Hatimaye uhusiano wangu umefikia mwisho...

Hatimaye uhusiano wangu umefikia mwisho...

Tunasubiri maelezo upande wa pili...Ili hakimu nitoe hukumu,Ila adi apo unaonekana umejitetea sana hatuitaji shahidi..
 
Habari Za humu ndani wakuu?

Natumaini wote ni wazima wa afya ukiachilia mbali changamoto za kijamii zinazotukabili, kama vile Mgao wa umeme na maji, binadamu tuache ukaidi wa kuharibu vyanzo vya maji ili kuepukana na hili janga la ukame,in Chief Hangaya’s voice.
Caring without money? Usitudanganye...
 
Kila binadamu ana wivu siyo mbaya...

Ila hua wa kupekuana simu alikua anakukosea sana...
 
Kudate na mwanamke mzuri sana was sura na umbo ni kujitakia maradhi ya moyo na pressure. Toto limejaa vizuri, sura nzuri, rangi yenyewe, mguu na nyonga, huko nyuma limekaa ndivyo halafu uwe na amani mda wote kweli!!!

Utapata sonona kisa mtoto wa mwanaume mwenzako.
Uwe na amani muda wote inatoka wapi mkuu?

Nilishaga wahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mtoto wa kike wa mama mwenye nyumba

Mkuu ERoni dogo alikuwa mzuri mno(sijui unanielewa nikisema dogo alikuwa mzuri?)

Bao zangu zote nilikuwa nazitoa/mwanga sehemu nzuri,safi na salama kabisa

Kuna siku tunagegeda dogo alinambia eti wewe jamaa unafaidi sana mpaka nakuonea wivu
 
Habari Za humu ndani wakuu?

Natumaini wote ni wazima wa afya ukiachilia mbali changamoto za kijamii zinazotukabili, kama vile Mgao wa umeme na maji, binadamu tuache ukaidi wa kuharibu vyanzo vya maji ili kuepukana na hili janga la ukame,in Chief Hangaya’s voice.
Rudi kwa big bwana acha hizo, kila binadamu ana mapungufu rudi mkavumiliane,

By the way, mmesha kulana?
 
Pole ila ukweli mchungu unaenda kupoteza mwanaume anayekupenda kwa sababu ya kuendekeza usister duu, kwani huwezi kuishi bila picha na hao masharobaro? Huwezi kuacha nyendo za mashaka kama kuchat na wanaume? So you are going to be a single mama.
Mtoa mada umeielewa hii comment?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio ulisababisha jana usiku ndege imetua Dar kama Kopo la kibuku nusura tupinduke ndege full kuyumba kumbe ulimvuruga rubani
 
Wanaume vibonge ,ni kama tu wanawake wafupi.....full kutokujiamini amini yaani..
pole mdada....halafu hujatuambia umri wako na wa huyo mrusha vocha wako
 
Daaaaaaaaaaaaaaaah kuna wanaume wanachezea chance ......................imagine nina pesa ndefu sana (mwaka huu ntawekwa kwenye list ya 21 ya forbes as kijana tajir chin ya miaka 30) ................lakn cjawahi kubaliwa na demu af kuna msenge anachezea chance adimu hizo
Mkuu unaishi ardhini ama angani?
 
Wewe una wanaume wengi, jamaa yuko sahihi!! Meseji za nyuma na wanaume wako ukiwa chuo kwann huzifuti mpaka bwanaajo anazikuta? 😂😂

Ulipokataa kutoka na jamaa kisa Research proposal na assignments za nini wakati ulishasema wewe ulishamaliza chuo zamani??
Huyu dem ni wale slayqueen matapel tapeli wa vyuoni! Ana kibwana chake ki HB alikipelekea Mbunye halafu anajifanya anamzimia BiGGie 😅
 
Mtu mwenye wivu sanaa ndio anakupenda kafa kaoza na nikuibie siri huyo ana demu mwingine yoyote zaidi yako ndio anakuwa ivyo, angekuwa na demu mwingine au mademu wengine asingekuwa na wivu kiasi hicho me nishakuwa sana na tabia hizo hila zimeisha kitambo baada ya kupata michepuko. Ushauri wangu komaa na huyo jamaa usimuache anakupenda kweli utanishukuru baadae.
Tatizo huu wivu huwa unaishiaga kuumiza wanawake mkuu😅!!!

You might be really inlove ila sasa mwanamke yeye anakupora vyeo kadri unavyoonesha kumhitaji sana. Chasing a woman ends up crazily!

Anaishia kukuacha sababu anaona umelose focus juu yake😅
 
Hahaha sawa kabisa mkuu,bibie anajaribu kutuaminisha haombi pesa lakini hata ukijaribu ku read between lines unaona hio kazi ya mwamba (urubani) ni moja ya vitu binti kavutiwa navyo akijua atakua akivuna chochote ndo maana hadi sasa kwa kiasi yuko njia panda.
Wanawake slayqueen wana wakati mgumu sana endapo wanakutana na situations za aina mbili hizi!

1.Handsome kapuku mwenye romantic na show za kufa mtu.

2.Jibaba sura ya kazi lenye mawe ila show hafifu😅. Non- romantic version hivi!
 
Back
Top Bottom