Hatma ya Freeman Mbowe CHADEMA

Hatma ya Freeman Mbowe CHADEMA

Natamani uchaguzi wa chadema uahirishwe hadi baada ya uchaguzi mkuu ili hizi ngonjera za idadi ya wabunge wasiojaa sebule ife.
Ninaamini Mbowe akija kugombea baada ya uchaguzi mkuu atajikuta ana wabunge labda watano kama zamani.
Hata asipopata mbunge shida yako ni nini? Wananchi wanamtaka Mbowe
 
Hilo la kuongezeka kwa idadi ya wabunge ni kwa sababu ya juhudi za uongozi mahiri wa Dr. Slaa alizozifanya upinzani.

Kama ninayoyasema ni ya kizushi, tutaangalia idadi ya wabunge wa upinzani itakayopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa mwakani.

Kama itafikia hata nusu ya waliopo, basi kweli Mbowe atakuwa ni mwenyekiti chaguo sahihi la wapinzani.
 
Mbowe Tano Tena

Chungu sana kwa CCM kama shubiri
Naona umeingia mitini mkuu, na umeona ni jinsi gani hoja zako ni nyepesi.

Mbowe anaanza vipi kuwa shubiri kwa CCM wakati wabunge kibao wamefika bei yeye akiwa mwenyekiti?

Mmezuiwa kufanya siasa kila sehemu hata kutoa misaada mnakamatwa, Mbowe yupo kimya, kaufyata. Labda kama huo ndio ushubiri.

Kimbunga halisi kinakuja 2020, ambapo mtapokonywa ushindi karibu kila jimbo,ushubiri utaendelea kuonekana.
 
Hii ndiyo habari ya mujini kwa sasa
 
Hilo la kuongezeka kwa idadi ya wabunge ni kwa sababu ya juhudi za uongozi mahiri wa Dr. Slaa alizozifanya upinzani.

Kama ninayoyasema ni ya kizushi, tutaangalia idadi ya wabunge wa upinzani itakayopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa mwakani.

Kama itafikia hata nusu ya waliopo, basi kweli Mbowe atakuwa ni mwenyekiti chaguo sahihi la wapinzani.
Kawaeleze wenzio kumtoa Mbowe CDM siyo kazi rahisi
 
Apumzike!Tundu lissu achukue nafasi hiyo.
Akiendelea kugombea atakuwa na tofauti gani na Mugabe?
Ruhusuni demokrasia ichukue nafasi yake,
Jisemee nafsi yako na acha kuisemea asilimia 99 ya sisi wanachama ambayo hutujui tunamtaka nani
Hata asipopata mbunge shida yako ni nini? Wananchi wanamtaka Mbowe
 
Apumzike!Tundu lissu achukue nafasi hiyo.
Akiendelea kugombea atakuwa na tofauti gani na Mugabe?
Ruhusuni demokrasia ichukue nafasi yake,
Jisemee nafsi yako na acha kuisemea asilimia 99 ya sisi wanachama ambayo hutujui tunamtaka nani
Labda nikuibie siri na iwe siri yako Tu.Lissu ndiye mgombea wetu wa Urais na Mbowe ndiye Mwenyekiti wetu.Tunataka mgawanyo wa madaraka ndani ya chama chetu
 
Molemo hachelewi kukuambia Lissu atauza chama.
 
FB_IMG_1569144168374.jpg
 
Labda nikuibie siri na iwe siri yako Tu.Lissu ndiye mgombea wetu wa Urais na Mbowe ndiye Mwenyekiti wetu.Tunataka mgawanyo wa madaraka ndani ya chama chetu
Kwahiyo tayari mmeshapitisha mgombea?😂😂

Hakika hiki ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.

Wakati huo huo mnapiga tarumbeta JPM awe na mtu wa kumpinga ndani ya CCM😂
 
Naona umeingia mitini mkuu, na umeona ni jinsi gani hoja zako ni nyepesi.

Mbowe anaanza vipi kuwa shubiri kwa CCM wakati wabunge kibao wamefika bei yeye akiwa mwenyekiti?

