Hatma ya Freeman Mbowe CHADEMA

Hatma ya Freeman Mbowe CHADEMA

Hakika sisi tuliokuwepo wakati ,wakati ambao chadema haikuweza kumsimamisha mgombea wa urais tunatambua jasho na damu aliyojitolea Mbowe kuijenga chadema na hata kulijenga taifa.Sikumbuki mwaka lakini nakumbuka kulikuwa na mkutano jangwani,wabunge wote wa kuchaguliwa walikuwepo pale na idadi yao ilikuwa wabunge wa tano tuu na Mbowe akiwepo,walilalamikia uchache wao na jinsi unavyowatesa bungeni.Nikiangalia leo kati ya wabunge hao watano wengine ni marehemu lakini baadhi yao wamekufa wakiwa tayari wamerudi ccm kutetea mkate wao na wengine wamepotea mfano Mheshimiwa.Mtungirehi.Aman Warudi Kabourou aliaga dunia akiwa ccm na hata kuwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa Kigoma.Issac Cheyo na na yule mwingine wa Bariad walirudi ccm na hata kupewa ukuu wa wilaya.Mbowe amebaki imara hadi leo.Hakika Mbowe na Chuma cha mjerumani na ni sauti ya zege kama alivyojitambulisha siku ile.Hakika Mbowe ni kiongozi shupavu .

Succession Plan ya Mbowe ipoje? Ameandaaa wa kumrithi? au anahisi bila yake hakuna wa kuindeleza CDM? Kama ni hivyo ina maana basi si kiongozi wa kupigiwa mfano, maana ameshindwa kuindeleza CDM baada yake.
 
No matter how good one is, ukifikia point ya saturation unakuwa a saturated solution, you can take no more than you can.

One can be very good and very instrumental ukafanya a lot of good things, lakini akifikia optimum ya uwezo wako, you can do no more good than you did.

Waasisi wa Chadema walioweka kipengele cha ukomo wa uongozi ni vipindi viwili vya miaka 5 mitano, ndani ya katiba ya Chadema, walikuwa na maana yao nzuri tuu, lakini jinsi kipengele hicho kilivyo yeyuka into thin air kwa kunyofolewa kinyemela, leaves much to be desired.

Na ukiizungumzia tuu hoja ya ukomo, wanakushukia kama mwewe!.

P

mwishoe atakosa sifa nzuri ya Uongozi kama Marais Dikteta waliopinduliwa
 
Katiba ya chama imeondoa ukomo wa uongozi. Hii haina afya sana. Chama kama kina wanachama dhaifu na wasioweza kumchallenge kiongozi aliyepo madarakani, kuna hatari ya kuzaa kiongozi wa maisha. Kama Nchi tuepuke kabisa na hii minong'ono ya kutaka kufanya amendmenet ya Katiba na kuondoa muda wa ukomo wa Urais au kusogeza kutoka 5 to 7 per one term.
 
Mleta mada hana tofauti yoyote kiitikadi na mtazamo na watu kama akina Juma Nkamia wanao amini hakuna kiongozi anayefaa kwa sasa kama aliyepo, na hakuna sababu za kuondoka hivyo ahalalishwe kiujanja janja kikatiba kwa kuondoa ukomo
Afrika kumshinda aliyeko madarakani ni mtihani mkubwa

Matatizo makubwa ya nchi zetu za ki Afrika ni kupenda kulalamika hakuna demokrasia wakati mlalamikaji mwenyewe haonyeshi kama anaiheshimu demokrasia

Viongozi wengi madikta wa afrika wanapambana na viongozi madkteta wapinzani ndani ya himaya zao

Leo hii Kagame na wafuasi wake wanaamini Rwanda bila kagame haiwezekani
Museven wale wale tu , na wameiga toka kwa viongozi wengine kama akina Mugabe

Ukija upande wa wapinzani nako ni yale yale tu, hawataki challenge ya demokrasia ndani ya vyama vyao ila wanataka demokrasia iwebebe wao tu kwenye chaguzi
Miaka nenda miaka rudi utawasikia Odinga, Besegye nk

Kama 90% ya wana Chadema wanaona hakuna kiongozi anaweza kuongoza chama zaidi ya Mbowe kwa mema aliyofanya so far hadi kufikia kumuhalalisha kikatiba kuondoa ukomo.
Kutakua na ajabu gani kwa wengine kuona hakuna rais anayeweza kuongoza nchi zaidi ya Magufuli na wakaamua kumhalalisha kikatiba?

