Hatma ya Freeman Mbowe CHADEMA

Hatma ya Freeman Mbowe CHADEMA

Wadanganye wajinga.
Maana ya uchaguzi ni kuruhusu wanachama mbali mbali wagombee nafasi wanazotaka.
Sasa lazima awe mwenyekiti INA maana unatunyima sisi wajumbe ama wanachama kushindwa kutumia vyema katiba yetu ya kuchagua ama kuchaguliwa.
Ina maana mnafunga mlango wa ushindani kwa nafasi ya uenyekiti.
Swali dogo tu ninyi,INA maana mwenyekiti akiwa mwingine tofauti na Mbowe marupurupu yenu yanakwisha?
Kagombeeni ubunge vunjo ama mwanga ili msife njaa maana mwenyekiti wetu wa chama atakuwa tofauti na Mbowe
CDM siyo sawa na CCM.Huku hakuna Team Mbowe.Huku kuna Team CDM
 
Ridhaa inapatikanaje? Ni kwa Kura Tu.Mbowe atashinda kwa kura na siyo kwa mapinduzi

Narudia tena, Mbowe ni kiongozi mzuri na kuikuza sana cdm ila kwa sasa hana jipya zaidi ya kung'ang'ania madarakani. Kakaa madarakani zaidi ya miaka 15, amekosa hata mgombea wa urais kaishia kwenda kumuokota tapeli wa kisiasa muda mchache kabla ya uchaguzi mkuu. Kama kweli anakijali chama na anajua maana ya uwajibikaji, suala lile lilimpasa kukaa pembeni. Kama ameshindwa kuheshimu demokrasia ya kupokezana vijiti hapo alipo ni kama anazuia risasi kwa debe, na hatakaa awe na jipya zaidi ya kuharibu alivyofanikiwa.
 
Ni kweli unayosema kuhusu Mbowe alivyokijenga Chama. Lakini sidhani kama itakuwa vyema asubiri mpaka kianze kumfia mikononi ndio afikirie kukabidhi Madaraka, ingekuwa busara zaidi kama akikabidhi uongozi wakati Chama kikiwa amekifikisha pazuri. Mwakani Wabunge na Madiwani wa Chadema wakipungua, lawama zote zitamuangukia yeye kama ambavyo sifa za kuongezeka kwao anavyopewa yeye. Elewa kuwa hivi sasa hata kabla ya uchaguzi Mkuu, Wabunge na Madiwani wa Chadema wameshaanza kupungua!
Wakati Freeman Aikaeli Mbowe⁩ anachukua nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa kutoka kwa mzee Bob Nyanga Makani, alikuta kuna Wabunge wa 5 na Madiwani wasiozidi 75 nchi nzima. Wabunge wasioweza hata kujaza sebule yenu hapo.

Leo tukielekea kwenye uchaguzi mkuu mwingine wa ndani wa CHADEMA, Mwezi Desemba, 2019 CHADEMA kuna Wabunge zaidi ya 65 madiwani zadi ya 1500 nchi yote, halmashauri za kutosha na wanaunda kambi ya upinzani bungeni (KUB)

Hivyo ni vyema wewe "kijana - baro baro" wa leo mwenye kuendeshwa na "mihemko" kutambua haya mafaniko makubwa kabla ya kusema "Mbowe ameiua CHADEMA", inawezekana hujui hata CHADEMA imefikaje hapa ilipo leo, sio miujiza, ni STRATEGIES!

Kuna Vijana wa leo, labda kwa mihemko na juhudi za kutumika hawajui nguvu iliyotumika, jasho lililomwagika hadi kuifanya leo CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani. Wanadhani ni kitu rahisi kama kucheza 'BIKO na TATU MZUKA'

Hatusemi kwamba Freeman Mbowe ni malaika, kwamba hakuna dosari na makosa kwenye uongozi wake, hapana, isipokuwa jasho, damu na machozi yake yamemwagika kwa ajili ya CHADEMA, tuhuma zenu zinapaswa kuwa 'Valid' wakati wa kumkosoa, tuhuma za JINAI zithibitishwe!

Freeman Aikaeli Mbowe ni mwenyekiti halali wa CHADEMA, na ataondoka madarakani siku wanachama wa CHADEMA wakisema "imetosha" kupitia mkutano mkuu, sio kwa sababu "Kuna kelele za CCM na mapandikizi" huko nje za "Mbowe ondoka! Mbowe ondoka!"

Mzee Bob Makani alikuwa na kadi namba Tatu ya CHADEMA, kadi namba Mbili ilikuwa ya Mzee Brown Ngilulupi na kadi namba moja ya Mzee Edwin Mtei, hawakukosea kamwe kumuona Freeman Mbowe na kumkabidhi CHADEMA ambayo ameifanya kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania.

Mwisho, kimsingi, CHADEMA imebarikiwa kuwa na mwenyekiti kama Freeman Mbowe, wengine tuliopata fursa ya kufanya nae kazi au kukutana nae, tunajivunia sana, he's a man and a-half!

Stay blessed Chairman!

