Hatimaye wazoaji taka wametimiza wajibu wao kwa kuzoa taka Mtaa wa Mzimuni - Kawe

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Yaani muda mfupi baada ya kuweka andiko langu hapa, jana hiyohiyo magari mawili ya kuzoa taka yalifika mtaani kwetu na kubeba taka zote zilizokuwa zimezagaa.

Kumbe inawezekana, sasa walichokuwa wanasubiri ni nini? Wanataka hadi turipoti mitandaoni ndio hatua zinachukuliwa? Hii si sawa, inatakiwa kuwe na uwajibikaji na kila mtu atimize majukumu yake.

Napongeza maamuzi ya Serikali ya Mtaa ya Kawe – Mzimu pi napongeza JF kwa kuwezesha zoezi hilo kukamilika.

Pia soma > Utunzaji wa taka ni mbovu sana Kawe - Mzimuni, zinazagaa ovyo Mitaani, hii ni hatari kwa afya
photo_2024-03-21_10-28-29.jpg

photo_2024-03-21_10-28-28.jpg


Ilivyokuwa mwanzo...
photo_2024-03-20_09-33-35.jpg

Pia soma - Utunzaji wa taka ni mbovu sana Kawe - Mzimuni, zinazagaa ovyo Mitaani, hii ni hatari kwa afya
 
Back
Top Bottom