Hakuna cha at least hapa!At least wame acknowledge kulikuwepo mauaji. Ni hatua muhimu. Viongozi wa TZ walianza katabia cha kukana vitu ambavyo vipo dhahiri. Ngoja tuone yajayo.
Nafurahi kukuona huku vipi toa maoni yako bibi YAKO FaizaFoxy aende ICC au tuendelee kubeti
Nafurahi kukuona huku vipi toa maoni yako bibi YAKO FaizaFoxy aende ICC au tuendelee kubeti
Hizi za 29/10?