Kama unaamini katika demokrasia basi ioneshe kwa vitendo kuanzia upande wako
 
Mbowe Tano Tena
 
Hakika sisi tuliokuwepo wakati ,wakati ambao chadema haikuweza kumsimamisha mgombea wa urais tunatambua jasho na damu aliyojitolea Mbowe kuijenga chadema na hata kulijenga taifa.Sikumbuki mwaka lakini nakumbuka kulikuwa na mkutano jangwani,wabunge wote wa kuchaguliwa walikuwepo pale na idadi yao ilikuwa wabunge wa tano tuu na Mbowe akiwepo,walilalamikia uchache wao na jinsi unavyowatesa bungeni.Nikiangalia leo kati ya wabunge hao watano wengine ni marehemu lakini baadhi yao wamekufa wakiwa tayari wamerudi ccm kutetea mkate wao na wengine wamepotea mfano Mheshimiwa.Mtungirehi.Aman Warudi Kabourou aliaga dunia akiwa ccm na hata kuwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa Kigoma.Issac Cheyo na na yule mwingine wa Bariad walirudi ccm na hata kupewa ukuu wa wilaya.Mbowe amebaki imara hadi leo.Hakika Mbowe na Chuma cha mjerumani na ni sauti ya zege kama alivyojitambulisha siku ile.Hakika Mbowe ni kiongozi shupavu .
Mutungilehi, Cheyo, Dan Makanga hawajawahi kuwa wabunge wa chadema
 
Succession Plan ya Mbowe ipoje? Ameandaaa wa kumrithi? au anahisi bila yake hakuna wa kuindeleza CDM? Kama ni hivyo ina maana basi si kiongozi wa kupigiwa mfano, maana ameshindwa kuindeleza CDM baada yake.
Blah Blah
 
Wakati Freeman Aikaeli Mbowe⁩ anachukua nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa kutoka kwa mzee Bob Nyanga Makani, alikuta kuna Wabunge wa 5 na Madiwani wasiozidi 75 nchi nzima. Wabunge wasioweza hata kujaza sebule yenu hapo.

Leo tukielekea kwenye uchaguzi mkuu mwingine wa ndani wa CHADEMA, Mwezi Desemba, 2019 CHADEMA kuna Wabunge zaidi ya 65 madiwani zadi ya 1500 nchi yote, halmashauri za kutosha na wanaunda kambi ya upinzani bungeni (KUB)

Hivyo ni vyema wewe "kijana - baro baro" wa leo mwenye kuendeshwa na "mihemko" kutambua haya mafaniko makubwa kabla ya kusema "Mbowe ameiua CHADEMA", inawezekana hujui hata CHADEMA imefikaje hapa ilipo leo, sio miujiza, ni STRATEGIES!

Kuna Vijana wa leo, labda kwa mihemko na juhudi za kutumika hawajui nguvu iliyotumika, jasho lililomwagika hadi kuifanya leo CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani. Wanadhani ni kitu rahisi kama kucheza 'BIKO na TATU MZUKA'

Hatusemi kwamba Freeman Mbowe ni malaika, kwamba hakuna dosari na makosa kwenye uongozi wake, hapana, isipokuwa jasho, damu na machozi yake yamemwagika kwa ajili ya CHADEMA, tuhuma zenu zinapaswa kuwa 'Valid' wakati wa kumkosoa, tuhuma za JINAI zithibitishwe!

Freeman Aikaeli Mbowe ni mwenyekiti halali wa CHADEMA, na ataondoka madarakani siku wanachama wa CHADEMA wakisema "imetosha" kupitia mkutano mkuu, sio kwa sababu "Kuna kelele za CCM na mapandikizi" huko nje za "Mbowe ondoka! Mbowe ondoka!"

