CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,576
- 42,500
Zimwi liko kuzimuWalio huko na ambao tuna uhakika nao tunawajua,,,,hao ndo wanaenda kuokwa
Zimwi liko kuzimuWalio huko na ambao tuna uhakika nao tunawajua,,,,hao ndo wanaenda kuokwa
Wale waliomlisha sumu, wapo hapa hapa, dua zao na shauku yao afe, sielewi wao watapata nini akifa
Kabisaa ndo wazungu wanawaitaga ma saint sioZimwi liko kuzimu
Hizi taarifa umetoa wapi ?R.I.P
Watu wanamini sana propagandaNakuunga mkono. Watu wana chuki za kukaririshwa bila evidence yoyote.
Ndio nini hiki mkuu ?APEPE
Yesu Sio husein,amadi au josefuDam ya Yesu imfunike popote alipo
AiseeYesu Sio husein,amadi au josefu
tupunguze chuki pasipo ushahidiNakuunga mkono. Watu wana chuki za kukaririshwa bila evidence yoyote.
Umenena vyemahafi mtu hapa
mafisadi lazima wafurushwe
majangili kushika nchi mwisho ilikua 2005-2015
sahizi ni dozi tu, jino kwa jino
Hakika Mungu ni Mwemahafi mtu hapa
mafisadi lazima wafurushwe
majangili kushika nchi mwisho ilikua 2005-2015
sahizi ni dozi tu, jino kwa jino
Acha uzushi. Ni mzima wa afya na yupo Dubai kwa mapumziko.DAB get well soon Ila Wazee acheni kuwekeana sumu
Tuwekee Picha na Video kinyume na hapo Wewe ndio MzushiAcha uzushi. Ni mzima wa afya na yupo Dubai kwa mapumziko.
Ingia kwenye wall yake kule x utamuona na kumsoma.Tuwekee Picha na Video kinyume na hapo Wewe ndio Mzushi
😆😆😆 Chuma kiko dubai kinakula rahaZimwi liko kuzimu
Link weka linkIngia kwenye wall yake kule x utamuona na kumsoma.