Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,234
- 14,853
Mimi kila nikisikia sauti yake najisikia kubeba panga na kwenda kumkatakata mtu…..
mimi hata sura yake nikiona hata picha nasikia vibaya sana …
Mimi kila nikisikia sauti yake najisikia kubeba panga na kwenda kumkatakata mtu…..
Mimi kuna moja hiyo…..clip ya yule dogo anakata roho huku utumbo wake ukiwa nje.Huyu maza kuna kitu kipo nyuma yake..
Haiwezeka binadamu wa kawaida hasa mwanamke kukaza fuvu kama hivi!
Zile video za mauaji na ugumu wangu huu nakosa usingizi mpaka leo
Best option ni yeye ku step down.
Trump kamualika bibi white house tarehe 9/12/25.Pressure nje ya nchi is too high, they cant keep up
Si kwa yale matundu
Una official document from white houseTrump kamualika bibi white house tarehe 9/12/25.
Pumbavu la kwanza linalopaswa kujiuzulu baada ya hotuba ya leo.Wakaja na habari za AI, ikagoma.
Huyu Samuya anataka turidhiane kwa lipo, mtoto wa miaka 10 anapigwaje risasi ...UpuuziBaada ya kukosa njia au namna ya kutokea, leo eti ndo anatoa pole kwa waliopoteza maisha yao!
Hiyo si pole ya dhati.
Kaitoa kwa sababu kaona hakuna namna. Ushahidi wa mauaji yake ni mwingi mno.
Wamejaribu kila aina ya spin, imeshindikana.
Walianza na kuwalaumu waandamanaji.
Wakaja na habari za AI, ikagoma.
Wamejaribu kukaa kimya wakiombea Watanzania watasahau, imeshindikana.
Vyombo vya habari vya ndani navyo vimejaribu kumkingia kifua kwa kutokuripoti hayo mauaji, imegonga mwamba.
Vyombo vya habari vya kimataifa kwa kusema ukweli havijaitupa Tanzania.
BBC, DW, First Post, na wengineo, wameendelea kuripoti kuhusu mauaji aliyoyafanya.
Kwenye jumuiya ya kimataifa, wanamcheka kwa dharau.
Watu wote tumeona hakuna watu milioni 32 waliojitokeza kupiga kura.
Sasa eti anakuja na mambo ya pole, sijui tume ya kuchunguza mauaji, sijui maridhiano nini nini….
Mimi nasema hivi…..hatuutaki huo ujinga wako.
Kuua uue wewe halafu wewe huyo huyo ndo uunde tume ya kuchunguza hayo mauaji yako?
Hivi unatuonaje we bibi?
Hayo ndo yaleyale ya tume ya uchaguzi. Unaiunda mwenyewe halafu unakuja kushiriki uchaguzi ambao hiyo tume inauendesha.
Tumeona matokeo yake.
Safari hii imekula kwako. Pole yako baki nayo mwenyewe.
Tume yako baki nayo mwenyewe.
Kwa sasa jiandae tu na kwenda kujibu mashitaka kule ICC.
Mimi binafsi kungekua na teknolojia ya ku flash ubongo ningeu flash ili nisiwe na concept yoyote kuhusu Samia... huyu mama image yake siitaki kabisa kichwani kwangumimi hata sura yake nikiona hata picha nasikia vibaya sana …
rohoni najua unajua kbs hapa mmelamba garasaICC haendi na tume ataunda
Very sad! Sikuiona hii..nadhani ingenitesa sana, hata swala hauwawi hivyo!Mimi kuna moja hiyo…..clip ya yule dogo anakata roho huku utumbo wake ukiwa nje.
Hiyo taswira imegoma kufutika kichwani mwangu.
Kaniliza huyo dogo aisee.
ICC haendi na tume ataunda
To be honest,Namchukia sana huyu mwanamke.Wakuu punguzeni chuki na hasira hazijengi.