Hatujui kesho yetu

Yumkini ukiwa na rafiki ambaye hana maendeleo, halafu ukakutana naye baada ya miaka michache ana maendeleo
Unaumauma sana maneno mkuu, sema tu ukiwa na rafiki ambae ni mtumwa amefungwa minyororo halafu ukamkuta baada ya miaka kadhaa kafunguliwa minyororo Ila still bado ni mtumwa, level za utumwa zinatofautiana kulingana na plantation uliyopo, mtumwa wa mtaani choka mbaya sio sawa na mtumwa anaefanya kazi kwenye Ofisi nzuri Ila wote ni watumwa tu tofauti ni kwamba mmoja kapigwa minyororo mwingine hana minyororo

Pole sana mtumwa
 
At the end of the day amebakia kua mtumwa

Pole sana mtumwa
 
Kuna mdada alikua bar maid anashikwa matako na walevi, Leo hii Ni mkuu wa mkoa.
Simulizi ya mtumwa mwingine aliehamishwa kutoka plantation moja kwenda plantation nyingine, mpe pole sana mtumwa huko aliko vipi bado hawamshikishiki mata.core pamoja na ukuu wakewa Mkoa? Maana pamoja na ukuu wake wa Mkoa yeye still bado ni mtumwa

Pole sana mtumwa
 
Heshimu kila kiumbe kilichozaliwa na mwanamke
 
Heshimu kila kiumbe kilichozaliwa na mwanamke
Heshimu kila mtumwa unaepishana nae hata km wewe unatembelea usafiri mzuri mtumwa mwingine anatembea kwa Miguu kapauka kachoka kachakaa

Pole sana mtumwa
 
Naona watumwa mnaunganisha dots

Pole sana mtumwa
 
Huyo katafuta mbanga/mbuyu ndio kafika hapo, hajatumia specialized skill yoyote kufika hapo
 
Hapana, mimi naheshimu watu wote, hata watumwa.

Kuturudisha utumwani ni fedheha inayoonesha wewe kukosa usomi.

Kwa sababu, hata kama unataka kwenda kwa merit, katika maisha haya, sababu za mtu mmoja kuwa mtumwa na mtu mwingine kutokuwa mtumwa zinaweza zisiwe na uhusiano wowote na merit.

Zikawa zina uhusiano na bahati ya umezaliwa wapi tu.

Unachoweza kuita "kuumauma sana maneno" mimi ninaweza kukiita kukosa uwezo wa kusoma na kufuatilia mada.
 
Hawa ni wengi sana hata Sugu alikua Mlinzi wa getini baadhi ya wachungaji ukimtoa Mwmposa wakisimulia simulizi zao watakwambia waliwahi kua walinzi magetini
geodavie wa ngurumo ya upako, na nyumba ya matamko alikuwa mlinzi pia,
 
Nilichomaanisha ni kwamba unaemzungumzia au unaowazungumzia ni watumwa, nani amekwambia nakurudisha utumwani ikiwa kwamba still bado upo utumwani?

Pole sana mtumwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…