Hatutaki dini ndani ya serikali

Hatutaki dini ndani ya serikali

Mimi naunga mkono "KICHWA CHA MADA "pekee nilichokielewa. Haya yaliyoelezwa humo ndani ya mada yenyewe ambayo nimesoma aya ya mwanzo tu na kuona hayana mwelekeo, sikubaliani nayo.
Toa hoja sasa ya kupinga kama msomi
 
Wanaharakati vita yetu si ya damu na nyama,bali ni ya kutumia maarifa na ufahamu.

Dua yangu
''Ee ulimwengu nifundishe niwe na maarifa,niendeleze akili yangu ili nipate hekima.''

Tanganyika ilipopata uhuru,viongozi wa kiislamu walikusanyika kwa nyerere kuona nafasi yao ndani ya serikali ni ipi!.Wakristo nao hasa Romani katoliki walimwendea nyerere kuona nafasi yao ndani ya serikali ni ipi!.Kwa wakati huo waislamu waliku wengi kuliko wakristo.

Rafiki zangu majibu ya nyerere yalikuwa hivi ''serikali yetu haina dini'' akitetea kiti chake bila kufahamu akauonyesha udini hadharani kwa kuapisha viongozi,kwa kumia misahafu.Zaidi kila mwanafunzi mtanzania akawa anaulizwa dini yake.Ikiwa ni mwislamu au ikiwa ni mkristo wanajaza kwenye taarifa zake.Mambo hayo yapo mpaka chuoni.Ukiingia kwenye halmashauri zao,katika idara ya utumishi na utawala.Maafisa utumishi wana mfumo unaoitwa TANGE(TAARIFA ZOTE ZA KILA MFANYAKAZI).Ndani ya taarifa hizo utajua kila dini ya mfanyakazi,mishahara yake na kadhalika.

Mambo yakiniendea vyema siku zijazo nitawapa source of information.

Alipowajibu hivyo kukatokea na mkanganyiko.Waislamu wakidai tumemsaidia kupata uhuru leo hii anatujibu hivi!Uadui ukaanza ikiwemo nyerere na bibi titi mohamed.

Wakati huo nyerere alishangaa kuona kila msafara wa mufiti mkuu unazungukwa na watu wengi kama mchanga wa bahari kuliko hata misafara yake.Alichokifanya akaanza kamata kamata ya viongozi maarufu na wenye ushawishi wa kiislamu,na kuwatupa gerezani.Waislamu wakaanza kuogopa na kuishiwa nguvu,pamoja na kasi ya ukuaji wake akafifia.Huku dola ya kikristo ikizidi kupanua mbawa zake kwenye sekta nyeti za serikali.Mfano askali mmoja kipindi cha nyerere alipata kusema ''mimi sijawahi kupanda cheo kwa sababu mimi ni mwislamu hadi nastaafu''.UDINI NI MBAYA SANA.

SERIKALI YETU IMEJENGWA KWA MISINGI YA ROMANI KATOLIKI.NI USHETANI.

Serikali yetu ilivyo ni matokeo ya dini ya Romani katoliki.
Ndani ya dini yao wana ''KATEKISIMU''
ambayo kila muumini hufaata mafundisho hayo ili kupata sakramenti ya ubatizo,komunio,kipaimara na kadhalika.

Mafundisho yake yanasema hivi ''kuna aina mbili za dhambi (dhambi kubwa na dhambi ndogo).Serikali yetu na yenyewe ikasema ''kuna kosa kubwa na kuna kosa dogo''.Hivyo kila mtu atahukumiwa kulingana na kosa alofanya kama ni kubwa (kunyongwa/adhabu ya maisha)kosa dogo mfano kubaka miaka 30.Waislamu nao wakaupokea mfumo huu kama ulivyo bila kufikiri.TUMEJIZIKA WENYEWE.

Wakatoliki hawafati mafundisho ya yesu kristo kwani alisema ''aliyesamehewa pa kubwa hupenda sana na aliyesamehewa kidogo hupenda kidogo''.Ila wao wakakiuka msingi huo badala yake wakaishauri serikali iweke adhabu kulingana na kosa.Kwa maneno ya yesu mwenyewe naelewa kuwa KOSA NI KOSA LIWE KUBWA LIWE DOGO.