Mzee Bob Makani alikuwa na kadi namba Tatu ya CHADEMA, kadi namba Mbili ilikuwa ya Mzee Brown Ngilulupi na kadi namba moja ya Mzee Edwin Mtei, hawakukosea kamwe kumuona Freeman Mbowe na kumkabidhi CHADEMA ambayo ameifanya kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania.

Mwisho, kimsingi, CHADEMA imebarikiwa kuwa na mwenyekiti kama Freeman Mbowe, wengine tuliopata fursa ya kufanya nae kazi au kukutana nae, tunajivunia sana, he's a man and a-half!

Stay blessed Chairman!

Mbowe Tano Tena Uchaguzi Mkuu 2019
Hivi wewe, Nkamia na Mkulima ni ndugu?
 
Ni kweli kabisa kwamba Demokrasia ni maamuzi ya watu na miongoni mwa maamuzi hayo ni utunzi wa Katiba. Katiba haidondoki toka mbinguni bali hutungwa na watu kwa kuangalia matakwa yao na ya vizazi vijavyo.

Kama kuna uchaguzi huru na ufanyaji siasa ulio sawa hata urais si lazima uwekewe ukomo, lakini tatizo siasa zetu haziendeshwi kwa usawa wala haki na usipoweka ukomo bila ya shaka tutajenga Usultani.

Mwalimu aliwahi kusema kwamba Demokrasia isipofuatwa inawezekana msiwe na usultani wa kifamilia lakini mkawa na Usultani wa chama. CCM inataka iwe Sultani wa Tanzania kupitia visingizio vingi na vingi kati yake huwa ni vya kijinga sana.
Mfano mdogo tu aangalie Cancellor wa Ujerumani na PM wa Israel
 
Thanks for much respect, hata mimi bado naikumbuka ile ban yangu ya kwanza na probably ya mwisho, ulionisababishia tena kwa kunisingizia, japo nimeisha forgive but not forget, ila nakuheshimu sana, na wapenda demokrasia wote wa kweli hata walioko ndani ya CCM, wanapenda kuona nchi yetu inakuwa na strong na credible opposition, na Chadema was the only hope kwa Tanzania bara, lakini haya maroroso yenu, yanawakatisha sana tamaa walio wengi, msipokubali kubadilika, 2020 you're going to be reduced to nothing!.

Ni kweli Kamanda kafanya mengi makubwa, lakini amefikia optimum performance ya uwezo wake, he can not do anything more than what he can.
P
Nashindwa kukubali au kukanusha dai/hoja kwamba CHADEMA imefika hapo ilipo (Chama Kikuu cha Upinzani) kwa juhudi au mikakati ya Mbowe kwa kuwa waleta dai/hoja hiyo hawabainishi juhudi/mikakati hiyo ni ipi.

Yote tisa yawe kweli, moja tu la kumi tukubali kila binadamu ana ukomo wake wa kufanya/kutenda kwa kiwango cha juu. Kwa sababu ya mapungufu hayo ya kibinadamu na mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia, ni dhahiri kwamba Katiba nyingi huweka ukomo wa uongozi.

Isitoshe hata kiuhalisia hakuna binadamu anayejitosheleza.
 
Mkuu asante Sana kwa elimu hii adimu,
1 .kwanza unakubali kuwa kipengele hicho ambacho n cha muhimu kilitolewa , umesema Namba mbili hapo haikuwepo kwenye maoni ya wanachama au haikuletwa kwa wanachama ili waitolee maoni?
2 . Kwa maana hiyo CHADEMA hakuna ukomo wa kuchaguliwa uongozi kwa miaka dahari ili mradi tu awe ametakiwa na wanachama?
3 . Hapo ndipo kwa muhimu kutokuwepo ukomo simply ni utawale milele maana kama ukiweka ukomo wa kuchaguliwa uongozi n miaka kumi halafu ukaweka ukabadili kuwa iwe hamna ukomo ukitaka tena gombea , huoni kama inaweka nafasi ya udikteta na kutawala ama kuongoza chama milele?
Kwa upande wa ccm inafahamika mwenyekiti wa chama n Raisi wa nchi, na hakuna kuchukua fomu ila wanademokrasia yao ya kupitisha kwa Kura kama anafaa au hafai hapo wanaonesha demokrasia yao.
1. Mkuu narudia tena hakuna kipengele kilichofutwa bali katiba mpya ilikuja na maoni mapya yasiyokua na ukomo wa mihula ya mtu kugombea ingawa kila cheo kinakuwa valid kwa miaka 5 tu sema hauzuiwi kugombea tena uenyekiti kama una sifa na hapa ntaweka katiba usome ili uone sio kwa mwenyekiti wa taifa tu bali position zingine kibao tu ila sielewi kwanini interest ipo kwa Mbowe tu!!