Mbowe Tano Tena Uchaguzi Mkuu 2019
 
CDM hakuna haja ya katiba . Anatosha ametuta mbali ametumia rasilimali zake binafsi.

Akiwa raisi wa JMT kwa uchapakazi wake atatuvusha sana pia katiba haitakuwa na maana atakuwa raisi wa milele.

Lakini tukumbuke kuwa kua CDM ya akina Slaa na TLS huenda ndio waliosababisha wabunge wengi kuingia kubwa zaidi EL mzee wa kuzungusha mikono huyo ni
 
Wakati Freeman Aikaeli Mbowe⁩ anachukua nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa kutoka kwa mzee Bob Nyanga Makani, alikuta kuna Wabunge wa 5 na Madiwani wasiozidi 75 nchi nzima. Wabunge wasioweza hata kujaza sebule yenu hapo.

Leo tukielekea kwenye uchaguzi mkuu mwingine wa ndani wa CHADEMA, Mwezi Desemba, 2019 CHADEMA kuna Wabunge zaidi ya 65 madiwani zadi ya 1500 nchi yote, halmashauri za kutosha na wanaunda kambi ya upinzani bungeni (KUB)

Hivyo ni vyema wewe "kijana - baro baro" wa leo mwenye kuendeshwa na "mihemko" kutambua haya mafaniko makubwa kabla ya kusema "Mbowe ameiua CHADEMA", inawezekana hujui hata CHADEMA imefikaje hapa ilipo leo, sio miujiza, ni STRATEGIES!

Kuna Vijana wa leo, labda kwa mihemko na juhudi za kutumika hawajui nguvu iliyotumika, jasho lililomwagika hadi kuifanya leo CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani. Wanadhani ni kitu rahisi kama kucheza 'BIKO na TATU MZUKA'

Hatusemi kwamba Freeman Mbowe ni malaika, kwamba hakuna dosari na makosa kwenye uongozi wake, hapana, isipokuwa jasho, damu na machozi yake yamemwagika kwa ajili ya CHADEMA, tuhuma zenu zinapaswa kuwa 'Valid' wakati wa kumkosoa, tuhuma za JINAI zithibitishwe!

Freeman Aikaeli Mbowe ni mwenyekiti halali wa CHADEMA, na ataondoka madarakani siku wanachama wa CHADEMA wakisema "imetosha" kupitia mkutano mkuu, sio kwa sababu "Kuna kelele za CCM na mapandikizi" huko nje za "Mbowe ondoka! Mbowe ondoka!"

Mzee Bob Makani alikuwa na kadi namba Tatu ya CHADEMA, kadi namba Mbili ilikuwa ya Mzee Brown Ngilulupi na kadi namba moja ya Mzee Edwin Mtei, hawakukosea kamwe kumuona Freeman Mbowe na kumkabidhi CHADEMA ambayo ameifanya kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania.

Mwisho, kimsingi, CHADEMA imebarikiwa kuwa na mwenyekiti kama Freeman Mbowe, wengine tuliopata fursa ya kufanya nae kazi au kukutana nae, tunajivunia sana, he's a man and a-half!

Stay blessed Chairman!

Mbowe Tano Tena Uchaguzi Mkuu 2019
Hatuwezi kuwasikiliza wapumbavu wa lumumba wahangaike na yao yakwetu tutahangaika nayo wenyewe
 
Hili linazungumzika mkuu.Tunaweza kumshauri Mwenyekiti vizuri wakati atakapofanya uteuzi wa Katibu mkuu mpya.Naamini ataheshimu mawazo ya wengi

We unaonekana una maslahi binafsi na madaraka ya Mbowe, huyo katibu mkuu tumepiga kelele miezi sita yake ya mwanzo tu kwamba sio katibu mkuu sahihi kwa cdm tulivyokuwa tunajivunia, lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa, na yote hayo ni kwakuwa mwenyekiti wa cdm kafikia mwisho wa ubora wake. Siasa zimebadilika, historia ya mafanikio haiwezi kututoa tulipofikia. Mbowe akubali tu wakati ukuta na ajilaumu mwenyewe kwa kushindwa kuaandaa mrithi. Ni vyema akakaa pembeni kuliko kukiangamiza chama alichokijenga kwa mikono yake.
 
Mwenyekiti huyu adumu sana, hakuna mwenyekiti mwingine wa chama chochote wa kufikia viwango vya kamanda wa anga, Mbowe for chairmanship
 
Basi na nyie fanyeni uchaguzi mnamfanya Mbowe kuwa mwenyekiti wa maisha
Una uhakika kuwa chaguzi hazifanyiki? Na uchaguzi ujao lazima tumchague tena. Toka lini CCM ikawa na mapenzi mema kwa chadema kiasi kwamba inataka iwachagulie mwenyekiti? Kama kapwaya si ndio furaha yenu ili mpate credit? Inakuwaje sasa ninyi CCM hamumraki mwenyekiti wa chadema?
 
Huna tofauti na wale Praise Team pale Lumumba.

Huna tofauti na Musiba au Juma Nkamia.
Kama wewe unapata ujira wa Buku 7 kwa kuchafua CDM kwanini ushangae kwangu?
 
