabebwa hapa na kuwekwa hapa

tofautisha kusoma skuli na kusoma gazeti.
 
Back
Top Bottom