msani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 1,800
- 1,194
Zitto amemwagiza mwigamba kuwa ahakikishe anamshughulikia Limbu kabla ya mkutano wao na kuhakikisha hakuna mgombea mwingine kwenye ngazi ya mwenyekiti.
Maagizo haya ya zitto yamelalamikiwa na watu wa karibu na mwigamba huku watu wa upande wa Zitto wakisema ni lazima mwenyekiti awe Zitto jambo ambalo hata mwigamba hakulipinga na kusema anashangaa kwanini mashinikizo yanatoka wapi kwani Limbu aliishafukuzwa mapema na sio tishio tena.