Tena yesu akaendelea kusema ''ndugu yako akikosa msamehe saba mara sabini.Wakatoliki wakashindwa kumwelewa yesu ''wakaishauri serikali kuwe na msamaha wa raisi lakini wa mashariti''yaani raisi anamsamehe mtu aliyehukumiwa kunyongwa kwa kuibadilisha hukumu kwamba apewe adhabu ya maisha na watu wanashangilia ooyooo,nani katuroga?

Kwa misingi ya yesu nigependa kuishauri serikali kama ifaatavyo.

1.Kosa ni kosa liwe dogo liwe kubwa ni kosa.Inafaa adhabu itolewe moja tu kwa wakosaji.Najua ndani ya serikali yetu kila kiongozi huja kwa sarakasi yake hivyo naishauri serikali adhabu ya kosa lolote isizidi mwaka mmoja tukijali utu na thamani ya watu wetu.Adhabu ya kifungo cha maisha na kifungo viondolewe TUNAJIMALIZA WENYEWE NA KUDHALILISHA TAIFA LETU.Maana turning point ya mtu ipo wakati wowote kuliko kuteketeza maisha yote ya mtu kufanya kazi za kitumwa serikalini.
2.Serikali yetu isiamini kwamba kwa kutoa adhabu kali inaimarisha nidhamu na usalama wa raia hapana bali inatengeneza taifa lenye uoga usio na maana.Hakuna ambaye hajawahi kutenda kosa naomba serikali iwe na mtazamo wa kibinadamu.
3.Msamaha wa raisi ujikite katika kuweka huru wafungwa wote kama itashindwa kutekeleza adhabu ya aina moja kwa wafungwa wote,maana kwa mafundisho ya yesu kusamehe hakuna mwisho kwa kila mtu bila upendeleo.
4.Wanasheria mnaokaa viti vya mbele mjitathimi na mfikiri kama binadamu.Wala hatutishwi na phd zenu na uzoefu wenu wa sheria.Tunataka haki itendeke kwa kila mtanzania mshaurini raisi na kiti chake kitaimarika.
5.Anzeni kujenga tanzania isiyo na dini.Mpaka sasa watu wanajua waislamu bwana wakishika madaraka ni wastaarabu,tena utasikia wakristo bwana yakiongoza ni madikiteta.Hiyo hatutaki kusikia tena.

Last,if not you leaders to change this,truly am telling you the truths;that the sun,the moon and the truths are always there.Everything will pass the right one is coming.

Na ONJO mpenzi wenu.
itoshe tu kusema mtoa mada wewe ndio unaonekana we ndio mdini na hata chapisho lako linonesha kua una matatizo kichwani mwako, labda cha kukusaidia tu tafuta shuguli ya kufanya kuliko kutumia muda wako kuandika upuuzi kama huu
 
People with little knowledge like you.Hawezi ukanielewa my friend think again.Its better you sleep na sio kuchallage bila hoja.Your wrong
Ukiwa gizani unabugia KITIMOTO kama mwehu. Tuondelee vijitabia vya Pwani vya kulalamika. Dini waachie waliozileta
 
Toa hoja sasa ya kupinga kama msomi
Nipinge nini, kichwa cha mada, ambacho nimekwishasema ninakubaliana nacho moja kwa moja? Hapo si nitakuwa kama mwenda wazimu?

Hayo maelezo machache ya mwanzo niliyoyasoma na kunichosha kuendelea kusoma yaliyomo ndani ya mada ni maelezo yasiyoendana kabisa na kichwa cha mada, ambacho hakina utata wowote.

Hapa unanihimiza nami nishiriki kuchambua mada ambayo haina mwelekeo wa kueleweka? Sina muda huo.
 
Wanaharakati vita yetu si ya damu na nyama,bali ni ya kutumia maarifa na ufahamu.

Dua yangu
''Ee ulimwengu nifundishe niwe na maarifa,niendeleze akili yangu ili nipate hekima.''

Tanganyika ilipopata uhuru,viongozi wa kiislamu walikusanyika kwa nyerere kuona nafasi yao ndani ya serikali ni ipi!.Wakristo nao hasa Romani katoliki walimwendea nyerere kuona nafasi yao ndani ya serikali ni ipi!.Kwa wakati huo waislamu waliku wengi kuliko wakristo.

