The Wakanda Panth3r
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 260
- 205
"mrithi" ?Chama cha Mzee Mtei kiko salama mikononi mwa mkwe wake. Na kitaendelea kuwa mikononi mwake mpaka mrithi mwingine apatikane.
"mrithi" ?Chama cha Mzee Mtei kiko salama mikononi mwa mkwe wake. Na kitaendelea kuwa mikononi mwake mpaka mrithi mwingine apatikane.
Km kweli unaipenda chadema mwenyeki ajaye ni Tundu Lissu, na inatakiwa akawe mwenyekiti kabla hajurudi Tz, Mbowe ameshafanya inatoshaMbona haikuwaboost UMD,NRA au TLP??
Hujjtambui ndiyo shida yakoUna tofauti gani na Musiba, Nkamia, Mkulima.
Mbowe anabakia kwenye uenyekiti kwa mbinu zile zile alizotumia Mugabe, Museven, Kagame, Nkurunziza na huyu wa kwetu ana hivyo vidalili dalili.
Wanaochagua ni wanachama na siyo blah blah za mitandaoni.Lissu ni Rsis Ajaye na Mbowe ni Mwenyekiti wetuKm kweli unaipenda chadema mwenyeki ajaye ni Tundu Lissu, na inatakiwa akawe mwenyekiti kabla hajurudi Tz, Mbowe ameshafanya inatosha
Mbowe Tano TenaMada nyingine inachekeshq
Kwamba una pitisha Hoja kwamba Mbowe awe Mwenyekiti milele
Hatukatai hilo
Awe mwenyekiti wa vibendera milele
Ila kuiongoza nchi hii
Mtaishia kusikia na kutazama milele wakitawala wanao jitambua
Kikimfia wewe kinakuuma nini?Ili aendelee kuenziwa na kusifiwa na wanachama, huu ni wakati mzuri zaidi wa yeye kuachia usukani ili chama kisije mfia na lawama tele.
Mcheza ngoma hata awe mahiri vipi, lazima ajue muda wa kuacha kucheza na kupisha wenzake.
Wagombea wenzake.Wewe unadhani anagombea na kivuli kama nyie?Hapo uliposema Mbowe huwashinda wenzake nimecheka sana.Mbowe huwa anawashinda akina nani?
Hujjtambui ndiyo shida yako
Damu mpya kama kina Waitara?Kuna ukweli kwamba mbowe kafanya mazuri chadema, lakini chondechonde walio karibu na mbowe wamshauri asigombee Mwaka huu.chadema inahitaji kupata damu mpya na nguvu mpya.Ni vizuri wakakaribishwa wanachama wengine wagombee tena kwa kushindanishwa. Nje ya hapo demokrasia mashakani
Pole sana.Kama Chadema ndio ina wafuasi wajinga wajinga kama wewe CCM itaongoza hadi chama kingine cha Upinzani chenye wafuasi wenye kujitambua kitakapozaliwa.
Mbowe kuachia madaraka ni sasa or never, ataishia kama Mugabe, ataishia kama atakavyoishia Museven, ataishia kama atakavyoishia Nkurunziza, ataishia kama atakavyoishia Kagame, ataishia kama atakavyoishia huyu wa kwetu ikiwa ataendelea na harakati zake za kilaghai(kutumia mamlaka na ulaghai kujiongezea muda wa kubakia mamlakani)
Mwisho wenye aibu, mwisho usiokuwa na heshima.
Nyie watu mnapenda kukaririshwa sana. Kwani unadhani Mbowe huwa anagombea peke yake kama ilivyo kwenye chama chenu? Hujaona matokeo niliyoweka ya uchaguzi wa mwaka 2014.Hapo uliposema Mbowe huwashinda wenzake nimecheka sana.Mbowe huwa anawashinda akina nani?
Sio kweli. Udikteta huanza kwa kutokuheshimu katiba na vyombo vitokanavyo na Katiba. Hitler na Musolini waliondoa ukomo wa muda ndio wakawa madikteta?Uongozi wowote ule wa kidiktata, kisultani duniani huanza na kucheza na ukomo wa uongozi, Iwe mihula au miaka
Wewe unadhani wanachama wangefanya nini? Yaani ulitaka wavamie vituo vya Polisi?Mkuu hao wote watatu wamepoa sana, kiujumla wameishiwa pumzi.mbowe polis wanakamata wanachama wake nchi nzima wako kimya tu...
Habari yako imekuwa attributted na mafanikio ya Mbowe ndani ya CHADEMA. Timu hiyo ya wabunge umeitaja kama orodha ya wabunge waliokuwepo kabla ya juhudi za mbowe kuongeza wabunge.Wapi nimesema walikuwa wabunge wa Chadema .Read between the lines.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu Rais MAGUFULI anafanya kazi nzuri ni vyema tukaondoa kikomo aendelee mpaka watanzania tutakaposema sasa basi.....#JPM2020KaziIendelee #JPMForLifeKaziIendeleeWakati Freeman Aikaeli Mbowe anachukua nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa kutoka kwa mzee Bob Nyanga Makani, alikuta kuna Wabunge wa 5 na Madiwani wasiozidi 75 nchi nzima. Wabunge wasioweza hata kujaza sebule yenu hapo.
