Trust me, human's stupid decisions were made by Chadema, for they thought this would be ZZK end of his political carrier!
Irrelevant.
It was so obvious his next move would be ACT, the founder himself.
And he need to get used to be in the court...it's part of the challenges kukuza chama.
Next don't ask for fair game in politics always opponents find the right way to do the wrong thing....if you better enough as he claims to be he need to outsmart them....doesn't matter who did it.
Trust me, human's stupid decisions were made by Chadema, for they thought this would be ZZK end of his political carrier!
CHAMA kipya cha Alliance for Change and
Transparency (ACT-Tanzania) sasa kimetinga
mahakamani.
Lucas Kadavi Limbu, mmoja wa waasisi na
mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, amefungua
shauri Na. 17 la mwaka 2015 dhidi ya Samson
Mwigamba ambaye ni katibu mkuu wa muda na
Peter Mwambuja na Masange M. Masange.
Katika shauri hilo la madai, lililofunguliwa
Mahakama Kuu, kanda ya Dar es Salaam, Limbu
anataka mahakama itoe amri ya kumzuia
Mwigamba na âmawakala wake,â kujihusisha na
chama hicho; kukiongelea katika vyombo vya
habari na kutoa maelekezo yoyote yale kwa
wanachama na viongozi wake.
Wadai wengine katika shauri hilo, ni naibu katibu
mkuu (Bara); Grason Nyakarungu, katibu mwenezi
na mwenyekiti wa vijana taifa; na Ramadhani
Suleiman, makamu mwenyekiti (Zanzibar).
Kesi hii imetajwa kwa mara ya kwanza leo na
imepangwa kusikilizwa tarehe 25 Machi mwaka
huu, ambako mahakama itasikiliza maombi ya
kuzuia mkutano mkuu wa chama.
Kabla ya kujiunga na ACT-Tanzania, Mwigamba
alikuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Chadema), mkoa wa Arusha.
Alifukuzwa uanachama mwaka mmoja uliopita.
Dah ishakua soo!
Wameshayaona mamilioni ya mabwana zao wanaowatumikia MACCM ili kufanya kazi ya usaliti waliotumwa kuisambaratisha CHADEMA. Kila kundi wanataka mamilioni hayo wawe na miliki nayo. Tusishangae wakianza kuuana kugombea mapesa ya bure toka kwa MACCM.
Duh washaanza kuvurugana?😕
And if at all ACT in her constitution have an article of preventing the member to send matters to a court of law .......ACT IS USELESS..... HERI SHETANI AKUJUAYE KULIKO ASIYEKUJUA.......
Kama kifungu cha kwamba mwanachama akipeleka suala mahakamani amejifuta uanachama kipo kwenye katiba ya ACT...... ACT HAKIFAI....TENA HAKIFAI.....HERRI ZIMWI LIKUJUALO.....MAANA HALIKULI LIKAKWISHA

haa haa hivi kumbe unaweza jiunga leo kwenye chama na kesho ukawa mwenyekiti?akapinge na uchaguzi wa kumpa zzk uenyekiti