Hatuna deni na Magufuli, kama hakukuachia maarifa basi alikuachia ujasiri

Alikuwa katili sn lakini alikuwa na maono tofauti na hii balaa aliyotuachia haijui hata inafanya nini
Hivi,kuna kiongozi yeyote duniani anaweza kuungwa mkono 100% au kuchukiwa 100%??? Huyu mama angekuwa anasoma hizi comment,nadhani angesema bora angebaki tu na cheo cha awali
 
Wengi amewaacha yatima na wengine vilema vya maisha, wengine kuwafiisi, huku wengine akiwapa ubilionea kama akina Sabaya na Makonda n.k
Wale aliwaacha namna hiyo ni wale wapumbavu ambao hawakupenda kubadirika
 
Acheni kuongea kama makumer. Magufuli ndiye ametufikisha hapa tulipo. Kwenye huu upumbavu.

Asingekataa katiba mpya tungekua tunaweza kuwajibisha hawa tanesco.

Acheni kuongea kama mmekkalia vitu vya moto
 
Back
Top Bottom