Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,234
- 3,542
APEPEBasi wale tunaoamini katika Reincarnation au kuzaliwa Upya .
Basi tupitie Zaburi hii na tuseme amina kwa ajili ya mtumishi mwanasiasa yule apate kusamehewa na kerehemiwa afya yake ikae sawa kisha arudi katika majukumu yake .
Zaburi 118:17 Sitakufa, bali nitaishi, na kusimulia matendo ya Mwenyezi-Mungu.