MwanaHabari
JF-Expert Member
- Nov 9, 2006
- 442
- 13
hongera bla bla bla.. sitisheni mkataba wa Kiwira na Dowans kwanza!!
Yup...hivi bado tunawalipa DOwans mpaka sasa...inashangaza...futeni kibali maramoja
hongera bla bla bla.. sitisheni mkataba wa Kiwira na Dowans kwanza!!
hongera bla bla bla.. sitisheni mkataba wa Kiwira na Dowans kwanza!!
Yup...hivi bado tunawalipa DOwans mpaka sasa...inashangaza...futeni kibali maramoja
hakuna kitakacho badilika hapo ,hiyo ni danganya toto tu.mimi siwahamini hawa wabunge wetu hata kidogo kwani ni wazuri wa kuongea,iweje mpaka leo tunawalipa hawa dowson na hakuna hata mbunge mmoja ambaye ameuliza kulikoni au ni mradi wa ccm.
Wimbi la ukombozi wa wanyonge linavuma kwa kasi sana ktk nchi hii.Hao wabunge wasio wazalendo Watasema maneno yote ya uongo yataisha na mwishowe watasema ukweli.Wananchi tuko makini siku za leo na kila taarifa inayogusa maslahi ya nchi.
hongera bla bla bla.. sitisheni mkataba wa Kiwira na Dowans kwanza!!
Nazir Karamagi akwama kutoa ushahidi
2008-04-25 16:37:29
Na Radio One Habari
Mbunge Bukoba Vijijini Mheshimiwa Nazir Karamagi ameshindwa kuwasilisha ushahidi wake kuhusu kauli yake iliyodai Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tatu iliyokuwa ikiongozwa na Rais Benjamin Mkapa ndilo liloidhinisha kuongezwa kwa muda wa mkataba wa Kampuni ya Kimataifa ya kupakia na kupakua makontena katika Bandari ya Dar es Salaam -TICTS.
Badala yake Mheshimiwa Karamagi amewasilisha barua iliyoomba apewe muda hadi katika kikao kijacho cha Bunge kwa kuwa upatikanaji wa Waraka wa kikao husika cha baraza la Mawaziri ni mgumu.
Kufuatia kutokubaliana na ombi hilo Spika wa Bunge Mheshimiwa Samuel Sita amempa Mheshimiwa Karamagi siku nane kuanzia leo awe amewasilisha ushahidi wake.
Akitoa ufafanuzi Mheshimiwa Spika amesema kupata waraka wa Kikao cha Baraza la mawaziri ni ngumu na kumtahadharisha Mheshimiwa Karamagi kuwa asipoleta ushaihidi huo mpaka Ijumaa ijayo atampeleka katika kamati ya maadili.
Sakata hilo lilianza jana jioni wakati Mheshimiwa Karamagi ambaye ni Mmliki wa Kampuni ya Habours Investiment Limited na ni Mwenyekiti wa TICTS anayemiliki asilimia 30 alipopata fursa ya kuchangia hoja ya kuhusu utendaji usiyoridhisha wa TICTS.
SOURCE: Radio One
Mungu Aibariki Tanzania, na Mpambano Yanaendelea, Juzi Ilikuwa Chenge, Sasa Bandari imerudi, our next stop Kiwira!
Huyo Kubenea apewe na ulinzi, maana walishaonyesha wanaweza kumfanya nini.
Mzee ES, kichwa cha habari ulichohagua kinadanganya. Mtu akikiona atadhani Mkapa na Karamagi wamefukuzwa CCM.
Nadhani kama CCM ingekuwa makini, basi ingewawekea Mkapa, Karamagi, Rostam Aziz, Chenge, Lowasa na wengine waliohusishwa kwenye ufisadi, kamati ya chama ya uchunguzi. Lengo likiwa ni kuwafukuza uanachama. Why not?