Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,793
- 6,999
Sema mzeewako.Mbaya Sana ...anatuangusha Mzee wetu astaaf kweli sio kustaaf kwa kujibanza.
Sema mzeewako.Mbaya Sana ...anatuangusha Mzee wetu astaaf kweli sio kustaaf kwa kujibanza.
Je Kuna neno lolote la ubaguzi wa kidini lililo ktk waraka huo?Tatizo waraka umekaa ki~udini udini
watatoka wote mkuuNaam!
Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza. Leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.
Waraka wa Baraza la Maaskofu (Roman Catholic) kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika, ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini. Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili...
Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais Mstaafu Awamu ya Nne kutokea huko Rorya-Mara. Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini," akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.
Kiujumla, hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe, wameona wajaribu kutumia majukwaa ya kidini ili ku-push DP-WORLD.
Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha. Hii ni kwa sababu Mkuu wa Sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.
TEC inao uwezo wa kuongea na dunia na ikaeleweka.
View attachment 2723168View attachment 2723169
Nyie watu mnajitia ujinga sana. Eti bomb la nyuklia?Ngoma bado mbichiiii
Waraka wa TEC umekuwa kama bomu la sumu la kulipua serikali nzima. Hakuna chawa, panya wala kiroboto aliyepo mafichoni ataendelea kujificha gizani.
CCM na serikali yake wasipojipanga vyema, hii game wanapigwa knockout mapema sana.
Waambie wausome miaka 5 mfululizo. Mkataba wa Bandari unaendelea na hakuna kitu wanaweza fanyaSawa mwambie TEC hawarudi nyuma waraka huo utasoma wiki 6 bila kupoa tukutane kesho Arusha
Evil how?He is the source of all Evils in our country.. He is the Master mind of all plundering of our Nations resources.. He better shut up.. The Man is Evil more than you can think..
Sasa ukimtukana inakusaidia nini?Mzee pumbavu sana huyu
Tena waape kwa ilani za chama, nimeandika kodogo ila imeongea mengi......Naona mods wanajitahidi kufuta threads zinazohusu maoni ya udini na siasa. But mwisho wa siku ukweli ni kwamba dini na siasa HAVITENGANI!
Wanasiasa ndio hao hao wanadini ama sivyo wakati wa uchaguzi wanasiasa wachaguliwe na wanasiasa wenzao na wanadini wabaki na imani zao!
Nchi ni yetu sote!
Alikuwa Rais kwa miaka 10 alijimilikisha nini?Yeye, familia yake, rafiki yake rost-tamu, nadhani sasa na familia ya mama, wanataka kujimilikisha Tanganyika yote.
Jk mnafiki sana. Watanzania wameamkaKikwete alifaidika kwa kiasi fulani na siasa za Udini wakati ule alipozidiwa hoja na Dr. Slaa. Hivyo anaamini akichomeka mambo ya dini yeye na wengine watatupoteza maboya. Suala la bandari halina mahusiano yoyote na dini. Kama anategemea wakitumia kete ya Udini watafanikiwa basi amechemka. TEC wamefanya kweli bila kujali hiyo propaganda mfu ya Udini.
Kama mnavyotoka nyie sio?watatoka wote mkuu
Sawa Mburundi.Sema mzeewako.
Alikuwa Rais kwa miaka 10 alijimilikisha nini?


Magu aliharibu madili mengi sanaaa... hata la bwagamoyoo ana bahati mama anamsikilizaaKama hujui hakuna mtu anaweza kukusaidia kujua. PoleAlikuwa Rais kwa miaka 10 alijimilikisha nini?
Kivipi, yaliyo andikwa humo au kwa hao waliouandika ndiko kunaufanya uuone "umekaa kiudini udini"?Tatizo waraka umekaa ki~udini udini
Jamaa anajua sana, sema anajifanya hamnazo tuMagu aliharibu madili mengi sanaaa... hata la bwagamoyoo ana bahati mama anamsikilizaa
Nyoka wamechomoka pango limemwagiwa mafutanya taaa😆😆Kama mnavyotoka nyie sio?
Jikite kwenye ibara za mkataba. Udini hautakusaidiTatizo waraka umekaa ki~udini udini
Sahihi dini na siasa havitenganiNaona mods wanajitahidi kufuta threads zinazohusu maoni ya udini na siasa. But mwisho wa siku ukweli ni kwamba dini na siasa HAVITENGANI!
Wanasiasa ndio hao hao wanadini ama sivyo wakati wa uchaguzi wanasiasa wachaguliwe na wanasiasa wenzao na wanadini wabaki na imani zao!
Nchi ni yetu sote!