Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Amina
Mungu mbariki Mbowe
Mungu mbariki Mbowe
Chama cha Mzee Mtei kiko salama mikononi mwa mkwe wake. Na kitaendelea kuwa mikononi mwake mpaka mrithi mwingine apatikane.
Mbowe anaonekana kushindwa kabisa kuhimili vitisho vya kidikteta vya mtawala John Pombe Magufuli. Pia katibu mkuu wake ameonyesha kushindwa kabisa na amebakia kama mzigo ndani ya chama! Ni bora akapisha nguvu mpya yeye pamoja na uongozi wote wa juu.
No matter how good one is, ukifikia point ya saturation unakuwa a saturated solution, you can take no more than you can.
One can be very good and very instrumental ukafanya a lot of good things, lakini akifikia optimum ya uwezo wako, you can do no more good than you did.
Waasisi wa Chadema walioweka kipengele cha ukomo wa uongozi ni vipindi viwili vya miaka 5 mitano, ndani ya katiba ya Chadema, walikuwa na maana yao nzuri tuu, lakini jinsi kipengele hicho kilivyo yeyuka into thin air kwa kunyofolewa kinyemela, leaves much to be desired.
Na ukiizungumzia tuu hoja ya ukomo, wanakushukia kama mwewe!.
![]()
Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
Wanabodi, Uendeshaji wa vyama vya siasa nchini, unaongozwa na sheria, taratibu na kanuni. Ikithibitika pasipo shaka kuwa chama fulani, kinakiuka sheria, taratibu na kanuni, kinapaswa kuwajibishwa, kuadhibiwa hata kufutwa, kutegemeana na tuhuma halisi!. Miongoni mwa masharti ya usajili wa...www.jamiiforums.com
P![]()
GE2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
Wanabodi, Preamble: Chadema ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo jina tuu, ila uendeshaji wake ni wa kidikteta wa hali ya juu!. Katiba yake inavipengele vya kidikteta vinavyokwenda kinyume cha katiba ya nchi!, hii thread ni ya swali tuu, Hivi Chadema ilivyo, bado haijakabidhiwa nchi, inatoa...www.jamiiforums.com
Wizi na umangimeza uliokuwa umeota mizizi CCM ndo uliipa boost CHADEMA na si mbowe .awamu ya tano itawarudisha huko yangu macho
Sababu Ambazo zitamfanya Mbowe aongoze atakavyo ndio sababu zilizo zalisha akina Mugabe, Museven, Kagame nk1. Mkuu narudia tena hakuna kipengele kilichofutwa bali katiba mpya ilikuja na maoni mapya yasiyokua na ukomo wa mihula ya mtu kugombea ingawa kila cheo kinakuwa valid kwa miaka 5 tu sema hauzuiwi kugombea tena uenyekiti kama una sifa na hapa ntaweka katiba usome ili uone sio kwa mwenyekiti wa taifa tu bali position zingine kibao tu ila sielewi kwanini interest ipo kwa Mbowe tu!!
2.Mkuu nimeshasema ukomo ni miaka mitano ila hujazuiwa kugombea tena na tena kama utakidhi vigezo na utashinda uchaguzi. Ukiangalia Mbowe toka ameshika madaraka kila uchaguzi chama kilikua kinaongeza asilimia za ushindi na viongozi ngazi za uchaguzi wa mitaa hadi taifa sasa ulitaka asipitishwe tena?? Kiufupi hakuna mwenyekiti wa chama chochote Tanzania ambaye chama chake kinaongezeka kura kila uchaguzi kama CHADEMA chini ya Mbowe so alichaguliwa based on merits sio upendeleo.
3. Huwezi tawala milele sababu kuna uchaguzi kila baada ya miaka 5. Unajua hata haya madikteta ya Afrika kama kagame na museveni hawapo madarakani eti sababu wameondoa vikomo vya Urais bali wapo sababu hakuna uchaguzi huru na haki hivyo kama ukiwepo uchaguzi huru hta mbowe asipotaka kutoka ataondolewa kwa Sanduku rejea kilichotokea kwa Yahya Jammeh na Issa Hayatou na unieleze Je ukomo wa madaraka au uchaguzi huru na haki upi ndio demokrasia haswa?
Uongozi wowote ule wa kidiktata, kisultani duniani huanza na kucheza na ukomo wa uongozi, Iwe mihula au miakaallantence hoja zangu na za zitto junior havitofautini sana.
Nasisitiza tena kwamba hakuna mtu anayekatazwa kugombea Uenyekiti ndani ya CHADEMA na kama wewe unaona yupo anayefaa mpendekeze!!
- Hakuna anayekatazwa kugombea Uenyekiti ndani ya CHADEMA
- Ukomo wa muda wa uongozi upo ndani ya CHADEMA
- Mbowe hazuii wengine kugombea
- Uchaguzi huru na wa haki ndiyo kigezo kikuu cha Demokrasia kwenye siasa
- Ukomo wa uongozi pekee siyo kiashiria cha demokrasia ndani ya taasisi
Sababu Ambazo zitamfanya Mbowe aongoze atakavyo ndio sababu zilizo zalisha akina Mugabe, Museven, Kagame nk
Katiba ya awali ilitoa ukomo
Katiba ya sasa haina ukomo......period
Usirembe maneno eti imekaa kimya. ....
