Yap,
Heshima mbele mkuu FMES hizi habari zinatia moyo baada ya machafu ya Mkapa, nadhani sasa hivi ni wakati wa usafi.
Nitaendelea kumshukuru Kikwete kwa kuacha maji haya yatafute mkondo wake kwani wananchi tumechoka!...
Pia nitapenda kuishukuru hiyo kamati ya Miundombinu kwa kazi safi ambayo sasa hivi inahitaji mtazamo mpya ktk makampuni yenye uwezo na hasa kampuni za nje zenye uzeofu wa kazi hii ya kutoa mizigo (Container) bandarini kwa sababu tuna ushindani mkubwa na Bandari ya Mombasa. Mkataba utakaofuata ni lazima utazamwe na Bunger ama niseme kamati hii kuhakikisha haturudii makosa ya Ufisadi.
Ni muhimu kufikiria mbinu ya kibiashara ambayo itaweza shindana na Bandari ya Mombasa badala ya kufikiria mashindano ya mawakala Bandarini.