Rafiki zangu majibu ya nyerere yalikuwa hivi ''serikali yetu haina dini'' akitetea kiti chake bila kufahamu akauonyesha udini hadharani kwa kuapisha viongozi,kwa kumia misahafu.Zaidi kila mwanafunzi mtanzania akawa anaulizwa dini yake.Ikiwa ni mwislamu au ikiwa ni mkristo wanajaza kwenye taarifa zake.Mambo hayo yapo mpaka chuoni.Ukiingia kwenye halmashauri zao,katika idara ya utumishi na utawala.Maafisa utumishi wana mfumo unaoitwa TANGE(TAARIFA ZOTE ZA KILA MFANYAKAZI).Ndani ya taarifa hizo utajua kila dini ya mfanyakazi,mishahara yake na kadhalika.

Mambo yakiniendea vyema siku zijazo nitawapa source of information.

Alipowajibu hivyo kukatokea na mkanganyiko.Waislamu wakidai tumemsaidia kupata uhuru leo hii anatujibu hivi!Uadui ukaanza ikiwemo nyerere na bibi titi mohamed.

Wakati huo nyerere alishangaa kuona kila msafara wa mufiti mkuu unazungukwa na watu wengi kama mchanga wa bahari kuliko hata misafara yake.Alichokifanya akaanza kamata kamata ya viongozi maarufu na wenye ushawishi wa kiislamu,na kuwatupa gerezani.Waislamu wakaanza kuogopa na kuishiwa nguvu,pamoja na kasi ya ukuaji wake akafifia.Huku dola ya kikristo ikizidi kupanua mbawa zake kwenye sekta nyeti za serikali.Mfano askali mmoja kipindi cha nyerere alipata kusema ''mimi sijawahi kupanda cheo kwa sababu mimi ni mwislamu hadi nastaafu''.UDINI NI MBAYA SANA.

SERIKALI YETU IMEJENGWA KWA MISINGI YA ROMANI KATOLIKI.NI USHETANI.

Serikali yetu ilivyo ni matokeo ya dini ya Romani katoliki.
Ndani ya dini yao wana ''KATEKISIMU''
ambayo kila muumini hufaata mafundisho hayo ili kupata sakramenti ya ubatizo,komunio,kipaimara na kadhalika.

Mafundisho yake yanasema hivi ''kuna aina mbili za dhambi (dhambi kubwa na dhambi ndogo).Serikali yetu na yenyewe ikasema ''kuna kosa kubwa na kuna kosa dogo''.Hivyo kila mtu atahukumiwa kulingana na kosa alofanya kama ni kubwa (kunyongwa/adhabu ya maisha)kosa dogo mfano kubaka miaka 30.Waislamu nao wakaupokea mfumo huu kama ulivyo bila kufikiri.TUMEJIZIKA WENYEWE.

Wakatoliki hawafati mafundisho ya yesu kristo kwani alisema ''aliyesamehewa pa kubwa hupenda sana na aliyesamehewa kidogo hupenda kidogo''.Ila wao wakakiuka msingi huo badala yake wakaishauri serikali iweke adhabu kulingana na kosa.Kwa maneno ya yesu mwenyewe naelewa kuwa KOSA NI KOSA LIWE KUBWA LIWE DOGO.

Tena yesu akaendelea kusema ''ndugu yako akikosa msamehe saba mara sabini.Wakatoliki wakashindwa kumwelewa yesu ''wakaishauri serikali kuwe na msamaha wa raisi lakini wa mashariti''yaani raisi anamsamehe mtu aliyehukumiwa kunyongwa kwa kuibadilisha hukumu kwamba apewe adhabu ya maisha na watu wanashangilia ooyooo,nani katuroga?

Kwa misingi ya yesu nigependa kuishauri serikali kama ifaatavyo.

