Thanks for much respect, hata mimi bado naikumbuka ile ban yangu ya kwanza na probably ya mwisho, ulionisababishia tena kwa kunisingizia, japo nimeisha forgive but not forget, ila nakuheshimu sana, na wapenda demokrasia wote wa kweli hata walioko ndani ya CCM, wanapenda kuona nchi yetu inakuwa na strong na credible opposition, na Chadema was the only hope kwa Tanzania bara, lakini haya maroroso yenu, yanawakatisha sana tamaa walio wengi, msipokubali kubadilika, 2020 you're going to be reduced to nothing!.
Ni kweli Kamanda kafanya mengi makubwa, lakini amefikia optimum performance ya uwezo wake, he can not do anything more than what he can.
P