Mmezuiwa kufanya siasa kila sehemu hata kutoa misaada mnakamatwa, Mbowe yupo kimya, kaufyata. Labda kama huo ndio ushubiri.

Kimbunga halisi kinakuja 2020, ambapo mtapokonywa ushindi karibu kila jimbo,ushubiri utaendelea kuonekana.
waTZ wana udumavu wa kufikiri, yaani unajiuliza mtu huyu ana Ubongo kweli? Dalili zote zimeonekana Chadema watapata wabunge wasiozidi watano kwenye 2020 GE.

Mtu na Mchuzi wake kichwani (ubongo uliojaa maji) anakwambia Mbowe tano tena.
 
Mleta mada yote uliyosema kuhusu Mbowe hakuna anayeyapinga, lakini ukweli uko wazi kiongozi akiongoza zaidi ya miaka 10 anakuwa hana jipya, sana sana atatumia madaraka yake kusalia hapo madarakani na sio kwa ridhaa ya wanachama/wananchi wake. Mifano ya kwamba sasa Mbowe kafikia mwisho ni kitendo cha kumpokea Lowassa aliyefuata madaraka tu, na kisha kayakosa karudi kule kule alikotoka. Kama yuko kama kiongozi anapaswa kukabidhi kijiti kwa mwingine, lakini kama yuko hapo kama ajira basi muambie amechemsha.
 
Kwahiyo tayari mmeshapitisha mgombea?😂😂

Hakika hiki ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.

Wakati huo huo mnapiga tarumbeta JPM awe na mtu wa kumpinga ndani ya CCM😂

Ndiyo Tayari tuna mgombea.Kawaambie kule kwamba mmeshachelewa
 
Mleta mada yote uliyosema kuhusu Mbowe hakuna anayeyapinga, lakini ukweli uko wazi kiongozi akiongoza zaidi ya miaka 10 anakuwa hana jipya, sana sana atatumia madaraka yake kusalia hapo madarakani na sio kwa ridhaa ya wanachama/wananchi wake. Mifano ya kwamba sasa Mbowe kafikia mwisho ni kitendo cha kumpokea Lowassa aliyefuata madaraka tu, na kisha kayakosa karudi kule kule alikotoka. Kama yuko kama kiongozi anapaswa kukabidhi kijiti kwa mwingine, lakini kama yuko hapo kama ajira basi muambie amechemsha.
Ridhaa inapatikanaje? Ni kwa Kura Tu.Mbowe atashinda kwa kura na siyo kwa mapinduzi
 
waTZ wana udumavu wa kufikiri, yaani unajiuliza mtu huyu ana Ubongo kweli? Dalili zote zimeonekana Chadema watapata wabunge wasiozidi watano kwenye 2020 GE.

Mtu na Mchuzi wake kichwani (ubongo uliojaa maji) anakwambia Mbowe tano tena.
Wewe mwanaCCM kinakuuma nini?

Mbowe Tano Tena
 
Natamani uchaguzi wa chadema uahirishwe hadi baada ya uchaguzi mkuu ili hizi ngonjera za idadi ya wabunge wasiojaa sebule ife.
Ninaamini Mbowe akija kugombea baada ya uchaguzi mkuu atajikuta ana wabunge labda watano kama zamani.
Asipogombea wataongezeka?
 
Mkono wa Mh. Mbowe umeshatema cheche ngoja waje wapiga mapambio wake sasa.

DEMOKRASIA KWA TZ NI NGUMU HAIJARISHI CCM AU UPINZANI.

Nyie watu wa kusini mna akili nyingi sana zakuwashika wajinga jinga.
 
Mbowe alikuwa na nguvu na uwezo kwa sababu ya Dr Slaa tu. Sasa hivi ana lolote, hana uwezo kwa sababu king maker aliondoka
Na demokrasia lazima ionekane ndani ya chama, otherwise hakuna sababu ya kulalamikia ccm na serikali yake
 
Back
Top Bottom