1.Kosa ni kosa liwe dogo liwe kubwa ni kosa.Inafaa adhabu itolewe moja tu kwa wakosaji.Najua ndani ya serikali yetu kila kiongozi huja kwa sarakasi yake hivyo naishauri serikali adhabu ya kosa lolote isizidi mwaka mmoja tukijali utu na thamani ya watu wetu.Adhabu ya kifungo cha maisha na kifungo viondolewe TUNAJIMALIZA WENYEWE NA KUDHALILISHA TAIFA LETU.Maana turning point ya mtu ipo wakati wowote kuliko kuteketeza maisha yote ya mtu kufanya kazi za kitumwa serikalini.
2.Serikali yetu isiamini kwamba kwa kutoa adhabu kali inaimarisha nidhamu na usalama wa raia hapana bali inatengeneza taifa lenye uoga usio na maana.Hakuna ambaye hajawahi kutenda kosa naomba serikali iwe na mtazamo wa kibinadamu.
3.Msamaha wa raisi ujikite katika kuweka huru wafungwa wote kama itashindwa kutekeleza adhabu ya aina moja kwa wafungwa wote,maana kwa mafundisho ya yesu kusamehe hakuna mwisho kwa kila mtu bila upendeleo.
4.Wanasheria mnaokaa viti vya mbele mjitathimi na mfikiri kama binadamu.Wala hatutishwi na phd zenu na uzoefu wenu wa sheria.Tunataka haki itendeke kwa kila mtanzania mshaurini raisi na kiti chake kitaimarika.
5.Anzeni kujenga tanzania isiyo na dini.Mpaka sasa watu wanajua waislamu bwana wakishika madaraka ni wastaarabu,tena utasikia wakristo bwana yakiongoza ni madikiteta.Hiyo hatutaki kusikia tena.

Last,if not you leaders to change this,truly am telling you the truths;that the sun,the moon and the truths are always there.Everything will pass the right one is coming.

Na ONJO mpenzi wenu.
kuna mmoja anauliza, kama nchi imejengwa kwa misingi ya kikatoliki, mbona ni waislam tu ndio wenye mamlaka ya kuchinja nyama public na wanatoza pesa? tusiende huko, tuiishi tu kwa amani hivi hivi tulivyo,usije kufumua mishono.
 
SHARIAA ITIWE NA KUTAMKWA KATIKA KATIBA YA NCHI AU LA

Wanzauoni nguli Tariq Ramadan na Abdullahi An-Na'im katika mdahalo tunduizi kuhusu Shariaa iwemo katika katiba au la. Pia je? kuna umuhimu wa mageuzi ktk sheria za kiIslamu. Umuhimu wa kuwepo serikali ya kisecular katika kulinda haki za kidemokrasia.

Abdullahi An-Na'im anasema sharia kuwekwa katika katiba na sheria ili serikali itekeleze wakati tunajua serikali ni chombo cha mabavu ni hatari na haifai kuwekwa wala kutamkwa katika katiba za nchi kwani serikali itatumia mabavu kuilazimisha kwa raia wakati masuala ya dini hayatakiwi kusaidiwa na nguvu ya mabavu bali viongozi wa kidini ndio jukumu lao kushawishi raia na siyo kutaka dola kutumia mabavu yake sheria ya sharia itumike.

Tariq Ramadan yeye anatetea sharia iwekwe kwenye katiba na sheria za nchi kwani binadamu bila mabavu kutumika hawawezi kufuata sheria za sharia.

Abdullahi An-Na'im anasema dunia ya sharia ilipoanzishwa ilikuwa ktk mazingira ya jamii moja lakini katika dunia hii ya leo umma wa waIslamu kuna mchanganyiko wa jamii mbalimbali na hivyo sharia kuwemo katika katika imepitwa na wakati.

Tariq Ramadan yeye anasema mazingira ya leo yanaenda dhidi ya sharia, hivyo ili sheria ya sharia iendelee kuwepo lazima itiwe katika katiba ya nchi bila hivyo uendelevu wa uzuri wa sharia utapotea mfano hapa Uturuki nchi inaongozwa ki-secular hivyo kuishi kimagharibi hivyo waislamu wa ulaya hawajihisi kuwa wanaishi maisha yao ndani ya uislamu wao.

Abdullahi An-Na'im yeye anasisitiza kuwa sheria ya shariah kutokuwepo au kutamkwa ndani ya katiba ya nchi ni jambo zuri kwani hata katika nchi zenye waIslamu wachache katiba ya ki secular inawapa uhuru katika ngazi ya kiraia kuishi au kuchangua kutoishi katika uislamu na hilo ni jambo jema katika dunia hii ya leo .

Tariq Ramadan and Abdullahi An-Na'im - Shari'a and Democracy in Arab Constitutions

Two of the most influential reformers from "within" Islam, Tariq Ramadan and Abdullahi An-Na'im are discussing what shari'a is and should be: a set of principles and morals for believers, never a body of law to be enforced by the State? Both wish democracy, equality amongst citizens, human rights.

But they also disagree: Tariq Ramadan believes shari'a should be named in the Arab constitutions as Muslims draw principles of justice for change from within their own tradition and religion.

