Hatimaye Waraka umemtoa pangoni “mwenyewe”!

Hatimaye Waraka umemtoa pangoni “mwenyewe”!

Naam!

Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza.leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.

Waraka wa baraza la maaskofu(Roman catholic)kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika.
Ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini.
Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili....

.....Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais mstaafu awamu ya nne kutokea huko Rorya-Mara.

Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini" akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.

Kiujumla hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe,wameona wajaribu kutumia platforms za kidini ili ku-push DP-WORLD.

Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha.

Hii ni kwa sababu mkuu wa sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.

TEC inao uwezo wa kuongea na Dunia na ikaeleweka.View attachment 2723168View attachment 2723169
 
Attachments

  • 5449613-3bec22a5571a727ae669531ed0b5d204.mp4
    1.2 MB

Mi nafikiri mstaafu Hana Tena influence kwa wananchi sasa, kwahiyo tamko lake lishalitupiwa uvunguni... Na sijui kama Kuna mtu ndani ya kijana anainfluence kwa wananchi wengi... The more wa naweka matamko.. Ndivyo watu wanaona ma kelele tu... 😁 😁
 
mwisho wa siku ukweli ni kwamba dini na siasa HAVITENGANI!
Wanasiasa ndio hao hao wanadini ama sivyo wakati wa uchaguzi wanasiasa wachaguliwe na wanasiasa wenzao na wanadini wabaki na imani zao!
Nchi ni yetu sote!
Huo ndio wanasisa wengi wanatumua dini kuomba kura. Anawe bisha Ataje wabunge wangapi hawana dini, Pia Tangu Mwl. BABA wa taifa Mkatoliki, Muislamu ,Mkatoliki Muislamu ,Mkatoliki na sasa Muislamu. Lakini utasikia Tanzania haina dini sijui wanatonaje sisi.
 
Raisi ana dini na anapiga kura na kupoigiwa kura.
Haongozi nchi kwa misingi ya kidini.
TEC wana dini na wanapiga kura. BAKWATA wana dini na wanapiga kura. SHURA ya Maimam wana dini na wanapiga kura..!!
Kwa miongozo ya kiroho au kisiasa? Siasa na injili ya kweli ya kiroho ni kama mafuta na maji havichanganyikani. Dini zina miongozo yake hata kiuongozi

Kuna nchi zilichagua kuendeshwa kidini.
Unatenganishaje siasa na dini wakati wahusika wapo pande zote? KILA ALIYEKO KWENYE SIASA YUPO KWENYE DINI...!!

NI THEORY TU KWAMBA DINI NA SIASA UNAWEZA KUVITENGANISHA, LAKINI UHALISIA HAUPO HIVYO..!!

Katika nchi zetu, Siasa ni maslahi, Dini ni chombo cha kwenda kwa baba mpaka pale yanapotokea malsahi ndipo muunganiko hutokea.
 
mwisho wa siku ukweli ni kwamba dini na siasa HAVITENGANI!
Wanasiasa ndio hao hao wanadini ama sivyo wakati wa uchaguzi wanasiasa wachaguliwe na wanasiasa wenzao na wanadini wabaki na imani zao!
Nchi ni yetu sote!
Vinatengana sana.

Usilazimishe uyatakayo wewe kwa sababu una kiu ya kumwaga damu
 
Udini ni hatarii Sanaa mzee kasema ukweli,saivi taifa limekua kama familia iliyopoteza baba then watoto watukutu wakachwa na mama mpole asietaka fujoo. Mama akemee haraka jambo hili kabla halijaleta balaa kubwaa.

Damu ikimwagika itatupeleka kwenye uhasama wa milele na moto utawaka kweli kweli. Yapo mombo ya kufumbia macho lkn so udini! Mungu simama na Taifa langu.
 
Kazi ipo leo.
Yeye mwaka 2010 alimtumia Prof. Lipumba na misikiti kuendesha siasa.

Na Prof alikiri mwenyewe.

Leo kaenda kanisani, huko, ndiko kafanya siasa.

Alipotaka kushinda uchaguzi alitumia dini. Hii haikuwa shida.

Leo Dili lake linaonekana gumu, anasema viongozi wa dini wanyamaze.

Hili ni lake, shida niliwaambia tangu mwanzo, injinia halisi wa hili limkataba ni huyu.

Kuna style timu yake ya mkakati ilitumia, aonekane hayumo, tena wakaenda mbali zaidi kum set ili aonekane anapinga mkataba huu.

Sasa kamba imekazwa asipotarajia.

Ametoka nyuma kwenye kupiga kinanda, amekuja kuhutubia kabisa mbele.
kazi anayo.
 
Back
Top Bottom