Hatma ya Freeman Mbowe CHADEMA

Punguza mihemko kamanda, mbona hamtaki kuhojiwa nyie? Mnapenda kuwahoji CCM tu,kwani nyie mna kadi za CCM?

Tuna National ID, tunahoji mambo ya kitaifa siyo upuuzi wenu huko Lumumba wa kuombana misamaha feki
 
Ni uongozi uliotukuka wa Mh. Mbowe. Congratulations!!

Bado CDM inakuhitaji.
 
Unajua shida ya humu JF wengi wenu hamna facts mnakuja na hisia..... Ww hta nkikuuliza vipengele vingapi katiba ya zamani havikuwekwa maoni katiba mpya hata hufahamu ila unaongelea tu sijui ukomo kana kwamba hukuona vipengele vilivyompa mwenyekiti uungu mtu vingi viliachwa kabisa.
Turudishe heshima ya JF kabla ya kuchangia mada ilipaswa utafute katiba zote mbili uchambue ndio ujenge hoja.

Kama wana JF ndio mnajenga hoja kwa hisia hivi na ndio mnaitwa Great Thinkers basi kuitoa CCM sio leo wala kesho.
 
Ha ha haha nina Maslahi mapana na CHADEMA kwakuwa mimi ni mpiga kura!
OK sawa, unakuwa na maslahi na chadema ukikaribia uchaguzi tu. Mbona hatukuoni kwenye harakati za chama kuchukua dola.
 
Tuna National ID, tunahoji mambo ya kitaifa siyo upuuzi wenu huko Lumumba wa kuombana misamaha feki
Kwahiyo na nyie kama chama kikuu cha upinzani hamtaki kuhojiwa, tukiwapa dola si mtakuwa madikteta wa kutupwa nyie?
 
Mimi ni mwanaccm kaka yangu tulieachiana tumbo alikuwa mwenyekiti mkoa wa kanda ya kusini ,baba yangu alikuwa mwana ccm ,ila comment hii nimeiweka kwenye uvungu wa moyo wangu ,umeshauri vyema na vijana hawana adabu wanadhani HIVI vyama ni DARUSO
 
Labda tumuwekee ubongo wa lemutuz ndio tunaweza kumuongezea muda mpka siku presha imtoe roho
Kabisa mkuu ,maana wao chadema wakisema kisa mwenyekiti kafanya hiki na kile na ccm nao wakisema wamwache jpm atawale milele itakuweje?
 
Kitu kinachonishangaza serikali ya CCM ndio inayoamua nani awe kiongozi kwenye vyama vya upinzani na sijui ni kwa maslahi ya nani?
 
Kwa kweli ni kicheko kikubwa sana.Siku wanachama watakapoamua kuchagua Mwenyekiti mwingine watafanya tu na wala hawatasubiri kuambiwa na wanaCCM
Hapo nakubaliana na wewe. Hii habari ya ukomo hata kwenye urais ni moja ya mambo ya hovyo tuliyoletewa na Nyerere sababu tu ya chuki iliyotokana na makosa ya urais wa Mwinyi. Angetusaidia sana kama ingewekwa sheria kumwajibisha rais anapoharibu kuliko kutuachia utitiri wa viongozi wastaafu wahalifu ambao baadhi walistahili kuwa jela.

Unawezaje kuwanyima wananchi kuchagua mtu wanayemtaka kwa kisingizio cha ukomo halafu ukaita hiyo ni demokrasia!
 
katiba ya nchi inaheshimiwa???
 
Kuondolewa kwa ukomo kuandamane na uchaguzi huru na wa haki!
Nipo na wewe hapa. Kwa mfano namna alivyopitishwa lowasa kugombea urais hakukuwa hata na haja ya kuharibu pesa ya chama kuitisha mkutano mkuu ule. Mambo yafanyike kwa uwazi, that is all we need.
 
una mafunza kichwani
waTZ wana udumavu wa kufikiri, yaani unajiuliza mtu huyu ana Ubongo kweli? Dalili zote zimeonekana Chadema watapata wabunge wasiozidi watano kwenye 2020 GE.

Mtu na Mchuzi wake kichwani (ubongo uliojaa maji) anakwambia Mbowe tano tena.
 
Kawaeleze wenzio kumtoa Mbowe CDM siyo kazi rahisi
Mkuu iko hivii? Kupendwa kidemokrasia hutokana na kura za raia. Aanze kwanza na chaguzi zake za ndani ili tutathimini unalolisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…