Leo tukielekea kwenye uchaguzi mkuu mwingine wa ndani wa CHADEMA, Mwezi Desemba, 2019 CHADEMA kuna Wabunge zaidi ya 65 madiwani zadi ya 1500 nchi yote, halmashauri za kutosha na wanaunda kambi ya upinzani bungeni (KUB)
Hivyo ni vyema wewe "kijana - baro baro" wa leo mwenye kuendeshwa na "mihemko" kutambua haya mafaniko makubwa kabla ya kusema "Mbowe ameiua CHADEMA", inawezekana hujui hata CHADEMA imefikaje hapa ilipo leo, sio miujiza, ni STRATEGIES!
Kuna Vijana wa leo, labda kwa mihemko na juhudi za kutumika hawajui nguvu iliyotumika, jasho lililomwagika hadi kuifanya leo CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani. Wanadhani ni kitu rahisi kama kucheza 'BIKO na TATU MZUKA'
Hatusemi kwamba Freeman Mbowe ni malaika, kwamba hakuna dosari na makosa kwenye uongozi wake, hapana, isipokuwa jasho, damu na machozi yake yamemwagika kwa ajili ya CHADEMA, tuhuma zenu zinapaswa kuwa 'Valid' wakati wa kumkosoa, tuhuma za JINAI zithibitishwe!
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwenyekiti halali wa CHADEMA, na ataondoka madarakani siku wanachama wa CHADEMA wakisema "imetosha" kupitia mkutano mkuu, sio kwa sababu "Kuna kelele za CCM na mapandikizi" huko nje za "Mbowe ondoka! Mbowe ondoka!"
Mzee Bob Makani alikuwa na kadi namba Tatu ya CHADEMA, kadi namba Mbili ilikuwa ya Mzee Brown Ngilulupi na kadi namba moja ya Mzee Edwin Mtei, hawakukosea kamwe kumuona Freeman Mbowe na kumkabidhi CHADEMA ambayo ameifanya kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania.
Mwisho, kimsingi, CHADEMA imebarikiwa kuwa na mwenyekiti kama Freeman Mbowe, wengine tuliopata fursa ya kufanya nae kazi au kukutana nae, tunajivunia sana, he's a man and a-half!
Stay blessed Chairman!
Mbowe Tano Tena Uchaguzi Mkuu 2019
Naongelea mkutano wa jangwani uliohusisha wabunge wote wa upinzani kutoka vyama vya upinzani vilivyokuwepo wakati ule.Nilionesha pia ,waliokuwa kambi moja na Mbowe walivyochoka na kuhamia ccm wakapewa vyeo ama ccm au serikalini lakini Mbowe akabaki imara hadi leo.Wapi alipo Danhi Makanga? Hoja yangu kubwa ni jinsi Mbowe alivyopambana kishupavu na kufika hapa alipofika.Sijafungwa na mipaka ya vyama bali maslahi na mafanikio ya umma wa Watanzania.Habari yako imekuwa attributted na mafanikio ya Mbowe ndani ya CHADEMA. Timu hiyo ya wabunge umeitaja kama orodha ya wabunge waliokuwepo kabla ya juhudi za mbowe kuongeza wabunge.
Wanachadema wanatakiwa waamue siyo Mbowe wala walionje ya Chadema kuamua.Succession Plan ya Mbowe ipoje? Ameandaaa wa kumrithi? au anahisi bila yake hakuna wa kuindeleza CDM? Kama ni hivyo ina maana basi si kiongozi wa kupigiwa mfano, maana ameshindwa kuindeleza CDM baada yake.
Mbowe ni Shujaa wa mageuzi TanzaniaNaongelea mkutano wa jangwani uliohusisha wabunge wote wa upinzani kutoka vyama vya upinzani vilivyokuwepo wakati ule.Nilionesha pia ,waliokuwa kambi moja na Mbowe walivyochoka na kuhamia ccm wakapewa vyeo ama ccm au serikalini lakini Mbowe akabaki imara hadi leo.Wapi alipo Danhi Makanga? Hoja yangu kubwa ni jinsi Mbowe alivyopambana kishupavu na kufika hapa alipofika.Sijafungwa na mipaka ya vyama bali maslahi na mafanikio ya umma wa Watanzania.
Kuchagua ni kuamua.Wanachadema wameamua kusimama na Freeman MboweWanachadema wanatakiwa waamue siyo Mbowe wala walionje ya Chadema kuamua.