Wadanganye wajinga.
Maana ya uchaguzi ni kuruhusu wanachama mbali mbali wagombee nafasi wanazotaka.
Sasa lazima awe mwenyekiti INA maana unatunyima sisi wajumbe ama wanachama kushindwa kutumia vyema katiba yetu ya kuchagua ama kuchaguliwa.
Ina maana mnafunga mlango wa ushindani kwa nafasi ya uenyekiti.
Swali dogo tu ninyi,INA maana mwenyekiti akiwa mwingine tofauti na Mbowe marupurupu yenu yanakwisha?
Kagombeeni ubunge vunjo ama mwanga ili msife njaa maana mwenyekiti wetu wa chama atakuwa tofauti na Mbowe
Wewe mwanaCCM huku CDM ugombee nini?
 
Narudia tena, Mbowe ni kiongozi mzuri na kuikuza sana cdm ila kwa sasa hana jipya zaidi ya kung'ang'ania madarakani. Kakaa madarakani zaidi ya miaka 15, amekosa hata mgombea wa urais kaishia kwenda kumuokota tapeli wa kisiasa muda mchache kabla ya uchaguzi mkuu. Kama kweli anakijali chama na anajua maana ya uwajibikaji, suala lile lilimpasa kukaa pembeni. Kama ameshindwa kuheshimu demokrasia ya kupokezana vijiti hapo alipo ni kama anazuia risasi kwa debe, na hatakaa awe na jipya zaidi ya kuharibu alivyofanikiwa.
Atakaa hata miaka 50 mpaka wanachama tutakapomkataa kwa kura.
 
Ni kweli unayosema kuhusu Mbowe alivyokijenga Chama. Lakini sidhani kama itakuwa vyema asubiri mpaka kianze kumfia mikononi ndio afikirie kukabidhi Madaraka, ingekuwa busara zaidi kama akikabidhi uongozi wakati Chama kikiwa amekifikisha pazuri. Mwakani Wabunge na Madiwani wa Chadema wakipungua, lawama zote zitamuangukia yeye kama ambavyo sifa za kuongezeka kwao anavyopewa yeye. Elewa kuwa hivi sasa hata kabla ya uchaguzi Mkuu, Wabunge na Madiwani wa Chadema wameshaanza kupungua!
Kwa hiyo unataka kimfie mwingine? Ni upendo gani mkubwa kwa Mbowe ulio nao hutaki chama kimfie? Kwanini usiache kikamfia yeye ili mfurahi?
 
We unaonekana una maslahi binafsi na madaraka ya Mbowe, huyo katibu mkuu tumepiga kelele miezi sita yake ya mwanzo tu kwamba sio katibu mkuu sahihi kwa cdm tulivyokuwa tunajivunia, lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa, na yote hayo ni kwakuwa mwenyekiti wa cdm kafikia mwisho wa ubora wake. Siasa zimebadilika, historia ya mafanikio haiwezi kututoa tulipofikia. Mbowe akubali tu wakati ukuta na ajilaumu mwenyewe kwa kushindwa kuaandaa mrithi. Ni vyema akakaa pembeni kuliko kukiangamiza chama alichokijenga kwa mikono yake.
Kama wewe ulivyo na maslahi na CCM
 
Una uhakika kuwa chaguzi hazifanyiki? Na uchaguzi ujao lazima tumchague tena. Toka lini CCM ikawa na mapenzi mema kwa chadema kiasi kwamba inataka iwachagulie mwenyekiti? Kama kapwaya si ndio furaha yenu ili mpate credit? Inakuwaje sasa ninyi CCM hamumraki mwenyekiti wa chadema?
Ujinga wao wala hawajui propaganda.Enzi ya wapiga Propaganda maarufu kama Kingunge na Moses Nnauye wasingeshiriki ujinga kama huu wa kutaka kuichagulia CDM Mwenyekiti.Kwa sababu kwa kufanya hivyo tu tayari wanaonekana hawamtaki Mbowe kwa sababu anawaumiza
 
Atakaa hata miaka 50 mpaka wanachama tutakapomkataa kwa kura.

Uko sahihi mno hata kama umepanic, lakini atakaa kwenye chama chenye nguvu ndogo tofauti na ilivyokuwa huko nyuma. Ni vigumu kuendelea kupata uungwaji mkono wa watu wanaojitambua huku ukikaa madarakani muda mrefu bila sababu za msingi. Watu walishatoka kwenye siasa za kusujudia viongozi/watu bali wanaamini katika taasisi. Fanya hivi, mkiona Mbowe kakaa hiyo miaka hamsini na bado mna hamu naye hata akiwa amezeeka, mnaweza kufanya utaratibu mtoto wake awe mwenyekiti.
 
Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekti wa Chadema kwa kuwa ana mpango wa kuungana na Wahaini wa Visiwan pamoja na Mbembe mmoja toka Ujiji Kigoma ili kumvunja moyo Rais wetu kukomboa Nchi
Wahaaini ni wazazi wako waliokukosesha malezi ya kutokuwa na adabu.
 
Back
Top Bottom