Hiyo ni assumption yako.At the end of the day amebakia kua mtumwa
Pole sana mtumwa
Kwanza kabisa,Nilichomaanisha ni kwamba unaemzungumzia au unaowazungumzia ni watumwa, nani amekwambia nakurudisha utumwani ikiwa kwamba still bado upo utumwani?
Pole sana mtumwa
Huku kitaa kuna jamaa alikuwa anaokota makopo ni kichaa kabisa amevurugika juzi juzi tulimuona yuko kwenye msafara wa kiongozi fulani kavaa kaunda suti
Hivi unataka kusemaje maana hata wewe ni mtumwa pia na utumwa sio neno baya Ila inategemea upo level ipi ya utumwaHiyo ni assumption yako.
Wewe huji hata mtumwa ni nani.
Ukibisha, toa definition ya mtumwa hapa tuichambue kwa kina.
Kuna thread humu jamaa yake wa karibu alimwelezea vzuri kabisa, ngoja nikiiona ntakutag.Sijui sijawahi msikia akitamka hivyo,
Wewe ni mtumwaKwanza kabisa,
Mtumwa ni nani.
>One who is owned as the property of someone else, especially in involuntary servitude.
"his boss's slave.">One who is subservient to or controlled by another.
"a slave to alcohol; a slave to an irrational fear.">One who is subject to or controlled by a specified influence.
Haya ukimuona mwambie atutagKuna thread humu jamaa yake wa karibu alimwelezea vzuri kabisa, ngoja nikiiona ntakutag.
Nishakupa maana haya sasa lete maneno mtumwaKwanza kabisa,
Mtumwa ni nani.
Miaka mitano nyuma halafu sasa hivi ana nyota tatu acha uongo wwBonjour
Jamani haya maisha , tuache kudharau watu ambao tunawajua na tusio wajua
Kuna jamaa yangu mmoja, nili meet nae almost 5 years ago alikuwa boda boda, alikuwa ana park kimara pake stend ya kuelekea Bonyokwa, nakumbuka alikuwa amechoka na kama kapoteza future , ila Leo tumekutana tena hapa Kambi ya jeshi Twalipo.. ni officer wa jeshi jwtz , ana nyota tatu (3)
Ana mdogo wake pia , ni soldier komando , last time nili meet nae, alikuwa school driving..
Aisee ime nipa hope sana
Kuhusu alifikaje , kasema ataniambia ..
Tuache kuwachukulia watu poa .
Kwa nini unaoanisha ''dharau'' na ''mafanikio''? Unasema kwamba tuache kumdharau mtu kwa sababu kesho anaweza kuja kuwa na mafanikio! Huoni unatufundisha jambo baya kabisa? Je, usingemkuta na mafanikio, basi ingekuwa sahihi kumdharau ulipomwona akiwa amechoka? Mimi nadhani ungetuambia tu tuache kudharau binadamu wenzatu kwa sababu ni viumbe kama sisi! Anyways, wewe unawakilisha msimamo wa jamii yetu ulivyo juu ya heshima na mali, au waswahili wanasema utu kwa mali. Halafu kesho kijana akimtongoza demu, akakataliwa kwa sababu hana ukwasi, mnalalamika eti mademu wa siku hizi wanapenda pesa kumbe jamii ndiyo inavyowafundisha.Bonjour
Jamani haya maisha , tuache kudharau watu ambao tunawajua na tusio wajua
Kuna jamaa yangu mmoja, nili meet nae almost 5 years ago alikuwa boda boda, alikuwa ana park kimara pake stend ya kuelekea Bonyokwa, nakumbuka alikuwa amechoka na kama kapoteza future , ila Leo tumekutana tena hapa Kambi ya jeshi Twalipo.. ni officer wa jeshi jwtz , ana nyota tatu (3)
Ana mdogo wake pia , ni soldier komando , last time nili meet nae, alikuwa school driving..
Aisee ime nipa hope sana
Kuhusu alifikaje , kasema ataniambia ..
Tuache kuwachukulia watu poa .
