Hatimaye uhusiano wangu umefikia mwisho...

Hatimaye uhusiano wangu umefikia mwisho...

Wanawake slayqueen wana wakati mgumu sana endapo wanakutana na situations za aina mbili hizi!

1.Handsome kapuku mwenye romantic na show za kufa mtu.

2.Jibaba sura ya kazi lenye mawe ila show hafifu😅. Non- romantic version hivi!
They gotta a real democracy.....
 
Eeeh Miss Cherry pole mrembo. Nakuomba huku Ruangwa kwa (PM), unifanye tulizo lako. Najua unasumbuka na maumivu ya moyo wakati huu, Ila kwa namna nilivyoguswa na stori yako, naomba ukaribie kwangu nikupumzishe na maumivu hayo.

Kama shetani ndo ananielekeza kwako basi, naomba mwenyezi aniepushe mbali. Lakini kama ni hisia zangu za dhati kwako, basi akupe tafakuri ya haja ukaribie Ruangwa, tuanze kuchora mstari wa furaha na amani ya moyo.
Tarajia kheri mama kutoka usukumani.

NB: U-handsome bahati mbaya waligawiwa wengine Mimi nikasaulika.
 
Wanawake slayqueen wana wakati mgumu sana endapo wanakutana na situations za aina mbili hizi!

1.Handsome kapuku mwenye romantic na show za kufa mtu.

2.Jibaba sura ya kazi lenye mawe ila show hafifu😅. Non- romantic version hivi!
Yan hapo wanakua njia panda hawajui wachague kipi..Tuzidishe maombi tu juu yao.
 
Eeeh Miss Cherry pole mrembo. Nakuomba huku Ruangwa kwa (PM), unifanye tulizo lako. Najua unasumbuka na maumivu ya moyo wakati huu, Ila kwa namna nilivyoguswa na stori yako, naomba ukaribie kwangu nikupumzishe na maumivu hayo.

Kama shetani ndo ananielekeza kwako basi, naomba mwenyezi aniepushe mbali. Lakini kama ni hisia zangu za dhati kwako, basi akupe tafakuri ya haja ukaribie Ruangwa, tuanze kuchora mstari wa furaha na amani ya moyo.
Tarajia kheri mama kutoka usukumani.

NB: U-handsome bahati mbaya waligawiwa wengine Mimi nikasaulika.
Ankol akuje Ruangwa umpe tulizo la nafsi aje nandagala kwa PM kabisa,au Mbekenyera na Namungo umpatie madini ya Bunu,Green Garnet na Dhahabu...
 
Habari Za humu ndani wakuu?

Natumaini wote ni wazima wa afya ukiachilia mbali changamoto za kijamii zinazotukabili, kama vile Mgao wa umeme na maji, binadamu tuache ukaidi wa kuharibu vyanzo vya maji ili kuepukana na hili janga la ukame,in Chief Hangaya’s voice.

Niende moja kwa moja kwenye mada nisiwachoshe sana, naandika nikiwa nimenyong’onyea sana ila najikaza tu kwa sababu maisha lazima yaendelee
Ndo umekuja kunianika huku JF?????

Poa

We nenda LAKINI UTANIKUMBUKA TU.
 
Kama ni Rubani kweli chondechonde rudisha moyo nyuma,atutachelewa kusikia kuwa ndege imepoteza huelekeo kumbe Rubani mapenzi yanamchanganya.
 
Nimewahi pia kua na mahusiano na binti asiyejiamini yani kila mda usipomcheki anahisi uko na mtu.
Ukipigiwa simu wakati upo nae na usipopokea ua text imeingia na hujaijibu wala kumuonesha ujue hiyo ni keshi baadae lazma akumaindi kinoma.

Lawama haziishi, marumbano kama yote, ni kazi sana kua na mtu wa hivyo aiseee.

Pole sana ila huyo wako alizidi viwango, mwisho wa siku angeweza hata kufanyia kitu kibaya sasa. Na mwanaume kumuandikia manzi gazeti la lawama haipendezi aisee.
 
Back
Top Bottom