Hatuombei jamani, ila siku kikinuka tusifanye ujinga

Hatuombei jamani, ila siku kikinuka tusifanye ujinga

ukifunga uwanja watakimbia kwa kutumia bot na meli ndo maana hawataki kuhama magogoni likitokea lakutokea anadandia hata feri anaenda upande wa pili....... nyway mi sitaki ivta ila 2015 nitashawishi wengi wasipigie kura mafisadi-hasaa magamba maana ni wapuuuuuuuuuuuzi, wanajua kupuuza maitaji ya watu, saa hzi toka wachaguliwe hawafanyi kitu wanasubiri ifike 2014 waanze kusawazisha barabara

Ila huyu jamaa aliyeleta hii hoja tusimpuuze kwa hayo mawazo yake!

Hili linawezekana kabisa kutokea, kwani sisi walalahoi tunaomba vita? Wakubwa ndo watatulzimisha tuchapane. Sasa wewe unasema utashawishi wengi wasipigie kura mafisadi, una uhakika na kura zenu? Sawa kura mtapiga jamaa watachakachua ili wabaki madarakani sasa utakuwa umefanya nini? Hapa ndo nashawishika kumwunga mkono huyo jamaa kwamba wananchi tusiuane sisi kwa sisi ila tuwashughulikie hao hao viongozi (hasa wale watakaosaidia mafisadi kubaki madarakani kwa kuwaibia kura zetu) - DEDs, DCs, RCs, Mawaziri n.k. Kila mmoja kwa nafasi yake atakamata yule atakayemwona yuko karibu naye kati ya hao!

Na ni vizuri hata maaskari wakatuunga mkono wananchi wakati huo maana nao ni wenzetu tu katika ugumu wa maisha! Kwa hiyo huyu bwana tusimpige kishabiki tu! Vita inawezekana kutokea na watakaoileta ni viongozi wetu kung'ang'ania madarakani - nani anajua? Kwa taarifa yenu kama vita itatokea sitakimbia kwenda kuwa mkimbizi tutabana humuhumu!
 
Tanzania ni bustani ya amani na Watanzania hawana tabia ya kuua au kukatana na mapanga. Vita vibaya tusiviombe
 
Acheni woga!kama mnataka maendeleo!lazima sacrifice iwepo no matter what!!!!!!!!!!!!!!hii haipukiki, haijalishi sacrifice itakuwa kwa kiwango ganin lakin lazima iwepo!huwezi kutaka ukombozi ukaogopa mambo kama haya!look at sa, rwanda,angola, botswana na hii ni baadhi ndani ya farika!ukienda nje ndo kila kitu!huwezi kudai mabadiliko kwa kutumia kalamu na keyboard tu!we have to turn it in tom actions!!!!!!!!!!!watatuchezea sana hawa nguruwe!!!!!!!!!!

Mkuu hapo uliposema nguruwe umefikiria kwa kina kweli kwani nguruwe ni haramu na kitu wanachokifanya ni haramu, so ccm ni haramu kwa ujumla
 
Hata kama ikiwa vita baina ya raia na viongozi bado tutaumia sisi kwani wao watawatumia police na jeshi ambao wako treined watatumaliza wengi na pia wao ndo wanamiliki silaha kwa wingi, simaanishi tuwaogope bali tujipange tusikurupuke ili wengi tufaidi hayo mapiunduzi
 
Back
Top Bottom