Hatma ya ACT Tanzania 25 Machi, 2015

Hatma ya ACT Tanzania 25 Machi, 2015

safi safi safi kabisa kadavi! mtoto alililia wembe
 
Mkuu kesi ni.leo tarehe 24/03/2015 au kesho tareh 25 /03/2015?
 
Limbu ni miongoni mwa watu waliotumwa kuvuruga ACT kwa ufadhili wa chadema
katiba yao inasemaje kuhusu mwanachama anaekipeleka chama mahakamani?
kama ni chadema wamemtuma basi kadavi atashinda maana chadema ni jiko la sheria!! zzk atakuwa ameingia cha kike!:tape2:
 
Mkuu BAK huna habari kwamba ngumi zilishaanza mapema kabla? Habari za uhakika ni kuwa upo mshiko mmoja ulitumwa kwa Katibu mkuu kwa njia ya Mpesa kutoka kwa jamaa "wa mipango" mheshimiwa sana akaona isiwe taabu mie si ndio KM bwana! Basi akalamba zote. Walipo kutana na wenzake mmoja hakukubali ndio yakatokea haya;
View attachment 237284
duh kweli sikuhizi ngumi mkomoni!! act ni wahuni!!
 
Basi hapa Utasikia kuna mkono wa chdm, ahhahhahaha. Siasa za bongo zina vituko balaa. Ishakuwa fashion kwenda mahakamani. Ngoja tuone
 
Trust me, human's stupid decisions were made by Chadema, for they thought this would be ZZK end of his political carrier!

And of course, believe me, that's the end of ZZK, Zitto is a politician who made me get attracted to our politics and I'm sorry for him
 
mnavyoshabikia mabaya yaikute act inaonyesha wazi chama hiki ni tishio kwenu.

ni kwa sababu ni chama mapandikizi ya ccm ukipambana na act uanapambana na ccm si unaona mwenyewe unavyopambana kwa kushinda mitandaoni sijuiunafanya kazi saa ngapi mwenzangu.
 
Since mahakama na sehemu ya serikali ya ccm Limbu has a narrow chance to win na Zitto na kundi lake waliopo kazini kuhakikisha wanaisambaratisha CHADEMA kuendelea kupeta..... Let's keep watching..... Where is my popcorn bag!!

Mkuu siku njema huonekana asubuhi, hata wakishinda ni mapema mno, washatiana najisi hao, hawataaminiana tena !!
 
Prof Safari na Nyaucho iliwachukia myda gani tangu kuhamia CDM na kupewa nyadhifa kubwa na huku waliokijenga chama kwa muda mrefu wakitoswa hata uongozi wa taasisi zake kama BAVICHA?
 
ni kwa sababu ni chama mapandikizi ya ccm ukipambana na act uanapambana na ccm si unaona mwenyewe unavyopambana kwa kushinda mitandaoni sijuiunafanya kazi saa ngapi mwenzangu.

Mwenzio hapo ndio yuko kazini. Anaitumikia elfu saba yake na karidhika na ajira hiyo.
 
mimi sioni kama Zitto Kabwe na Mwigamba wasaliti kwa sababu hakuna walichosaliti bali walikuwa wahujumu, hivyo chadema walifanya vema kubainisha mapungufu yao na hatimaye kutafuta uhalali wa kuwavua uanachama.

kwa sababu Zitto na wenzake wapo chama kingine cha upinzani pasina shaka lengo ni lile lile kuiondoa CCM madarakani, tuache KARMA ichukue nafasi yake wala tusiwe na mioyo enda mbio kuona mabaya kutokea kwa ACT - Wazalendo
 
Rubani Mpya wa ndege ya ACT Tanzania kutoka kigoma, tarehe 25/03/2015 ni lazima aiangushe

11062168_718953828217144_8323928918969601446_n.jpg
 
  • Thanks
Reactions: jme
Back
Top Bottom