For An- Na'im, on the contrary, the religious needs to be kept far from the political: only a secular state can guarantee the realization of the Islamic objective of justice in Muslim societies. Filmmaker: Nikolai Eberth Producer and interview: Nina zu Fürstenberg Editing: Anna Fanuele
 
MASHIA NA MSIMAMO WAO WA KATI KWA KATI WAFAFANULIWA:​

Sababu Tano (5) za Sisi Mashia Kuwatakia Mkono wa Kheri,Baraka na Fanaka Ndugu zetu Wakristo kwa Kusheherekea Krismasi na mwaka Mpya Wao.​

1683481186370.png
Kiongozi wa Kiroho wa Waislamu Shia Ithnasheriya Maulana Sheikh Hemed Jalala akitoa Mkono wa Baraka, Fanaka na Kheri kwa Ndugu zetu Wakristo kwa Kusherekea Sikukuu yao ya Krismasi na Mwaka mpya, leo Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es salaam, wakati akiongea na Waandishi wa Habari.
1683481226804.png

Amani ya Mwenyezi Mungu iwe Kwenu Nyote.

Sababu ya Kwanza:
Ndugu zetu Wakristo waliopo Tanzania na waliopo Duniani kwa Ujumla tunashirikiana nao katika kuamini kwamba Mwenyezi Mungu (swt) alituma Vitabu kwa uchache Vinne hapa Duniani, Kitabu cha kwanza ni Taurat, Kitabu cha pili ni Injil, Kitabu cha tatu ni Zaburi na Kitabu cha nne ni Qur’an.
Injili ni Kitabu ambacho ndicho kipo mikononi na kukifanyia kazi na kukiamini Ndugu zetu Wakristo, lakini sisi waislamu katika Imani zetu ni kuamini Vitabu hivyo vyote, ikiwemo Taurat, Injil, Zaburi na Qur’an, kwahivyo ni wenzetu kwamba tunashirikiana nao kwa vitabu vilivyoteremshwa kutoka mbinguni kutoka kwa Mwenyezi Mungu (swt).

Sababu ya Pili:
Kwanini Mkono wa Krismasi?, Kwani wa kuwapa hongera kwa kusheherekea sikukuu yao ya Krismasi?, ni kwa sababu ni Ndugu zetu. Imam Ali (a.s) anatoa maelekezo wakati akimtuma Malik Ashtar akielekea Misri, katika maelekezo alimuambia unakwenda Misri huko utakutana na Waislamu ni ndugu zako katika Dini, lakini utakutana na watu wa Dini Nyingine hao ni ndugu zako katika Uwanadamu na katika Utu, sisi sote Baba yetu ni Adamu (a.s), tuwe Waislam, tuwe Wakristo, sisi sote mama yetu ni Hawa au Eva (a.s) tuwe Waislam, Tuwe Wakristo.

Sababu ya Tatu:
Kwanini Mkono wa Kheri na baraka na pongezi kwa Krismasi kwa ndugu zetu Wakristo wa Watanzania?, ni kwa sababu ni shehemu ya Watanzania. Kila itakavyokuwa Tanzania ina Waislamu Masuni, ina waislamu Mashia, ina Mapagani, ina watu wa dini nyingine vile Wakristo nao wapo.
Kwahivyo tutaendelea kubakia kama Watanzania Waislamu, Watanzania Mashia, Watanzania Masuni, Watanzania Wakristo na Watanzania wasiokuwa na Dini, kwa hivyo tunapotoa Mkono wa kheri na baraka kwa sababu ya Krismasi ni moja ya Kuboresha mahusiano mema kwa sababu sisi sote tunakusanywa na mwamvuli wa Utanzania.

Sababu ya Nne:
ni jambo la Kuvumiliana, Qur’an inatueleza Umma wa kati na kati, yani umma unaovumiliana, moja ya sababu ya sisi kutoa mkono wa baraka na kheri ya krismasi kwa ndugu zetu Wakristo wa Tanzania, ni kwa sababu ya kutoa funzo la kuvumiliana kwa watanzania na watu wenye dini tofauti.
Na kwamba sisi tutaendelea kubakia na dini zetu, wasije wakadhania Waislam Mashia na Masuni iko siku watawabadilisha Watanzania wote watakuwa Waislamu, siku hiyo haitotokea, wala Wakristo wa Tanzania wasije wakadhania watawahubiria Waislamu Mashia na Masuni watakuwa Wakristo. Kwa hiyo tutabakia Wakristo tupo, Waislamu tupo, Mashia tupo, watu wa Twariqa tupo, kwa hiyo kubwa ni kuvumiliana tukiwa na dini zetu tofauti na Mitazamo yetu tofauti.