Mazee, katika hali ya kawaida, binadamu tunakiwa tupeane heshima bila kujali kama tunayempa atatufaa kesho au la!Yangu ni hii hapa,nilikuwa zanzibar wakati Fulani nafanyakazi hotel(stuff wa kawaida)Sasa Kuna meneja wa manunuzi wa hiyo hotel alikuwa jamaa mmbongo tunaelewana sana,ikawa mara Kwa mara akitaka kwenda sokoni kununua mahitaji ya hotelini hasa Bidhaa za chakula(food stuffs)ananiomba twende wote nimpe kampani,Kule sokoni Kuna wale wapagazi (porters)zanzibar wanaoitwa "WACHUKUZI" Sasa Kuna mwamba mmoja tulikuwa tunamtumia sana kubeba vitu kama mpagazi Hadi to kazoeana nae ikawa kabla hatujaenda tunawasiliana nae acheki Bidhaa Fulani kama zipo hapo sokoni n.k.Baadae niliachakazi pale hotel maslahi madogo nikawa nafanya mishe zingine,siku Moja naona meseji WhatsApp Namba ngeni code ya Canada "Bro mambo niaje?" Hee! Kuuliza nani kumbe yule jamaa mpagazi sikuhizi anaishi Canada! Nilifurahi sana ikabidi nianze kumdodosa katumia njia gani kufikaje Canada(natafuta connection😂)ikabidi aniweke wazi kilichotokea Hadi kufika Canada.Aisee tuishi na watu vizuri Kila mtu anamuda wake wa kutoka katika maisha usimdharau mtu pengine tungeishi vibaya na jamaa asingenitafuta.hii ni true story Hadi Leo jamaa tunawasiliana.
Good story mtumwa, uliamua kuacha kazi ya kitumwa na yeye akaamua kwenda kua mtumwa Canada km porter wa masoko ya Canada Ila tu ni mtumwa vile vile na wewe ukatamani ukawe mtumwa Canada sio huku ulipoYangu ni hii hapa,nilikuwa zanzibar wakati Fulani nafanyakazi hotel(stuff wa kawaida)Sasa Kuna meneja wa manunuzi wa hiyo hotel alikuwa jamaa mmbongo tunaelewana sana,ikawa mara Kwa mara akitaka kwenda sokoni kununua mahitaji ya hotelini hasa Bidhaa za chakula(food stuffs)ananiomba twende wote nimpe kampani,Kule sokoni Kuna wale wapagazi (porters)zanzibar wanaoitwa "WACHUKUZI" Sasa Kuna mwamba mmoja tulikuwa tunamtumia sana kubeba vitu kama mpagazi Hadi to kazoeana nae ikawa kabla hatujaenda tunawasiliana nae acheki Bidhaa Fulani kama zipo hapo sokoni n.k.Baadae niliachakazi pale hotel maslahi madogo nikawa nafanya mishe zingine,siku Moja naona meseji WhatsApp Namba ngeni code ya Canada "Bro mambo niaje?" Hee! Kuuliza nani kumbe yule jamaa mpagazi sikuhizi anaishi Canada! Nilifurahi sana ikabidi nianze kumdodosa katumia njia gani kufikaje Canada(natafuta connection😂)ikabidi aniweke wazi kilichotokea Hadi kufika Canada.Aisee tuishi na watu vizuri Kila mtu anamuda wake wa kutoka katika maisha usimdharau mtu pengine tungeishi vibaya na jamaa asingenitafuta.hii ni true story Hadi Leo jamaa tunawasiliana.
Utumwa ni nini? Hujajibu swali hili bado.Hivi unataka kusemaje maana hata wewe ni mtumwa pia na utumwa sio neno baya Ila inategemea upo level ipi ya utumwa
Pole sana mtumwa
Bonyeza link itakupeleka kwenye jawabu mtumwaUtumwa ni nini? Hujajibu swali hili bado.
Maiti pekee yake iliyo futi sita chini ardhini ndiyo ya kuikatia tamaa.As long as mtu bado ana pumua, yuko hai, anaamka asubuh kwenda kuzurura na kurud jioni (na time nyingine anarud kakosa) , usije ukamdharau. Labda afe na umasikin wake, hapo labda
Mtumwa leo alafu KESHO ?Mgonjwa leo,kesho mzimaa.
Kichaa leo, kesho timamuu.
Mlevi leo, kesho sober.
Wewe kama huwezi kuamua hata tarehe yako ya kuzaliwa, basi pia ni mtumwa.Wewe ni mtumwa
slave
/slāv/
noun
"his boss's slave."
"a slave to alcohol; a slave to an irrational fear."
Jifanyie definition utajigundua kua wewe ni mtumwa
Pole sana kwako mtumwa