2.Mkuu nimeshasema ukomo ni miaka mitano ila hujazuiwa kugombea tena na tena kama utakidhi vigezo na utashinda uchaguzi. Ukiangalia Mbowe toka ameshika madaraka kila uchaguzi chama kilikua kinaongeza asilimia za ushindi na viongozi ngazi za uchaguzi wa mitaa hadi taifa sasa ulitaka asipitishwe tena?? Kiufupi hakuna mwenyekiti wa chama chochote Tanzania ambaye chama chake kinaongezeka kura kila uchaguzi kama CHADEMA chini ya Mbowe so alichaguliwa based on merits sio upendeleo.
3. Huwezi tawala milele sababu kuna uchaguzi kila baada ya miaka 5. Unajua hata haya madikteta ya Afrika kama kagame na museveni hawapo madarakani eti sababu wameondoa vikomo vya Urais bali wapo sababu hakuna uchaguzi huru na haki hivyo kama ukiwepo uchaguzi huru hta mbowe asipotaka kutoka ataondolewa kwa Sanduku rejea kilichotokea kwa Yahya Jammeh na Issa Hayatou na unieleze Je ukomo wa madaraka au uchaguzi huru na haki upi ndio demokrasia haswa?
 
Ni kweli kabisa kwamba Demokrasia ni maamuzi ya watu na miongoni mwa maamuzi hayo ni utunzi wa Katiba. Katiba haidondoki toka mbinguni bali hutungwa na watu kwa kuangalia matakwa yao na ya vizazi vijavyo.

Kama kuna uchaguzi huru na ufanyaji siasa ulio sawa hata urais si lazima uwekewe ukomo, lakini tatizo siasa zetu haziendeshwi kwa usawa wala haki na usipoweka ukomo bila ya shaka tutajenga Usultani.

Mwalimu aliwahi kusema kwamba Demokrasia isipofuatwa inawezekana msiwe na usultani wa kifamilia lakini mkawa na Usultani wa chama. CCM inataka iwe Sultani wa Tanzania kupitia visingizio vingi na vingi kati yake huwa ni vya kijinga sana.
Na Mbowe anajitengeneza kuwa Sultan, siasa za Kiafrika Hovyo sana
 
Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekti wa Chadema kwa kuwa ana mpango wa kuungana na Wahaini wa Visiwan pamoja na Mbembe mmoja toka Ujiji Kigoma ili kumvunja moyo Rais wetu kukomboa Nchi
KWA NINI WATUITA WAHAINI SISI WATU WA VISIWANI?
WEWE KAMA NI MPENZI WA CCM ,SHAURI LAKO LAKINI NA SISI TUNAYO HAKI YA KUPENDA VYAMA VYETU TUNAVYOAMINI VITATULETEA MATUMAINI NA UHURU KAMILI WAZANZIBAR,KWANI CCM IMETUSALITI NA KUTUGEUZA KOLONI.
SHUT UP YOUR.................LIPS AND WATCH
UKAWA UNACHUKUWA NCHI MWAKA HUU ,CCM HAINA MANUSURA.ENDELEENI KUGOMBANA WENYEWE KWA WENYEWE ,TAIFA MUMELITIA NJAA KALI KWA RAIA.
 