Sababu ya tano:
Mwisho jambo la tano muhimu na kubwa, sisi Tanzania ni watu ambao tunaishi kwa Amani, tunaishi kwa Utulivu, tunaishi kwa Kheri, Tanzania yetu haijui vita, Tanzania yetu haijui kugombana, Tanzania yetu haijui Silaha, Utulivu huu na Amani hii kuuboresha ni Wajibu wetu kama Viongozi wa Dini,ni wajibu wetu kama Wanadini.
Moja ya mambo ambayo tunaamini, yataboresha Amani ya nchi yetu, yataboresha Umoja wetu wa Wawatanzania, yataboresha kuvumiliana kwetu tuliokuwa nao Watanzania, ni Vikao kama hivi vya kutoa Mkono wa Kheri ya Krismasi na Kheri ya Mwaka mpya na baraka ya Mwaka mpya, jambo linaloishiria Umoja, Mshikamano na Kukaa Vizuri katika nchi Moja na Taifa moja.

Mwisho: Namuomba Mwenyezi Mungu (swt) Krismasi hii ya ndugu zetu Wakristo, Mwenyezi Mungu aipitishe kwa Kheri, aipitishe kwa baraka, aondoe majanga na mabalaa yote barabarani na majumbani,na aifanye ni Krismasi ya Kheri kwa ndugu zetu Wakristo wa Tanzania wote, lakini pia tunamuomba Mwenyezi Mungu (swt) azidi kuboresha Umoja wetu wa wawatanzania, Amani yetu ya Tanzania,Mungu aendelee kuifanya Tanzania kisiwa cha Amani,Kisiwa cha Upendo, Kisiwa cha Kuvumiliana, Asanteni Sana na Mungu awabariki.

Imetolea na:
Maulana Sheikh Hemed Jalala
Kiongozi wa Kiroho wa Waislamu Shia Ithnasheriya
25/12/2019,
 
kuna mmoja anauliza, kama nchi imejengwa kwa misingi ya kikatoliki, mbona ni waislam tu ndio wenye mamlaka ya kuchinja nyama public na wanatoza pesa? tusiende huko, tuiishi tu kwa amani hivi hivi tulivyo,usije kufumua mishono.
Ni kweli mana yanayotokea Sudani ni ujinga mtupu.
Wote ni Waislam lakini wanaifanya Kama chui na swala.

Lakini Yote tatizo ni kukosekana katiba ya Maana .
Nyerere alikosea baada ya uhuru akaendelea kusimika Sheria na Kariba ya wakoloni Badala ya kufuta ujinga Wa wakoloni na ushenzi wao ulijikita kwanye Sheria mbovu na kutumia Dini Kama Chambo cha kuwagandamiza wanyonge.

Nyerere alipaswa alete katiba itakayowabana watawala na wezi Kwa Nguvu zote na kuwapa mamlaka wananchi kupanga maendeleo Yao wenyewe na kuwachagua watu wenye tabia njema bila kujali Dini.
Leo hii watu wanawaza usawa Wa kidini kwenye madaraka kwa sababu majizi yanaachwa yanamufaika na pesa za umma na KUFANYA uhalifu Mkubwa na utakatishaji Wa fedha.

Kwa asilimia kubwa Kuna matajiri wauza madawa na magendo na Mafisadi lakini wakifika misikitini na makanisani wanapigwa magoti na kubigiwa makofi Badala ya kupigwa makofi. Hao ndio kivutio cha majizi kukimbilia madaraka na kutaka usawa bila sifa alimradi tu ni Kama genge la Wahalifu . Kama Kiongozi au mkuu Wa Idara angekua anahukumiwa kifungo Cha mipaka Hata 20 Anapoiba fedha za umma Leo madaraka yangebaki Kwa watu waadilifu na wenye wito Wa kujitoa Kwa Ajili ya umma.

Dawa ya maujinga ujinga ya kuhoji mambo ya Dini ni kuleta Katiba mpya Ili watu wasiofaa waondoke wenyewe.
Udini ,ukabila na uchama ni ushetani Mkubwa kwenye Jamii ya Kiafrika.
Afrika Kila kitu kizuri kimegeuka kuwa laana kutokana na tamaa ya kutaka kujinufaisha
 
Back
Top Bottom