Hatuombei jamani, ila siku kikinuka tusifanye ujinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatuombei jamani, ila siku kikinuka tusifanye ujinga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NIMEKIMBIA CCM, Oct 17, 2011.

 1. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani nasisitiza tena hatuombei vita vitokee ila kwa jinsi watanzania walivocharuka lolote laweza kuja.

  Ndugu zangu kama siku vita vikitokea Tz, tutakuwa wajinga mno kama mauaji yatakua baina yetu sisi kwa sisi masikini na kuwaacha viongozi wakienda nje ya nchi kupumzika na kuangalia kwenye tv upuuz waliotuachia. Mimi nilikuwa nashauri kitu cha kwanza kabsia kama hali ikjatokea tukafunge uwanja wa ndege ili asitoke mtu, si mkuu wa kaya wala nani.

  Then hivyo vita viwe ni kati ya viongozi na wananchi, namaanisha kama ni kuuana iwe ni kati ya viongozi na wananchi isiwe sisi kwa wisi wananchi wa kawaida, tutaumia jamani.

  Sasa hapo kiongozi bora ataonekana kwan hatauwawa na naomba hli viongoz walijue wafanye ujinga wao wote lakini siku kikinuka wajue hatoki mtu humu.

  KWA HIYO NDUGU ZANGU LAZIMA TUWAFAHAMISHE HAO MAGAMBA KWAMBA SIKU KIKINUKA HATOKI MTU HUMU NDANI YA TZ, na hapo ndo nguvu ya umma itaonekana thjui we utaanza na kiongozi gani?

  Haya ndo mawazo yangu
   
 2. M

  Makupa JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  usifurahie, vita haina macho
   
 3. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Hii wanasema kuwaza kwa sauti a.k.a thinking aloud.
   
 4. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Una tatizo gani mkuu?
   
 5. j

  jigoku JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Ni mawazo yake,na kimsingi yanaukweli hata kama tutapinga na wal hatuombei,kwa hili ccm wanalolitengeneza ni bomu na mwisho wa siku ni kilipuka,kama ni fuse naona limeshafungwa nasema wamelifunga dalaying charge,kiasi kwamba hata kama wakiliachia na likaenda lilikoelekezwa likifika litasubiri kidogo kulipika,lakini ninavyoona liko kabisa kwenye barrel kilichabaki ni ile pini tu ikagonge kwenye primer kisha lisafiri.
   
 6. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, Mkuu chuki za kisiasa au ni uroho wa madaraka ndio utaosabisha machafuko? vita ni mbaya hivyo jihadhari naye sana.
   
 7. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  huna haja ya kuwaza vita kwani watanzania tumemka sasa
  magamba watauwana wenyewe kwa wenyewe na kuabishana na litatokea anguko na mpasuko mkuu ndani ya magamba
  umesahau ule msemo wa vita vya panzi furaha kwa kunguru?
  kaa mkao wa kula 2015 nchi itaondoka mikononi mwa mafisadi bila damu kumwagika
   
 8. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  stop thinking about war for what you think about, you bring about...
   
 9. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  God forbide!
  Mkuu vita ni noma, usijaribu kuifikiria au kuiomba itokee TZ
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Kumbe kuna watu wanawaza vita. Ina maana yaliyotokea Libya, Tunisia n.k tunatamani yatokee huku kwetu!

  Mungu tuepushie hili.
   
 11. l

  luckman JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  hali ya maisha ni mbaya, sababu za kutufikisha hapa zipo zautosha, ushahidi upo wa kutosha na watu waliotufikisha hapa wapo tunawajua na serikali inawajua!kibaya zaidi hakuna jitihada za kimakusudi kushughulikia huu upuuzi! sasa nadhani ubaya wameuleta viongozi na wajue hii vita siku inalipuka itawahusu sana!wanalipika wenyewe basi watalinywa!!!!!!!
   
 12. l

  luckman JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Acheni woga!kama mnataka maendeleo!lazima sacrifice iwepo no matter what!!!!!!!!!!!!!!hii haipukiki, haijalishi sacrifice itakuwa kwa kiwango ganin lakin lazima iwepo!huwezi kutaka ukombozi ukaogopa mambo kama haya!look at sa, rwanda,angola, botswana na hii ni baadhi ndani ya farika!ukienda nje ndo kila kitu!huwezi kudai mabadiliko kwa kutumia kalamu na keyboard tu!we have to turn it in tom actions!!!!!!!!!!!watatuchezea sana hawa nguruwe!!!!!!!!!!
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  jibu ni id yako juu ya mawazo yako NIMEKIMBIA CCM
   
 14. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Hahahahaaaa!! But your avatar portrays something leading to similar nature....
   
 15. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Vita Haitaanzishwa na Walala hoi,bali itaanzishwa na walio madarakani pamoja na wale wanaowalinda waliomadarakani na kufaidika na mfumo uliopo
  .Mfano mzuri ni vurugu zilizotaka kuanzishwa na viongozi walioshindwa uchaguzi wa 2010.walijaribu kulazimisha matokeo ya uchaguzi ya mwanza na Arusha.
  kwa mtazamo huo huo,ikitokea nchi nzima imechagua CDM,na watu wa CUF pia wakachagua CDM,yaani kila mtu wa chini akichagua CDM.wale wanaofaidika na U-CCM watakuja juu na kujaribu kutumia nguvu.sasa hapo ndipo machafuko yatatokea kwa kutumia Jeshi la Police na FFU.
  Jiandae na mazoezi ya mgambo ikifika 2015 Green Guard watatembeza viboko ,kama uwezi jiandae kutokomea msumbiji
   
 16. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukifunga uwanja watakimbia kwa kutumia bot na meli ndo maana hawataki kuhama magogoni likitokea lakutokea anadandia hata feri anaenda upande wa pili....... nyway mi sitaki ivta ila 2015 nitashawishi wengi wasipigie kura mafisadi-hasaa magamba maana ni wapuuuuuuuuuuuzi, wanajua kupuuza maitaji ya watu, saa hzi toka wachaguliwe hawafanyi kitu wanasubiri ifike 2014 waanze kusawazisha barabara
   
 17. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Weee...., usiombee itokee. sikizaga tu nchi za watu, yakikukuta....
   
 18. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tupende tusipende hili haliepukiki..kwa bahati mbaya sana na ujinga wa hii ccm siioni Tanzania iliyo salama bila vita in the coming 20 years
   
 19. kussy

  kussy JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu hata kama umechukia vita haiombwi, futa kauli yako!
   
 20. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,118
  Trophy Points: 280
  Japo sishabikii vita ila ni vema kujua uhalisia wa mambo kuwa, hawa jamaa wanapotupeleka sipo kabisa kabisa kabisa, nasema tunakoelekezwa tufike siko kwenyewe kabisaaaa. Ni MUNGU peke yake atuokoe tu
   
Loading...