Mleta mada hana tofauti yoyote kiitikadi na mtazamo na watu kama akina Juma Nkamia wanao amini hakuna kiongozi anayefaa kwa sasa kama aliyepo, na hakuna sababu za kuondoka hivyo ahalalishwe kiujanja janja kikatiba kwa kuondoa ukomo
Afrika kumshinda aliyeko madarakani ni mtihani mkubwa

Matatizo makubwa ya nchi zetu za ki Afrika ni kupenda kulalamika hakuna demokrasia wakati mlalamikaji mwenyewe haonyeshi kama anaiheshimu demokrasia

Viongozi wengi madikta wa afrika wanapambana na viongozi madkteta wapinzani ndani ya himaya zao

Leo hii Kagame na wafuasi wake wanaamini Rwanda bila kagame haiwezekani
Museven wale wale tu , na wameiga toka kwa viongozi wengine kama akina Mugabe

Ukija upande wa wapinzani nako ni yale yale tu, hawataki challenge ya demokrasia ndani ya vyama vyao ila wanataka demokrasia iwebebe wao tu kwenye chaguzi
Miaka nenda miaka rudi utawasikia Odinga, Besegye nk

Kama 90% ya wana Chadema wanaona hakuna kiongozi anaweza kuongoza chama zaidi ya Mbowe kwa mema aliyofanya so far hadi kufikia kumuhalalisha kikatiba kuondoa ukomo.
Kutakua na ajabu gani kwa wengine kuona hakuna rais anayeweza kuongoza nchi zaidi ya Magufuli na wakaamua kumhalalisha kikatiba?

Kama unaamini katika demokrasia basi ioneshe kwa vitendo kuanzia upande wako
Nakuunga mkono Mia kwa Mia
 
1. Mkuu narudia tena hakuna kipengele kilichofutwa bali katiba mpya ilikuja na maoni mapya yasiyokua na ukomo wa mihula ya mtu kugombea ingawa kila cheo kinakuwa valid kwa miaka 5 tu sema hauzuiwi kugombea tena uenyekiti kama una sifa na hapa ntaweka katiba usome ili uone sio kwa mwenyekiti wa taifa tu bali position zingine kibao tu ila sielewi kwanini interest ipo kwa Mbowe tu!!

Mkuu zitto hapo unaposema maoni mapya ndio nimeuliza je maoni mapya hayo yaliletwa na wananchi ama wananchi waliletewa wajadili? Ipo kwa Mbowe kwa sababu iliweka kwa ajili yake unadhan interest ipi ni kubwa kuwa mwenyekiti wa tawi ama taifa kwa muundo huo? So wengine kwao haina faida .

2.Mkuu nimeshasema ukomo ni miaka mitano ila hujazuiwa kugombea tena na tena kama utakidhi vigezo na utashinda uchaguzi. Ukiangalia Mbowe toka ameshika madaraka kila uchaguzi chama kilikua kinaongeza asilimia za ushindi na viongozi ngazi za uchaguzi wa mitaa hadi taifa sasa ulitaka asipitishwe tena?? Kiufupi hakuna mwenyekiti wa chama chochote Tanzania ambaye chama chake kinaongezeka kura kila uchaguzi kama CHADEMA chini ya Mbowe so alichaguliwa based on merits sio upendeleo.

Mkuu kwa hiyo kwa mantiki hiyo na kwa mtazamo wako alistahili kupata kwa sababu kila mwaka amekuwa akiperfom vyema usimamiz na undeshaj wa chama , sasa je tunakaribia uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani , chama kikidondoka utakua tayari kumpiga chini?

3. Huwezi tawala milele sababu kuna uchaguzi kila baada ya miaka 5. Unajua hata haya madikteta ya Afrika kama kagame na museveni hawapo madarakani eti sababu wameondoa vikomo vya Urais bali wapo sababu hakuna uchaguzi huru na haki hivyo kama ukiwepo uchaguzi huru hta mbowe asipotaka kutoka ataondolewa kwa Sanduku rejea kilichotokea kwa Yahya Jammeh na Issa Hayatou na unieleze Je ukomo wa madaraka au uchaguzi huru na haki upi ndio demokrasia haswa?

So unaamini kuwa hata chamani hakuna uchaguzi huru na wa haki si ndio, maana Mbowe na hao ni same story different versions but all are true. Wengine n nchi na mwingne ni chama ila utaratbu n ule ule na njia n ileile.
 
Back
Top Bottom