Hatutaki elimu ya bure ya Lowassa...

Hatutaki elimu ya bure ya Lowassa...

Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.

Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.

Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.

Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.

Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.

hii akili siyo ya kawaida inahitaji maombi yakufunga iko out kabisa
 
Apia!..................... kwa kulamba mchanga.........
 
Wewe ni mgumba ndio maana unasema hivyo, kwani Lowassa peke yake ndio kasema elimu bure:what: fikiria kwanza kabla ya kupost ushuzi wako, mapadloc wakati akisema elimu bure ulikuwa chooni nini:what:

nachosema kila mtu awajibike na malezi ya mwanae, haiwezekani wengine walipe kodi, watoto walipe ada private, watibiwe kwa nhif,

Kila mtu awajibike, isitoshe masikini tumebaki wachache tuko 28% ya watanzania wote tuparangane tutoke na sisi sio kusubiri huruma ya lowasa.
 
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.

Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.

Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.

Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.

Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.

hatutaki hama utaki?
 
acha watoto wetu wasome bure sisi tunywe plsner plsner
 
Elimu ya bure haiwezekani lowassa anadanganya wananchi.
 
Tatizo Kubwa, Nadhani Ndio MISUKULE Mikubwa Ya CCM!!
Kuna misukule kama nyie duniani,ungekuwa na akili zinakutosha unaweza kushabikia uozo wa lowasa,jiulize anaweza kuhutubia bungeni LA wasomi?
 
eddy wewe kama huitaki sisi tunaitaka. shuleni sio mahali pa kugawa pesa bali ni mahali pa kugawa taaluma. tutakusomesha bure kwa kukupatia kila unachohitaji katika elimu yako ikwemo vitabu vya ziada na kiada, chakula kizuri na mahali pazuri pa kulala ili uweze kusoma vizuri. kama huitaki basi dunia yako chaguo lako..sepa kajisomeshe...
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.

Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.

Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.

Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.

Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.
 
Elimu ya bure haiwezekani lowassa anadanganya wananchi.

Elimu wapi wewe unaona elimu kwa lowasa na hotuba zake za DKK 5 adi 10, hata mgabe anahutubia taifa lake zaidi ya SAA moja,lowasa ni uozo mtupu,anaweza kuongea nini wasomi wakaelewa,
 
eddy wewe kama huitaki sisi tunaitaka. shuleni sio mahali pa kugawa pesa bali ni mahali pa kugawa taaluma. tutakusomesha bure kwa kukupatia kila unachohitaji katika elimu yako ikwemo vitabu vya ziada na kiada, chakula kizuri na mahali pazuri pa kulala ili uweze kusoma vizuri. kama huitaki basi dunia yako chaguo lako..sepa kajisomeshe...

Unajua lowasa ni hewa tu,kwanza yeye akili yake imeoza anajua elimu ni kitu gani,labda atwambie mafisadi milango imefunguliwa basi
 
Tatizo Kubwa, Nadhani Ndio MISUKULE Mikubwa Ya CCM!!

Misukule ni nyie ambao akili zenu zimegeuzwa chini kwa kutumia misukule ya gwajima na nguvu za Freemason zinazomsaidia lowasa na nyie kuwa madodoki ya fisadi;
 
eddy wewe kama huitaki sisi tunaitaka. shuleni sio mahali pa kugawa pesa bali ni mahali pa kugawa taaluma. tutakusomesha bure kwa kukupatia kila unachohitaji katika elimu yako ikwemo vitabu vya ziada na kiada, chakula kizuri na mahali pazuri pa kulala ili uweze kusoma vizuri. kama huitaki basi dunia yako chaguo lako..sepa kajisomeshe...

wamekuwa mawaziri wakuu miaka 13 wameshindwa kuboresha elimu ujinga gani wanaotaka kutuletea kwa miaka mitano? Wako bungeni tangu enzi ya nyerere hawana mchango wowote wanataka kutudanganya nini?
 
Munaacha kuendeleza shule zinazofaulisha munaendeleza shule zinazofelisha akili ya ovyo kabisa.
 
Wazr wake mungai wa elimu?eti elimu bure apimwe akili?
 
Munaacha kuendeleza shule zinazofaulisha munaendeleza shule zinazofelisha akili ya ovyo kabisa.

Kamwambie lowasa,kama anamachungu na elimu mbona amekaa bungeni miaka saba sijawai kusikia anachangia elimu
 
Back
Top Bottom