balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,513
- 15,152
Hakika na kwangu ,Mbowe atabaki kuwa icon ya demokrasia ya kweli Tanzania.Namshukuru Mungu kwa kumleta kamanda huyu.Mbowe ni Shujaa wa mageuzi Tanzania
Hakika na kwangu ,Mbowe atabaki kuwa icon ya demokrasia ya kweli Tanzania.Namshukuru Mungu kwa kumleta kamanda huyu.Mbowe ni Shujaa wa mageuzi Tanzania
Je kwa maoni yako Mbowe amefikia ukomo na hapaswi kuendelea?No matter how good one is, ukifikia point ya saturation unakuwa a saturated solution, you can take no more than you can.
One can be very good and very instrumental ukafanya a lot of good things, lakini akifikia optimum ya uwezo wako, you can do no more good than you did.
Waasisi wa Chadema walioweka kipengele cha ukomo wa uongozi ni vipindi viwili vya miaka 5 mitano, ndani ya katiba ya Chadema, walikuwa na maana yao nzuri tuu, lakini jinsi kipengele hicho kilivyo yeyuka into thin air kwa kunyofolewa kinyemela, leaves much to be desired.
Na ukiizungumzia tuu hoja ya ukomo, wanakushukia kama mwewe!.
![]()
Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
Wanabodi, Uendeshaji wa vyama vya siasa nchini, unaongozwa na sheria, taratibu na kanuni. Ikithibitika pasipo shaka kuwa chama fulani, kinakiuka sheria, taratibu na kanuni, kinapaswa kuwajibishwa, kuadhibiwa hata kufutwa, kutegemeana na tuhuma halisi!. Miongoni mwa masharti ya usajili wa...www.jamiiforums.com
P![]()
GE2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
Wanabodi, Preamble: Chadema ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo jina tuu, ila uendeshaji wake ni wa kidikteta wa hali ya juu!. Katiba yake inavipengele vya kidikteta vinavyokwenda kinyume cha katiba ya nchi!, hii thread ni ya swali tuu, Hivi Chadema ilivyo, bado haijakabidhiwa nchi, inatoa...www.jamiiforums.com
Sijasema amefikia ukomo, amefikia saturation, hivyo he can take no more than what he can. Amefanya mengi, mazuri na makubwa na kufikia optimum, he can not do more than he can.Je kwa maoni yako Mbowe amefikia ukomo na hapaswi kuendelea?
Unasemaje kama tutamchagua tena? Utaendelea kuumia kizazi au utaufyata?Sijawahi hata kuitamani hiyo ccm na wala sintokaa niitamani, naifahamu siasa wala sibahatishi, ila sina siasa za kuabudu watu. Ni hivi muda wa Mbowe umefikia tamati. Tuna uwezo wa kutosha kutofautisha propaganda za ccm na ukweli ni upi, usidhani kila mtu anatekwa na propaganda mfu za ccm kwamba Mbowe atoke madarakani. Tuna sababu za msingi kuhusu muda wa Mbowe kukaa madarakani kufikia tamati.
Hata iweje mbowe 5 tenaUtaupima ujinga wako baada ya tarehe 24.11.2019 kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa na baadae ujione zuzu kwenye uchaguzi mkuu 2020.
Akili fupi haiwezi kuona kesho
Mbona unaumia kizazi?Mafanikio ya chadema na kupaa credit zinatakiwa ziende kwa watu wawili wa Kwanza Ni Dr Slaa wa Pili Lowasa.Wabunge na madiwani wengi waliongezeka wakati wa Dr Slaa na wakaongezeka Sana Lowasa alipohamia Chadema.Mbowe asiparamie sifa zisizo zake
Mbowe 5 tenaMbona unaumia kizazi?
Mbowe aliruhusu fisadi Lowassa kugombea urais kupitia CHADEMA.. hilo sio la kuchukiza?Yanayochukiza kwa rais yeye ndiyo kiongozi WA nchi lakni anaongoza kwa visasi vya kijinga.
U dictator huanzia level ya familia, dictator nyumbani ndie dictator akiwa kiongozi. Huwezi mlinda Mbowe kwa kisingizio kuwa yeye anaongoza Chama maana ni chama ndio kinachoangaliwa kuja kushika dola. Chama kikiwa na viongozi wenye chembechembe za udikteta sio rahisi kuwabadili wakipewa nchi. Kwa kuheshimu matakwa ya demokrasia ni busara Mbowe akaachia ngazi tuu.Sijasema amefikia ukomo, amefikia saturation, hivyo he can take no more than he can. Amefanya mengi, mazuri na makubwa na kufikia optimum, he can not do more than he can.
Kwa vile katiba ya Chadema haina ukomo, Mbowe anaweza tuu kuendelea indefinitely but don't expect anything new. Chadema kuendelea kuwa chama cha kudumu cha upinzani, huku CCM ikiendelea kutawala milele.
P