Wapi nimesema walikuwa wabunge wa Chadema .Read between the lines.Mutungilehi, Cheyo, Dan Makanga hawajawahi kuwa wabunge wa chadema
Nachosema ni kwamba uchaguzi ukiwa huru na haki basi mbowe hawezi tawala mileleSo unaamini kuwa hata chamani hakuna uchaguzi huru na wa haki si ndio, maana Mbowe na hao ni same story different versions but all are true. Wengine n nchi na mwingne ni chama ila utaratbu n ule ule na njia n ileile.
Mkuu hao kina museveni wapo pale sio sababu hakuna ukomo bali chaguzi zao sio huru na haki!! Ila chaguzi zikiwa huru kama Ya kule Gambia mbona Yahya Jammeh aling'olewa ingawa naye hakua na ukomo??Sababu Ambazo zitamfanya Mbowe aongoze atakavyo ndio sababu zilizo zalisha akina Mugabe, Museven, Kagame nk
Katiba ya awali ilitoa ukomo
Katiba ya sasa haina ukomo......period
Usirembe maneno eti imekaa kimya. ....
Mkuu get it right kina museveni hakuna chaguzi huru na haki ndio maana wapo madarakani sio eti kisa hawana ukomo!!Na nilichowaambia hapo kwamba walichofanya kina m7 na Kagame na anachofanya Mbowe n same story different versions but all are true.
Walianza na katiba na then wamekataa kutoka, sasa zito anasema maoni mapya hayakujadili kipengele hicho, nikauliza wanachama walipelekewa maoni ama walitoa maoni?
Kama walipelekewa Nani alitoa maoni hayo na hilo oni akaamua kuifanya liwe hivyo na akilifuta la zamani?
Kama waliatoa maoni wenyewe je waliamua kuupuuza ukomo na kuuweka ukomo kiini macho?
Je kwa mantiki hiyo Mh Raisi akiamua kufanya hivyo na akapitia njia hiyo hiyo hawa CHADEMA watapata wapi ujasiri wa kupinga .?
Haahaa yaleyale ya ccm hakuna mwanachama mwingine kuchukua fomu kugombea isipokuwa magu.chadema wanawavunja moyo sana wapenda demokrasia...Apumzike!Tundu lissu achukue nafasi hiyo.
Akiendelea kugombea atakuwa na tofauti gani na Mugabe?
Ruhusuni demokrasia ichukue nafasi yake,
Jisemee nafsi yako na acha kuisemea asilimia 99 ya sisi wanachama ambayo hutujui tunamtaka nani
Ulitaka kiwe mikononi mwa Bashite kama ccm?
haahaa kwa kura za maruhani? Zile za huyuhuyu na hapana mwingine stail ya ccm...Demokrasia inafuatwa barabara na Katiba Inaheshimiwa.Mbowe hajichagui bali anachaguliwa na wanachama na washindani wake wanakiri kushindwa
Mkuu hao wote watatu wamepoa sana, kiujumla wameishiwa pumzi.mbowe polis wanakamata wanachama wake nchi nzima wako kimya tu...Mbowe hakika anafaa kuendelea ila katibu mkuu wake hapana kapoa sana kama maji ya mtungi katibu awe John Mnyika
Nakubaliana na we mkuu ukiona mtu anatamani mh Mbowe aondoke kwenye nafasi aliyo nayo kwa sasa ndani ya cdm huyo siyo mwana cdm bali ni mamluki na oandikizi la ccm
Hapo uliposema Mbowe huwashinda wenzake nimecheka sana.Mbowe huwa anawashinda akina nani?allantence kwanza elewa mifumo ya uandishi wa Katiba. Alichosema zitto junior ni kwamba katiba iliyoletwa kwa wanachama ni toleo jipya lililoacha mambo mengi na kuingiza mambo mengi na siyo kipengele kimoja pekee kilichoachwa.
Ujerumani hawana ukomo wa muda wa Kansela kukaa madarakani lakini Marekani wanacho. Maa yake ni kwamba ukomo wa uongozi huwa una sababu zake.
Mwalimu Nyerere yeye alikaa Ikulu miaka 23 lakini alipotoka aliacha Katiba yenye ukomo wa Muda wa vipindi viwili vya miaka mitano mitano. Hoja yake ndiyo hoja ya watu wengi Afrika, kwamba watawala wa Afrika huwa hawaachii dola kirahisi kwa hiyari yao.
Kwenye CHADEMA siyo kwamba Uchaguzi haufanyiki ama wengine huzuiwa kugombea, bali Mbowe huwashinda anaoshindana nao. Hiyo ni Demokrasia na kama wengine wengekuwa wanazuiwa kugombea ili agombee Mbowe peke yake hapo ndipo ingekuwa kosa.
Miaka 3 iliyopita watu waliokwenda kumshawishi Lissu agombee uenyekiti kwa hoja ya Mbowe kukaa muda mrefu madarakani walishangazwa na majibu ya LIssu. Lissu aliwaambia kuelekea 2020 CHADEMA inamhitaji Mbowe kuliko wakati mwingine wowote ule.
Kuongoza nchi na chama ni vitu viwili tofauti. Kuna wana CCM eti wanasema kama Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA basi na Magufuli naye aendelee kuwa madarakani mpaka achoke.
Suala hapa si kukaa madarakani bali hayo madaraka yanapatikanaje??