Hatudanganyiki ng’o!!

Hatudanganyiki ng’o!!

I still do not understand why they were shooting indiscriminately... Kile kiwango cha kutokujali hutegemei kitoke kwenye trained officers.... Ni kama walipata wazimu
Umezungumza kitu ambacho wengi kimetushangaza

Juzi tulikua na watu fulani tumekaa tukawa tunajiuliza wale watu hawakua na akili? Sababu binadamu mwenye akili hawezi kushoot risasi kila anachokiona mbele yake. Wanaingia kibanda umiza wanakuta Watoto wanaangalia mpira, wanawalaza chini na kuwapiga risasi kisogoni wote, Hakuna hata mmpja wa kushtua wenzie kuwa hii acheni?
 
Baada ya kukosa njia au namna ya kutokea, leo eti ndo anatoa pole kwa waliopoteza maisha yao!

Hiyo si pole ya dhati.

Kaitoa kwa sababu kaona hakuna namna. Ushahidi wa mauaji yake ni mwingi mno.

Wamejaribu kila aina ya spin, imeshindikana.

Walianza na kuwalaumu waandamanaji.

Wakaja na habari za AI, ikagoma.

Wamejaribu kukaa kimya wakiombea Watanzania watasahau, imeshindikana.

Vyombo vya habari vya ndani navyo vimejaribu kumkingia kifua kwa kutokuripoti hayo mauaji, imegonga mwamba.

Vyombo vya habari vya kimataifa kwa kusema ukweli havijaitupa Tanzania.

BBC, DW, First Post, na wengineo, wameendelea kuripoti kuhusu mauaji aliyoyafanya.

Kwenye jumuiya ya kimataifa, wanamcheka kwa dharau.

Watu wote tumeona hakuna watu milioni 32 waliojitokeza kupiga kura.

Sasa eti anakuja na mambo ya pole, sijui tume ya kuchunguza mauaji, sijui maridhiano nini nini….

Mimi nasema hivi…..hatuutaki huo ujinga wako.

Kuua uue wewe halafu wewe huyo huyo ndo uunde tume ya kuchunguza hayo mauaji yako?

Hivi unatuonaje we bibi?

Hayo ndo yaleyale ya tume ya uchaguzi. Unaiunda mwenyewe halafu unakuja kushiriki uchaguzi ambao hiyo tume inauendesha.

Tumeona matokeo yake.

Safari hii imekula kwako. Pole yako baki nayo mwenyewe.

Tume yako baki nayo mwenyewe.

Kwa sasa jiandae tu na kwenda kujibu mashitaka kule ICC.
Inasikitisha sana
 
Ukisikia gia ya kutafuta kutokea ndiyo hii
 
Yeye ndiye alitoa amri Watanganyika wauwawe leo anakuja na machozi ya mamba, asitutanie kabisa .Lazima tulipe kisasi kwa wauaji ambao ni maccm , polisi, Wazanzibari na viongozi wa dini ambao wanalaani maandamano bila kulaani wauaji.
 
Kwa ambaye ana hicho kipande akitoa pole naomba akiweke humu naomba kiwe na sekunde chache sana kisiwe kikubwa sana Kwa faida ya wengi tafadhali maana binafsi nashindwa kabisa kumsiliza hata Kwa dakika mbili siwezi kabisa
Mimi kila nikisikia sauti yake najisikia kubeba panga na kwenda kumkatakata mtu…..
 
Yeye alihusika kutoa amri ya mauaji, vinginevyo mabomu ya machozi ndo yangetawala
Naam.

Mabomu ya machozi. Maji ya upupu. Risasi za mpira. Kamata na piga pingu. Pandisha kwenye karandinga.

Lakini siyo kuua. Kuwafuata watu majumbani mwao na kuwaua.

Kupiga risasi watoto.

Dah hasira zinanipanda tu hapa.
 
Hakuna mtanzania aliye andamana, tulio waua wote raia wa kigeni, hakuna aliyeuwawa picha za miili ni AI.

Lakini anatoa pole kwa ma AI na wakenya walioandamana.

Mwendawazimu kabisa.

Tujaribu kuweka mkazo D9, tuongeze milage kwenye ukombozi wa Tanganyika.
 
Naam.

Mabomu ya machozi. Maji ya upupu. Risasi za mpira. Kamata na piga pingu. Pandisha kwenye karandinga.

Lakini siyo kuua. Kuwafuata watu majumbani mwao na kuwaua.

Kupiga risasi watoto.

Dah hasira zinanipanda tu hapa.
Hakika. Kulikuwepo namna nyingi tu.
 
Back
Top Bottom